Siku yako ya kwanza kucheat ulimtazamaje mwenzi wako?

MadamT unadhani kweli kuna mwanamke ataingia hapa na kusema ameolewa na ashawahi kucheat? i doubt,pamoja na kwamba wanawake walioolewa wana cheat kishenzi,na kwa kuwa mamemba wa mmu wanatoka jamii hii inayotuzunguka ,by implication, wanawake wa mmu walioolewa wengi wao wanacheat pamoja na kujibaraguza kwao.
Mi bana huwa napiga mchana kwenye lunchtime,kisha narudi ofisini,by the time narudi nyumbani (usiku maana napitia Rose garden) nakuwa normal tu nshasahau kila kitu.
by the way umeolewa? usha cheat? hata kama hujaolewa ushawahi kum cheat boyfriend wako? ulijisikiaje baada ya tendo?
 
wanawake hutafuta sympath, sio kwamba hawacheat, wa maofisini tunaona jamani khaa! Nway watakaa kimya coz hivyo ndo wafanyavyo kujionyesha wao ni unprivilledged innocent creatures. Anaebisha wanawake hawacheat kuliko wanaume aje atoe critical arguments. Wao wakigongwa hurudi mapema kukupikia bwana. Kwa wanaume tunaeleweka we got nothing to hide bana.
 
lakini Mkuu whats a point u demand confessions za wenzio lakini when it comes to you personaly unajitia hamnazo? kuna fair play kweli hapa?
 
ndo kwanza nilimtoa out since it was Friday ................tukaanzia weekend huko by the time tunarudi nyumbani nishasahau kama nimerusha maji nje siku hiyo!

Mama yangu wee>. kwa hiyo zizi ofa za outing tunahaja ya kuzianalyse eee
 
ukishaona unacheat mara kwa mara ujue its better uachane na ulienae coz hakuridhishi for sure unless uwe umejikuta once na ukaenda kuconfess. Ndugu zangu ukimwi ni tatizo jamani kama umehudumia mtu wa karibu ndo utajua. Say NO to cheating!.
 
MadamT unadhani kweli kuna mwanamke ataingia hapa na kusema ameolewa na ashawahi kucheat? i doubt,pamoja na kwamba wanawake walioolewa wana cheat kishenzi,na kwa kuwa mamemba wa mmu wanatoka jamii hii inayotuzunguka ,by implication, wanawake wa mmu walioolewa wengi wao wanacheat pamoja na kujibaraguza kwao.
Mi bana huwa napiga mchana kwenye lunchtime,kisha narudi ofisini,by the time narudi nyumbani (usiku maana napitia Rose garden) nakuwa normal tu nshasahau kila kitu.
by the way umeolewa? usha cheat? hata kama hujaolewa ushawahi kum cheat boyfriend wako? ulijisikiaje baada ya tendo?

Bishanga umejuaje kwamba wanacheat? Halafu maswali gani hayo unaniuliza tena jamani, mi nimeshaolewa, ila sijawahi kucheat kwa husband, ila kwa BF niliwahi, na siku nilyoonana naye baada ya kucheat nilijisikia vibaya na ndio ikawa bye bye nikajihukumu na kumdelete. Halafu usiseme najibaraguza hapo..
 
Kwa wale cheaters, hivi jamani siku ya kwanza kucheat especially kwa wenye ndoa, mlijisikiaje au mliwatazamaje wenzi wenu mara mlipo rudi nyumbani?

usiseme hivyo ndugu yangu juzi kamkuta mke wake na mwanaume ndani tena kitandani kwao wanafanya mapenzi ndoa changa ya ya miezi mitano.hicho kipigo alichopewa sijui kama atapona na akipona hapo
 
lakini Mkuu whats a point u demand confessions za wenzio lakini when it comes to you personaly unajitia hamnazo? kuna fair play kweli hapa?

U r right bishanga, i think we better change our attitudes, sema shetani huwa mjanja kweli, yaani atakutafuta mpaka akudande kudadadeki. Ila ukichapa nje ukirudi home graph ya mapenzi huwa juu kweli. Ndo maana my waifu wangu akirudi na 'dia' zisizokawaida najitokea maana mh usijemchunguza bata sana waweza kuacha kumla bure aku mwenzenu.
 
unamtazama kawaida tu, kwani yeye ndo alikuwa wa kwanza?? ili hali amenikuta nishakuwa double road sasa nini cha ajabu hapa.

Kwani suala ni wa ngapi hapo? Ishu ni kwamba yeye ndiye aliyekuwa la azizi wako by the time unachomoka
 
haya cheaters and scoundrelrs uwanja wenu. Tumwagieni vijisiri hivyo basi wajemeni khaa.
 
sijaoa nataraji kuoa karibuni lakini kucheat siwezi na wala sitaweza kufanya huu ushetani wanaocheat ndani ya ndoa mungu awaepushie shetani mbaya

Naunganisha sala zangu kwako Mungu akujalie jamani na akuwezeshe!
 
Madam, yaani usipotoa pachupachu siku hiyo ndo utaumbuka. Lazima hiyo tena ya kujituma kikazi zaidi. Ila ni vibaya wandugu.
 
Back
Top Bottom