simba 1- kiyovu 0 dakika ya 45

Hapa taifa Midebwedo inacheza lizombe. Simba tafuna minyarwanda hiyo.
 
simba bado inaongoza kwa bao 1 nazo dakika ndio hizo zinayoyoma bila shaka ushindi wetu wana simba. Simbia wanaelewana sana hapa leo. kiyovu wazuri sana kwa kaunta attack .
 
simba bado inaongoza kwa bao 1 nazo dakika ndio hizo zinayoyoma bila shaka ushindi wetu wana simba. Simbia wanaelewana sana hapa leo. kiyovu wazuri sana kwa kaunta attack .
Weldone: ni dk ngapi zimesalia???
 
tunaomba updates tunataka tuyakimbize haya mayeboyebo mapema huku mtaani yakalale yakisubiri 3bila kule Tahrir square.
 
Back
Top Bottom