uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 7,579
- 10,813
Leo Simba anatupa karata yake kwenye mchezo wa 12 wakiwa na Points 26. Nafasi ya 3. Anayeongoza Ligi ana points 34.
Mpaka sasa Simba amepoteza Mchezo 1 Draw 2 na Ameshinda 8.
Wapinzani Wao Tabora wako nafasi ya 12 kwenye msimamo wakiwa na points 15.
Mchezo utafanyika Saa 10jioni.
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora.
Tukutane hapa kwa updates...
Uran!!
KIKOSI CHA TABORA UNITED KINACHOANZA.
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA
#nguvumoja#...
=====
Mchezo umeanza
5' Kasi ya mchezo bado sio kubwa
9' Mchezo unachezwa katikati kwa muda mwingi
14' Simba wanafanya shambulizi kali, shuti la Saido linagonga nguzo na kutoka nje.
19' GOOOOOOOOOOOOOOOOO
Mshambuliaji Pa Omary Job anaipatia Simba goli kwa njia ya kichwa
30' Simba wanamiliki mchezo muda mwingi
GOOOOOOOOO
Sadio Kanoute anaipatia Simba goli la pili kwa kichwa akimalizia krosi ya Shomari Kapombe.
45' Zinaongezwa dakika 2 za nyongeza
MAPUMZIKO
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
60' Beki wa kati Che Fondoh Malone anaipatia Simba goli la tatu baada ya kutokea piga nikupige.
86' Fredy Michael anafunga goli la nne kwa Simba