Hapo umenena!then wanahlalamikia ccm
Haya ndiyo watanzania tunapenda kupotezea muda. Amefumaniwa au hajafumaniwa si sehemu ya mkakati wa maendeleo ya taifa hili, zaidi ya gharama kwa maana ya muda tunaotumia kujadili na kutafuta ukweli kuhusu hili. Ukweli anaujua mwenye mke, mke na aliyefumaniwa.