hivi unaidhamini kolo fc kufanya hivyo!!!Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
Ila Feisal yule dogo ana busara sana.
Mwaka jana zile mechi walizocheza Yanga na Azam wakati Feisal yupo kwenye mgogoro na Yanga hivi mnakumbuka matukio baada ya mechi?
Yanga waliposhinda walianza ku shout kuwa "Feisal hatumtaki, Feisal hatumtaki"
Walionesha kila aina ya dhihaka kwa Feisal.
Ally Kamwe naye akaja kumfananisha dogo na andazi, dogo akapiga kimya tu.
Angalia sasa jana amefunga goli lakini cheki reaction yake ilivyokuwa ya kiungwana.
Hivi imagine angekuwa ndio Morrison amefanyiwa vile na Yanga halafu jana ndio katia bao, unafikiri angeshangiliaje?
Kama tu kule Kigoma alivua nguo na kuwaoneshea ndudu, vipi kwa mgogoro na dhihaka alizopitia Feisal ingemkuta yeye???
YAnga waki.... na... , Simba anakuwa.. Asipo... . Au Yanga aki.. mechi 2 , Simba aka..... zote.Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwaYanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
Bado unaamini kwamba yanga wanashinda mechi zao kwa uwezo wao na sio BAHASHA?Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
Kiporo cha Mtibwa mtakila lini maana sasa hivi yupo moto na hataki kushuka darajaSimba mechi tata ni vs Yanga,Azam, Kagera, KMC hapo ndo wafanye umkini wa hali ya juu. Mechi zingine ni za kawaida.
Tutawapa tena bahasha hiyo 13 April kama tulivyowapa 5 November.Bado unaamini kwamba yanga wanashinda mechi zao kwa uwezo wao na sio BAHASHA?
Yanga hata iwe na majeruhi kiasi gani,,kama BAHASHA imeshatoka basi hesabu maumivu.