Simpendi Kongosho wa JF najisikia kumchukia tu from no where.

napenda ligi
ila si za kulipwa
am addicted to makombe ya mbuzi
hata ligi ya ulaya wanlipe sh ngapi siendi

wakati makombe ya mbuzi nalipwa sahani wa wali tu
wakati mwingine nakopwa lakini nipo tu.

Kweli wa mbili hawi moja.
Hahahaha...Kongosho,
Yaelekea unapenda ligi sana! Ngoja leo tumtulize...kwaresma hii!
 
I neva thot kuna mtu hampendi Kongosho!

S/he is so a ladies/man's person.... Au wa kusoma ndio technique ya kujulikana? Dah!
 
I neva thot kuna mtu hampendi Kongosho!

S/he is so a ladies/man's person.... Au wa kusoma ndio tcehnique ya kujulikana? Dah!
hapo kuna kitu,si unaona hata sio mtu wa reply back
 
Sijui ni kwa nini nikiona thread zake nachukia, nikiona alipochangia natamani nifute coments zake hlf huyu mtu simjui hanijui lkn hata sielewi kwa nini simpendi.

Najua mpo wengi wenye chuki na watu/mtu humu JF hebu tueleze nani humpendi humu JF na nani unampenda? Hata thread zake unazipenda. Mimi nampenda EXCELLENT.

Oooopsss...!
 
I love you kongosho, i hate you wa kusoma, u smeling like animal filth, yucky!
 
....dalili ya pili ni kuhisi kichefuchef,then unaanza kubagua vyakula...mwisho wa siku.......
 
kuna lecturer wangu mmoja alitamani dada tuliyekuwa naye group moja wakati wa rotation za wodini,jamaa akawa anamtwanga maswali magumu yule dada na akikosa anamwandama zaidi. Yule dada akajiona hopeles ikabidi aanze kutengeneza ukaribu na dr,baada ya muda tukasikia jamaa amekula mzigo. Ukimpenda mdada mzuri mshushe hadhi kwanza,atasogea mwenyewe. Ndo principle jamaa anataka aitumie.

ha!kumbe kongosho ni mdada..
 
nampenda huyo mtu hakuna mfanoo..
hongera umejipatia umaarufu gafla kupitia jina lake tu...
salute madam/sir kongosho popote ulipo...
jina kubwa jf
 
Nampenda Kongosho wa JF and I can tell it on the mountains.
KONGOSHOO. . .Ive fallen Head over Hills.
 
Sijui ni kwa nini nikiona thread zake nachukia, nikiona alipochangia natamani nifute coments zake hlf huyu mtu simjui hanijui lkn hata sielewi kwa nini simpendi.

Najua mpo wengi wenye chuki na watu/mtu humu JF hebu tueleze nani humpendi humu JF na nani unampenda? Hata thread zake unazipenda. Mimi nampenda EXCELLENT.
Are you pregnant?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom