Siku yako ya kwanza kucheat ulimtazamaje mwenzi wako?

Ukiona patner wako anazidisha malavidavi basi ujue kaonja nje.
OTIS.
 
visabuni vile navyo vinanukiaga kinoma! Vile ambavyo ni disposable. Usipokuwa makini utaumbuka, full kwenda kuoga ukifika home, hapo utajua tayari kamata mwizi meeen!
 
Kwa wale cheaters, hivi jamani siku ya kwanza kucheat especially kwa wenye ndoa, mlijisikiaje au mliwatazamaje wenzi wenu mara mlipo rudi nyumbani?

Inaonyesha unataka uende kucheat, angalia usije ukachonga mzinga, vidume siku hizi vikikamata mke wa mtu vinajikunja balaa kumfunika mme wa ndoa.
 
Naunganisha sala zangu kwako Mungu akujalie jamani na akuwezeshe!

tatizo watu huwa na roho ngumu sana Ukimwi hawauogopi? Imagine unapocheat na ukamletea mwenzio gonjwa? Yaani si vizuri kabisa wanandoa mkawa wa hivi maana kama waweza kucheat na ukarudi ukala bata na mwenzio akifanya nae atakula Bata nawe hivyo hivyo "mwosha huoshwa" lakini si wanaume ukijua mke anacheat unamfukuza na unaweza kumtoa roho lakini wewe unadai shetani mbaya nisamehe wife? Sasa wanaocheat katika ndoa wanahatarisha jamii na kuleta faraka wakishafariki watoto wa nje kibao katika mgao wa urithi
 
utajuaje unacheat wakati uko katika open ralationship.ila mapenzi ya wizi matamu sana nayapenda kweli
 
Bishanga umejuaje kwamba wanacheat? Halafu maswali gani hayo unaniuliza tena jamani, mi nimeshaolewa, ila sijawahi kucheat kwa husband, ila kwa BF niliwahi, na siku nilyoonana naye baada ya kucheat nilijisikia vibaya na ndio ikawa bye bye nikajihukumu na kumdelete. Halafu usiseme najibaraguza hapo..
nimecheki orodha ya mamemba wanawake jf wako 5001,we nimekutik as a non cheater,nawasubiria hao wengine elfu tano waliobaki,leo sibanduki kwe uzi huu mpaka waje.Ukiweza waite basi.
 
visabuni vile navyo vinanukiaga kinoma! Vile ambavyo ni disposable. Usipokuwa makini utaumbuka, full kwenda kuoga ukifika home, hapo utajua tayari kamata mwizi meeen!
dawa ni kujilia vitu vyako mchana,baadae una toka jasho vizibiti vyote vinatoweka by the time unarudi nyumbani usiku.
na usirogwe ukakandamizia kwenye gari unaweza ukasahu kipande cha kitendea kazi humo ikawa soo asubuhi unapompandisha mama Kayai kwenye gari mwende kazini.
 
ukigundua mkeo ametoka kumegwa, na wewe umetoka kumcheat.
Yani ngoma ikawa droo.
Utapata ujasiri wa kumuuliza kwanini anakucheat kweli?
 
Baada ya tendo kufanyika nilijilaumu sana na kumchukia mwanamke nilie cheat nae na mawasiliono nae ikama mwisho siku hyohyo,
 
Bishanga umejuaje kwamba wanacheat? Halafu maswali gani hayo unaniuliza tena jamani, mi nimeshaolewa, ila sijawahi kucheat kwa husband, ila kwa BF niliwahi, na siku nilyoonana naye baada ya kucheat nilijisikia vibaya na ndio ikawa bye bye nikajihukumu na kumdelete. Halafu usiseme najibaraguza hapo..

basi kwa husband inakuja,u'll madam T
 
Bishanga umejuaje kwamba wanacheat? Halafu maswali gani hayo unaniuliza tena jamani, mi nimeshaolewa, ila sijawahi kucheat kwa husband, ila kwa BF niliwahi, na siku nilyoonana naye baada ya kucheat nilijisikia vibaya na ndio ikawa bye bye nikajihukumu na kumdelete. Halafu usiseme najibaraguza hapo..

Kwani hawa tunaokutana nao mitaani na kwenye magest sio wanawake? Jamani, tusianze kudanganyana hapa. Cheating ipo tena imeota mizizi, kwa wake na waume.
 
dawa ni kujilia vitu vyako mchana,baadae una toka jasho vizibiti vyote vinatoweka by the time unarudi nyumbani usiku.
na usirogwe ukakandamizia kwenye gari unaweza ukasahu kipande cha kitendea kazi humo ikawa soo asubuhi unapompandisha mama Kayai kwenye gari mwende kazini.
Khaaa!
 
Inaonyesha unataka uende kucheat, angalia usije ukachonga mzinga, vidume siku hizi vikikamata mke wa mtu vinajikunja balaa kumfunika mme wa ndoa.

Nilijua tu kuna mtu ataniambia hivyo, ila nikutoe shaka sina hako kampango, ni kwasababu nimegundua kuna baadhi ya watu humu wanahako kamchezo, sasa nilitaka kujua huwa wanafeel vipi, maana sipati picha kabisa...nikitoka kucheat bamsapu wangu nitamuangaliaje na anavyoniamini na iakatokea na yeye akaomba the do pia itakuwaje? na kwa wanaume hali kadhalika!
 
Kwani hawa tunaokutana nao mitaani na kwenye magest sio wanawake? Jamani, tusianze kudanganyana hapa. Cheating ipo tena imeota mizizi, kwa wake na waume.

Sawa..lakini unajuaje kma anacheat?
 
Back
Top Bottom