Simba wakifanikiwa kuwatoa al shand wanaenda hatua gan?
okwi anapiga la 3 dakika ya 89
Hakika tushaingia mkuu. Hakuna ubishi tena. Lol, yaani hakuna wakati ambao siku yangu huwa nzuri kama ambapo simba wanaamua kufanya mambo mazuri kama hivi.hatua ya makundi (makundi mawili ya timu nne nne na watacheza kwa mfumo wa ligi) washindi wawili wa kwanza katika kila kundi wataingia hatua ya nusu fainali
Mbona nyingi hivyo....tulinde wasipate bao hao!!zimeongezwa dakika 5 za majeruhi.
duh....leo raaahaaaaa
Dah mbona siamini
Safi sana mnyama...hongereni sana kwa ushindi huu mnono,kwa kweli mnastahili na nawaombea mfike nane bora na baadae final na hatimae mchukue ubingwa na kuliletea sifa taifa letu ambalo kila uchao linaporomoka katika viwango vya FIFA...Am proud of you Simba...Kwa pamoja TUNAWEZA....Go Simba go....Nipo pamoja nanyi mpaka mwisho watani zanguhatua ya makundi (makundi mawili ya timu nne nne na watacheza kwa mfumo wa ligi) washindi wawili wa kwanza katika kila kundi wataingia hatua ya nusu fainali
Safi sana mnyama...hongereni sana kwa ushindi huu mnono,kwa kweli mnastahili na nawaombea mfike nane bora na baadae final na hatimae mchukue ubingwa na kuliletea sifa taifa letu ambalo kila uchao linaporomoka katika viwango vya FIFA...Am proud of you Simba...Kwa pamoja TUNAWEZA....Go Simba go....Nipo pamoja nanyi mpaka mwisho watani zangu
Hakika tushaingia mkuu. Hakuna ubishi tena. Lol, yaani hakuna wakati ambao siku yangu huwa nzuri kama ambapo simba wanaamua kufanya mambo mazuri kama hivi.