SIMBACHAWENE: Sikufumaniwa

Hapo umenena!then wanahlalamikia ccm
Haya ndiyo watanzania tunapenda kupotezea muda. Amefumaniwa au hajafumaniwa si sehemu ya mkakati wa maendeleo ya taifa hili, zaidi ya gharama kwa maana ya muda tunaotumia kujadili na kutafuta ukweli kuhusu hili. Ukweli anaujua mwenye mke, mke na aliyefumaniwa.
 
yaani huu upuuzi unauita pigo??
we tyari ushaamini sio kweli kua simba chawene hakufumaniwa??
hujaona contradiction kati ya maelezo ya simbachawene kua kuna mtu alifumaniwa lankini
RPC anadai hakuna tukiao kama hilo katika mkoa wake mzima??
hili ni pigo kwako wewe sio chadema.

kwani si ameonyesha mikono yake je ana jeraha lolote!alafu acheni ubwege hayo ni sehemu ya maisha,jacob zuma alikuwa na kesi ya kubaka so haya maisha msisahau utu wenu bcous siasa.
 
simbachawene ni mzinzi sana huyo jamaa mi namfahamu sana anakula mpaka watoto wa shule.


fumanizi2.JPG
 
Aache uongo nikweli amefumaniwa na amejeruhia mkononi, nayaongea haya kwa uhakika kwani wakati anatoka dodoma bungeni aliongonaza na rafiki yake ambaye ni nduguyangu na walipofika njia panda yeye akakunga kulia ndugu yangu akakunga kushoto, akamwambia anaingia pale mbele kuna nyumba nzuri yenye geti jeusi naomba ninikuu maneno ya mweshimiwa " Unajua hapa huwa napata maji baridi mara kwa mara siunajua tena yale mambo ni balaa asikwambie mtu shughuli hapa acha tu ingawa anamilikiwa ila jamaa ni mtu wa safari safari na hivi yuko dodoma tumemuacha.... nduguyangu akamuuliza inamana unamjua hadi muusika.... akamjibu eeh lazima ujue ili ujue unajilindaje siunajua hata yeye anamjua mwenzie....akacheka wakaachana" kumbe huyu askari alishajua sikinyingi na walipeleleza wakajua kila kinachoendelea ndipo wakapanga na mtandao wake wakavamia hiyo gestihausi usiku wakafanya uchunguzi wakabaini ni kweli mgoni wao yupo na shemeji yao wakampigia simu mwenye mali akafika alfajiri wakafanya ambushi ile mheshimiwa anatoka chumbani jamaa mwenye mke alikuwa na silaha (bunduki) akataka kummaliza wenzie wakamdaka wakamnyanganya bunduki akatoka mbio akakimbilia kwenye gari kumbe alikuwa ameficha sime basi wakati wanamtoa ndani kumpeleka polisi kwenye mahojiano akamjeruhi kwenye mkono na hiyo sime kama anabicha aeleze jeraha kwenye mkono ni la nini.

Hayo nimeyasikia ktk maongezi ya ndugu yangu na mwenzie kwenye simu wakielezeana yaliojiri tena akawa anamsikitikia sana Simbachewene kwani hii issue itamporomosha kisiasa kwani ameshapigwa mara 2 na wananchi jimboni kwake wakafunika isijulikane na hili lililomtokea kilakitu kikowazi hana ujanja hata wakihaha kufunika ni bure kwani issue niyakweli
 

simbachawene-georgetop.jpg


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Linus Sinzumwa alipoulizwa na Mwananchi Jumapili alisema hakuna tukio kama hilo lililotokea mjini Singida wala mahali popote katika mkoa huo.

“Huo ni uzushi tu, hakuna tukio hilo mjini Singida na wala sijasikia taarifa zozote za aina hiyo kutoka maeneo mengine mkoani hapa, alisema Sinzumwa.

MY TAKE:
Kweli Pesa mwanaharamu! Uongo unaweza kugeuzwa kuwa ukweli na ukweli kuwa uwongo!
Kamanda wa Polisi ndiyo katuchanganya kabisa. Simbachawene amekiri kuwa ni kweli tukio lilitokea katika hoteli hiyo, lakini lilimhusisha mtu mwingine, huku RPC anatuambia hakuna tukio kama hilo!
Au ndio ukweli umeuzwa?




Hii ndio Tanzania nchi ya Rushwa kila kona hadi Ikulu. Sasa huyu Kamanda kwa kukanusha anamdanganya nani ikiwa matukio watu wameyashuhudia au hao Polisi walioenda eneo la Tukio ni kutoka Mkoa mwingine??

Viumbe wengine hawaoni hata aibu kutamka uongo hadharani ambapo hata mtoto mdogo hadanganyiki.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
anajibu naswali sass hivi bungeni Hana hata kidonda sass tuamini lipi maana mnasema alijeruhiwa mie sioni hata jaraha
 
akamjeruhi kwenye mkono na hiyo sime kama anabicha aeleze jeraha kwenye mkono ni la nini.

Sasa kama tuna dwell kwenye jeraha kama ushahidi, mbona amenyoosha mikono juu na suti yake ya mikono mifupi, inaonekana hana jeraha? Ulishawahi kusikia kuwa Prof Mwandosya amefariki, na yupo hai hadi leo?
 
Wewe unachanganua mambo kwa ku2mia masabur nn, ukwl uko wazi unataka ufafanuz gan zaid?
 
Why do we dwell on the wound as a confirmation that he wasnt the man behind the aldultery scene? what if the report that he was wounded wasnt right while it was true that he was caught with someone's wife? Why we have different explanations from Police,Hotel owner and the man himself? Has the woman involved in the scene questioned? her husband?
I dont think the wound can be a way to confirm or not confirm Simbachawene was involved here we have to look onto something else. If it was true,the truth will rise one day!
 
kwani si ameonyesha mikono yake je ana jeraha lolote!alafu acheni ubwege hayo ni sehemu ya maisha,jacob zuma alikuwa na kesi ya kubaka so haya maisha msisahau utu wenu bcous siasa.


...Mkuu, Ameonyesha Mkono wake Wapi? "Akiongea na Waandishi wa Habari mjini Karatu!". Karatu kuna waandishi wangapi wa kuweza kumhoji kisawasawa Waziri? Hawajipendi? Si ajabu hata Taarifa ya kanusho waliandikiwa!
Ni rahisi sana Kiongozi kuwa-compromise waandishi wawili watatu wa Wilayani. Angekuja pale Uwanja wa Nyumbani Ukumbi wa Maelezo halafu akaita waandishi wa media zote jijini na kuonyesha wazi mkono wake ndipo tungefikiria kumuamini!

Sioo mtu anakutana na waandishi wawili wa tatu wa Karatu ananyoosha mkono bila kuvuta kaunda suti yake juu hadi begani, na hakuna muandishi anayediriki kumtaka afanye hivyo, halafu anakuja kutamba kuwa amewaonyesha waandishi mkono wake na hakuwa na alama yoyote! Sheeesh!

Mkuu UTU wetu ndio unaotufanya tutake kujua ukweli. Kama tuna kiongozi ambaye bado anachori wake za watu na kufumaniwa, dhahiri hastahili ofisi tuliyomkabidhi. Anapaswa kutuachia ofisi yetu na akaendelee kufumaniwa huko!

Kumbuka nukuu ya Baba wa Taifa kuhusu Waziri mdogo wa Uingereza aliyepatwa kutuhumiwa, rudia kutuhumiwa, kutembea na kimada wa nje na akalazimika mwenyewe kuandika barua ya kuachia ngazi. Kutuhumiwa tu, sembuse hawa wa kwetu wanaofumaniwa na kuibiwa simu tano, pete kumi na boxer sijui ngapi halafu bado wanapata watetezi kama nyinyi!

Nimalizie kwa kukuomba usilinganishe issue hii na ile ya Zuma kule Africa Kusini. Kule ni Afrika Kusini, Hapa ni Tanzania! Kama wao wamekubali kuchagua kiongozi mbakaji ni Uamuzi wao. Hatupaswi kukubali Kiongozi wetu kufumaniwa na mke watu halafu tukaona ni sawa tu eti kwa sababu hata Zuma amewahi kufanya hivyo!! Wapi na wapi.

 
Natamani iwe uongo...maana ni aibu sana jamani. Na pia hii hali ya kusingizia kila kitu chadema itakuja kuwagharimu...mgomo wa madaktari wamesema ni chadem na hili tena wanasema ni chadema.....tusubirie jingine tena watasema chadema.
 
Sasa kama tuna dwell kwenye jeraha kama ushahidi, mbona amenyoosha mikono juu na suti yake ya mikono mifupi, inaonekana hana jeraha? Ulishawahi kusikia kuwa Prof Mwandosya amefariki, na yupo hai hadi leo?


Mkono unaanzia wapi? Je alivua suti ama shati mkahakikisha??
 
Back
Top Bottom