simba 1- kiyovu 0 dakika ya 45

Tunataka final results we nani mpaka uclose thread...Mama wille tugei matokeo ya mwisho.
 
Wapi Mama Wille? huyu Sinkala binafsi simuamini yawezekana ni mmojawapo wa mayeboyebo.
 
Hongera Simba! Hata kama mambo yameisha kwa sare si mbaya....nyumbani tutashinda hata kwa nusu goli!
 
Back
Top Bottom