Simba (Tanzania) vs Ahli Shandy (Sudan)

wanasiasa ndani.mh sumaye, zitto na wengi wengi tu.zitto kavaa jezi ya okwi sijui na yy anamhusudu kama na mm navomhusudu kwenye siasa.
 
Ha haa, tumewashika pabaya. Kwenye ligi kuu tunawaburuza, na kimataifa tunatesa!! Chezea simba wewe???
Kumbuka hii itakuwa mechi ya ligi ya nyumbani, na kama marefarii hawatatafuta sababu za kupewa vipigo uwanjani, mjiandae kupata kichapo
 
hatua ya makundi (makundi mawili ya timu nne nne na watacheza kwa mfumo wa ligi) washindi wawili wa kwanza katika kila kundi wataingia hatua ya nusu fainali

Hatua ya makundi bado akifanikiwa kumtoa Msudan anasubiri losers wa round ya mwisho ya champions league.
 
hatua ya makundi (makundi mawili ya timu nne nne na watacheza kwa mfumo wa ligi) washindi wawili wa kwanza katika kila kundi wataingia hatua ya nusu fainali
Hapana mkuu, watacheza na wale watakaofungwa kwenye ligi ya mabingwa ili kupata timu nane, kumbuka mwaka jana simba alivyoondolewa na Wydad, alicheza na Dc motema pembe kwenye kombe kama hili.
 
543230_369957486390522_100001288210100_1120245_1867308440_n.jpg

wewe ***** uliyekuwa unanisumbua na kunitumia hili li picha haya soma nambaaaaaaaaaaaaaaaa hahahahhahahhaha
 
hapana mkuu, watacheza na wale watakaofungwa kwenye ligi ya mabingwa ili kupata timu nane, kumbuka mwaka jana simba alivyoondolewa na wydad, alicheza na dc motema pembe kwenye kombe kama hili.


siyo kweli simba walicheza na wydad baada ya kushinda rufaa yao na tp mazembe. Tp mazembe ndiyo walipanswa kucheza na wydad na ilikuwa champions league na siyo kombe la washindi. Katika rufaa hiyo simba iliamriwa wacheze na Wydad mchezo mmoja tu katika kiwanja cha ugenini ambapo mchezo huo ulichezwa Egypt. Vile vile katika hukumu hiyo aliamriwa kuwa endapo wataenda sare basi zitapigwa penati. Fuatilia kumbukumbu mkuu.

maelezo zaidi haya hapa au soma mwenyewe hapa http://www.bbc.co.uk/sport/0/football/13452818

[h=1]Wydad v Simba venue decided[/h]
_52829364_champslgetrophy226.jpg
Simba and Wydad are both still in the hunt for the Champions League
Tanzania's Simba and Wydad Casablanca of Morocco will face each other in Egypt for the right to go into Group B of the African Champions League.
The Tanzania Football Federation (TFF) say the game will be played on 28 May at the Petro Sport stadium in Cairo.
The TFF also said the game will go straight to penalties if the two sides are level after 90 minutes
The play-off will decide who replaces champions TP Mazembe of DR Congo who were disqualified from the tournament.
It is still unclear when and if the Confederation of African Football (Caf) will hear Mazembe's appeal over the punishment.
Mazembe were thrown out of the Champions League for fielding an ineligible player in their 6-3 aggregate win in the second round of the tournament.
Mazembe then went onto beat Wydad Casablanca 2-1 in the third round before their disqualification.
The winners of the play-off will join Egypt's Al Ahly, Tunisia's Espernace, Algerian side Mouloudia Alger in Group B of the event.



 
wakuu mechi ndo hiyo soon itaanza. mlio uwanjani kumbukeni kuchangia furaha yenu hapa ili tulioko mashambani tufaidike.

UPDATES:

Dakika ya 30: Simba 0 - 0 Ahli Shandy
Dakika ya 38: Simba 0 - 0 Ahli Shandy (Simba wamekosa Penalti)
Half Time: Simba 0 - 0 Ahli Shandy
Dakika 66: Simba 1 - Ahli Shandy (Haruna Moshi)
77min: Simba 2 - 0 Ahli Shandy (Mafisango)
88min: Simba 3 - 0 Ahli Shandy (Okwi)
FT: Simba 3 - 0 Ahli Shandy

Hongera sana timu yangu Simba,mungu aendelee kukujalia mafanikio.
 
Back
Top Bottom