Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

Labda kila Mtyu ana namna yake ya kutathmini mechi. Ila kwangu naona tulizidiwa mbinu tu na mechi ikawa mzigo mzito kwa Wachezaji, tutawalaumu Wachezaji bure bila ya sababu.
Mimi nawalaumu wachezaji wote isipokuwa Kibu D tu ndio maana alipotoka tu,Yanga wakawa hawana hofu tena. Magoli manne yakazaliwa hapo!
 
Na sasa wapo wanasheherekea huko, hii yote kuwatia hasira mzidi kuvurugana...msikubali.
 
Aina ya wachezaji wa Yanga kuwaacha wachezee mpira vile unachokitafuta lazima ukipate. Unawakabia macho akina Pacome unategemea nini?. Mbona kwenye mechi ya Simba 2-0 Yanga,Simba walikaba wapita njia wote hadi vichochoro vyote. Manula akawa anasoma gazeti tu. Walishindwa vipi kufanya hivyo tena?.
Aina ya mpira wanaocheza Yanga saivi sio sawa na mpira waliokuwa wanacheza Yanga kipindi cha Nabi. Ukiangalia magoli karibia yote waliyofunga Yanga imetoka na pressing ya haraka. Wakati Simba wanaenda kushambulia wachezaji wanafanya pressing na kuuchukua mpira kisha wanaenda kushambulia kwa spidi
 
Kwenye ile mechi Simba walikuwa wanarudi fasta sana wakipoteza mpira ila jumapili ya mkono watu kama wababu bwana. Hata hivyo una hoja nitalitazama hili
 
Inategemea. Kupigwa 5 kunakotokana na kukabia macho huo ni uzembe mkuu. Wachezaji wote wakijitoa kwa moyo kama anavyofanya Kibu D hata wakipigwa 10 ni Sawa Tu.
Kipindi cha kwanza simba ilicheza kwa adabu na heshima, kipindi cha pili Baleke alipokosa goli ikagonga mwamba mkaona mfunguke kuwa inaimudu hapo Tabuleeee ndipo ilianza, zilipigwa counter attack zote zikawa goli.

Mkikuttana na Yanga wawe na adabu
 
Kipindi cha kwanza simba ilicheza kwa adabu na heshima, kipindi cha pili Balele alipokosa goli ikagonga mwamba mkaona mfunguke kuwa inaimudu hapo Tabuleeee ndipo ilianza, zilipigwa counter attack zote zikawa goli.

Mkikuttana na Yanga wawe na adabu
Tena adabu haswaaa. Yanga wakiamua Kwa dhati hata kimataifa watafika mbali.
 
Kipindi cha kwanza simba ilicheza kwa adabu na heshima, kipindi cha pili Baleke alipokosa goli ikagonga mwamba mkaona mfunguke kuwa inaimudu hapo Tabuleeee ndipo ilianza, zilipigwa counter attack zote zikawa goli.

Mkikuttana na Yanga wawe na adabu
Na kama ile ya Baleke ingekuwa Goli stori ingekuwa tofauti...sidhani kama ingefikia kuwa mbaya vile.
 
Na sasa wapo wanasheherekea huko, hii yote kuwatia hasira mzidi kuvurugana...msikubali.
Simba hakuna uongozi wenye ufanisi!! Viongozi Simba ni matapeli!!
Mashabiki hawalalamiki kwasababu timu imefungwa tano ila watu wanacholalamika ni usimamizi wa timu pamoja na usajili.

Ukitizama usajili wa yanga na Azam unaona kuna mipango na watu wamejipanga kufanya kitu!ukija usajili wa Simba unaona wanaokota tu wachezaji bila mipango ya maana.
Viongozi wa Simba ni wale analog wamezoea mpira wa hamasa ule wa zamani! Hata TFF na taifa stars yao walikuwa na mambo ya kutegemea hamasa kupata ushindi!! Ila toka wamebadirika na kuja na mipango ya maana na kuita wachezaji bila mazoea, unaona taifa stars imebadilika,
Hivyo hivyo kwa yanga wanasajili kulingana na mahitaji na pia timu ina usimamizi imara, tofauti na Simba viongozi wanawaza kutengeneza umaarufu ili kupata ubunge tu.

Timu inaenda pre season uturuki kwa mafungu inafanya usajili wa kipa uko uko kwenye pre season na inaachana nae uko uko pre season!! Ndio useme kuwa tuna viongozi wenye weredi!! Harafu mnasajili wachezaji siku nne kabla ya kumaliza pre season!!

Hata ukitizama tu viongozi ikifika mechi kubwa utawaona wanafanya vikao na wachezaji kusisitiza wacheze kwa hamasa zaidi,kama umesajili wachezaji wazuri hamasa ya nini?
Simba imejaa viongozi wale wale wa miaka ya tisini wenye mawazo na mipango ya kizamani na propaganda za kishamba, hata ukimsikiliza mwenyekiti wa bodi akiongea na wanachama,utasikia tutashusha vyuma mara mwaka huu itakuwa kiama yaani ni mbwembwe za kizamani tu.
wakati ni ukuta wakae pembeni waje vijana wa kisasa wenye mipango ya kisasa tusonge mbele.
 
furaha ya Yanga ni Simba kupoteza, na tusisahau kwamba si kupoteza uwanjani tu, bali pia hata ikiwezekana kuipoteza timu.
Mimi kama Mwananchi hili nakataa. Sisi always tupo kuwaonyesha makolo kwamba ni wadogo zetu sema wana kiburi ila hatujawahi kuwatakia lolote baya ndo maana ukifuatilia historia mwaka 1988 tulilazimika kujifunga tukakosa ubingwa ili makolo wasishuke daraja. Tunawapenda wanapoikubali nafasi yao kama wadogo zetu ila shida wana kiburi
 
Yanga Wana uungwana sana
 
Back
Top Bottom