Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
2,261
1,883
Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi.

Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na kutoamini kuwa kweli wamefuzu robo fainali au ndoto za Mchana?

Huku wakiwakejeli Simba ambao wamewafikisha mahali walipo hivi sasa.mechi za makundi zimeisha na Timu zote hasimu kutingà robo fainali,huku Simba ikijikisanyia alama 9 na Yanga FC Alama 8

Hata hivyo Simba imekuwa na uwiano wa magoli 7 Kuliko Timu yeyote zilizoshiriki kwenye CAFCL hatua ya Màkundi.Onyo Yanga punguzeni mdomo haya mashindano Simba ni kama kushiriki MAPINDUZI CUP.
 
Watanzania ni watu wa ajabu, badala ya kushangilia kupeleka timu 2 lakini imebaki ni kuzodoana, hizo roho mbaya huwa haziishii kwenye utani huwa zinaenda hata kwenye vitu vya msingi.

Kwani Simba au Yanga imeingia robo fainali Simba imepunkiwa nini au Yanga imepungukiwa nini? Kama kuna mtu alikuwa anatamani Simba isivuke au yanga isivuke roho hizo chafu zitawatafuna hata kwenye mambo ya maendeleo.
 
Watanzania ni watu wa ajabu, badala ya kushangilia kupeleka timu 2 lakini imebaki ni kuzodoana, hizo roho mbaya huwa haziishii kwenye utani huwa zinaenda hata kwenye vitu vya msingi. Kwani Simba au Yanga imeingia robo fainali Simba imepunkiwa nini au Yanga imepungukiwa nini? Kama kuna mtu alikuwa anatamani Simba isivuke au yanga isivuke roho hizo chafu zitawatafuna hata kwenye mambo ya maendeleo.
Mpira haukogo hivyo broo,simba na yanga hazijawahi kuombeana mazuri Na haitokuja kutokea
 
Simba kacheza na Jwaneng Galaxy hawajawahi kufuzu robo fainali kwa miaka mitano mfululizo, miaka mitano mfululizo aidha hawafiki kwenye makundi ama wanashika mkia kwenye makundi.

Yanga kakutana na Belouzdad ambae kafuzu robo fainali mara tatu mfululizo na mwaka huu ilibidi iwe mara ya nne lakini Yanga wamewakatisha safari yao

Simba kajipigia vibonde wenzake, Yanga kapita tanuri la moto
 
Watanzania ni watu wa ajabu, badala ya kushangilia kupeleka timu 2 lakini imebaki ni kuzodoana, hizo roho mbaya huwa haziishii kwenye utani huwa zinaenda hata kwenye vitu vya msingi. Kwani Simba au Yanga imeingia robo fainali Simba imepunkiwa nini au Yanga imepungukiwa nini? Kama kuna mtu alikuwa anatamani Simba isivuke au yanga isivuke roho hizo chafu zitawatafuna hata kwenye mambo ya maendeleo.
Ni kwasababu wewe sio Shabiki na pengine mpira umekupita kushoto, kwenye swala la ushabiki hasa wa mpira hakuna unafiki, akishinda Simba Yanga ataumia akishinda Yanga Simba anaumia , inshort hakuna Uzalendo huo kwenye swala la Mpira , na hii inaufanya mpira kuwa na msisimko mkubwa
 
Simba kacheza na Jwaneng Galaxy hawajawahi kufuzu robo fainali kwa miaka mitano mfululizo, miaka mitano mfululizo aidha hawafiki kwenye makundi ama wanashika mkia kwenye makundi.

Yanga kakutana na Belouzdad ambae kafuzu robo fainali mara tatu mfululizo na mwaka huu ilibidi iwe mara ya nne lakini Yanga wamewakatisha safari yao

Simba kajipigia vibonde wenzake, Yanga kapita tanuri la moto
Kwani wydad ambaye alikuwa mshindi wa pili alikuwa kundi lipi ? Naye ni kibonde ?

Nyingine hii hapa
412732643.jpg
 
Simba kacheza na Jwaneng Galaxy hawajawahi kufuzu robo fainali kwa miaka mitano mfululizo, miaka mitano mfululizo aidha hawafiki kwenye makundi ama wanashika mkia kwenye makundi.

Yanga kakutana na Belouzdad ambae kafuzu robo fainali mara tatu mfululizo na mwaka huu ilibidi iwe mara ya nne lakini Yanga wamewakatisha safari yao

Simba kajipigia vibonde wenzake, Yanga kapita tanuri la moto

Na nyie Yanga mmefuzu lini robo fainali? Umri wenu na Galaxy unalinganaje?
 
Simba kacheza na Jwaneng Galaxy hawajawahi kufuzu robo fainali kwa miaka mitano mfululizo, miaka mitano mfululizo aidha hawafiki kwenye makundi ama wanashika mkia kwenye makundi.

Yanga kakutana na Belouzdad ambae kafuzu robo fainali mara tatu mfululizo na mwaka huu ilibidi iwe mara ya nne lakini Yanga wamewakatisha safari yao

Simba kajipigia vibonde wenzake, Yanga kapita tanuri la moto
Na wydad nae?
Mbona mmevurugwaa vibayaa sana.
 
Back
Top Bottom