Siku yako ya kwanza kucheat ulimtazamaje mwenzi wako?

MadamT unadhani kweli kuna mwanamke ataingia hapa na kusema ameolewa na ashawahi kucheat? i doubt,pamoja na kwamba wanawake walioolewa wana cheat kishenzi,na kwa kuwa mamemba wa mmu wanatoka jamii hii inayotuzunguka ,by implication, wanawake wa mmu walioolewa wengi wao wanacheat pamoja na kujibaraguza kwao.
Mi bana huwa napiga mchana kwenye lunchtime,kisha narudi ofisini,by the time narudi nyumbani (usiku maana napitia Rose garden) nakuwa normal tu nshasahau kila kitu.
by the way umeolewa? usha cheat? hata kama hujaolewa ushawahi kum cheat boyfriend wako? ulijisikiaje baada ya tendo?

maweeee!iwe bojo iwe! Hivi siku mkeo akijua id yako hapa jf halafu akakutana na uzi kama huu utamweleza nini?
 
Nilijua tu kuna mtu ataniambia hivyo, ila nikutoe shaka sina hako kampango, ni kwasababu nimegundua kuna baadhi ya watu humu wanahako kamchezo, sasa nilitaka kujua huwa wanafeel vipi, maana sipati picha kabisa...nikitoka kucheat bamsapu wangu nitamuangaliaje na anavyoniamini na iakatokea na yeye akaomba the do pia itakuwaje? na kwa wanaume hali kadhalika!

Janaume au janamke jizi linaona kawaida tu
 
visabuni vile navyo vinanukiaga kinoma! Vile ambavyo ni disposable. Usipokuwa makini utaumbuka, full kwenda kuoga ukifika home, hapo utajua tayari kamata mwizi meeen!

mimi vile visabuni huwa sivitumii kabisa harufu yake inabaki mwilini muda mrefu unaweza kushtukiwa kilaini unaporudi home.
 
hii mada ya cheating mi huwa inanimaliza kabisa humu mmu,yaani imegubikwa na full unafiki.
Shemu utanidai 'kiroba' kimoja cha konyagi...lol... Uko mkweli sana...hapa wala usitegemee kupata jibu la kweli... Nakuweka kwenye maombi jioni ya leo!
 
Nilijua tu kuna mtu ataniambia hivyo, ila nikutoe shaka sina hako kampango, ni kwasababu nimegundua kuna baadhi ya watu humu wanahako kamchezo, sasa nilitaka kujua huwa wanafeel vipi, maana sipati picha kabisa...nikitoka kucheat bamsapu wangu nitamuangaliaje na anavyoniamini na iakatokea na yeye akaomba the do pia itakuwaje? na kwa wanaume hali kadhalika!
hao wana jf uliogundua wana cheat ni wanawake au wanaume?
Btw ukitoka ku cheat si unanunua na panadol kabisaa dukani? Mzee akiona pakiti ya aspirin anajua tu wala hakusumbui.
 
Mimi ninawasiwasi na huyu Madam T, inawezekana ukawa cheater umekuja hapa kupata mikakati mipya jinsi ya kucheat na macheater wenzako. Goodluck Madam T
 
Ngoja nikusaidie kitu.

Ukiona mumeo siku kaja na furaha na anataka kukutoa out, mwambie alale kitandani afu ukamue dudu yake utaona kuna masalio ya protini au kama vipi inyonye kabisa.

Samahani wanaume wenzangu kwa kuitoa hii siri yetu. Mi nimeacha mwenzenu.
 
maweeee!iwe bojo iwe! Hivi siku mkeo akijua id yako hapa jf halafu akakutana na uzi kama huu utamweleza nini?
la kwanza simwogopi mama Kayai,
pili,mke wangu elimu yake ni P7,hajui hata kuwasha kompyuta,labda wambea wamsomee,
la tatu, ili kumpotezea nitamwambia nilikuwa nafurahisha tu baraza la kina Nduu.
 
Back
Top Bottom