Simba inaiogopa Yanga kuliko chochote kile

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,544
Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani.

Tofauti na Yanga, Yanga timu zote zipo kwenye level moja na kupewa heshima sawa na wote ila si kuhofia na ndio kisa hata timu zinazomtesa Simba mfano Tanzania Prison, Ruvu shooting kwa Yanga ni biskuti tu.

Simba wakifikiria hapo na wakikumbuka ya Zanzibar basi ndio kuhangaika tu kwa waganga, akina Manara kuzunguka radio zote mjini hao Yanga akina Nugas wametulia tuli wanasubiri kumsulubu mtu Jumamosi.

NB: Mimi ni mshabiki kindakindaki wa Azam FC isionekane eti kama nina mapenzi upande mmoja hapo ni maono yangu tu juu ya ujio wa mechi hii.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Utopolo ulivyo na akili fupi sasa! Eti akina Nugaz wametulia, yaani inaonekana akili zako ni hovyo kabisa!
Hii mechi mwenyeji ni Simba hivyo anayepaswa kuipromo ni simba, hata mauzo ya tiketi simba ndio inachukua kwa kuwa ndiye mwenyeji!

Mechi ya kwanza huyo Nugaz wenu hakuwa anazunguka vituo vya radio kuitangaza? Nugaz na wengine ile mechi ya kwanza walikuwa wakiitangaza hadi kwenye vichochoro huko kwa kutumia vipasa sauti vya makopo ili angalau wapate mapato ya kuwanunulia maji wachezaji na 40m za kuwapa wapinzani japo hiyo ilibuma!

Wewe jamaa uwe unatumia japo punje ya akili zako!
 
Usitumie azam kama mwamvuli wakujificha baada ya wewe mwenyewe mtopolo kufaham na kutambua dhoruba itayowashukia hiyo j mosi!
 
Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani.

Tofauti na Yanga, Yanga timu zote zipo kwenye level moja na kupewa heshima sawa na wote ila si kuhofia na ndio kisa hata timu zinazomtesa Simba mfano Tanzania Prison, Ruvu shooting kwa Yanga ni biskuti tu.

Simba wakifikiria hapo na wakikumbuka ya Zanzibar basi ndio kuhangaika tu kwa waganga, akina Manara kuzunguka radio zote mjini hao Yanga akina Nugas wametulia tuli wanasubiri kumsulubu mtu Jumamosi.

NB: Mimi ni mshabiki kindakindaki wa Azam FC isionekane eti kama nina mapenzi upande mmoja hapo ni maono yangu tu juu ya ujio wa mechi hii.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuuuma weeee!. Eti shabiki wa azam!. PUMBAVU ZAKO. Wewe ni UTOPOLO. NYANI Nyie
 
Anayeandika uzi ni utopolo, unategemea aseme nini?
Kwa taarifa yako hii mechi simba tunaichukulia kama mechi zingine ndio maana tumechili tu kule bunju na ratiba yetu ya mazoezi ya kawaida kama tunayoifanyaga tukicheza na kmc..
Yanga mko bize na msemo wa DEBI MECHI NYINGINE KABISA HAIJALISHI UKO VIZURI KIASI GANI....ndio kamsemo kenu haka
 
Waamuzi wasipobadilishwa ghafla,halafu wachezeshe kwa kuruhusu mchezo wa kihuni na mieleka ili kuumiza wachezaji wa Simba wanaojiandaa na CAF championship, wanaweza kuwa sababu ya kubadili historia ya soka nchini.

Kama wasipowalinda wachezaji dhidi ya michezo ya kihuni,unadhani wapenzi watakaa kimya?
 
Wazeeee wa mwiko nyuma mpooo kesho ndo utazama wote nyuma maana mtaukalia kwa maumivu mtakayo pata pale taifa.
 
Na ndio sababu kila unapokuta inaongelewa Timu ya Wananchi juu ya hiyo Derby basi wao ndo wanatokwa na mapwwooovuuuu balaa. 🤣🤣

Punguzeni woga jamani. Teh teh.

#Jikazeni
 
Sasa kama yanga inaziwezea timu zote mbona amecheza mechi nyingi na bdo yuko nafas ya 2
 
Back
Top Bottom