Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,857
- 2,549
Kuwa fresh eiza kidini au kiasili maana hawaeleweki, wanaweza wasikuondoe lakini wakakupa limbwata.UmeishaDuh! Kwaio ni bora tukipata pesa tuwawahi wake zetu kabla.hawajatuwahi au?
Kuwa fresh eiza kidini au kiasili maana hawaeleweki, wanaweza wasikuondoe lakini wakakupa limbwata.UmeishaDuh! Kwaio ni bora tukipata pesa tuwawahi wake zetu kabla.hawajatuwahi au?
Huyo ndo mganga wa kweli! Hayuko kimasilahi Yuko kusaidia jamiiAisee...
Alimchimbia jamaa kaburi akaingia yeye
Afu kuna fala badi linanishauri NIOElmao
Jamaa katisha!Kuna jamaa Moja ana Hela nyingi Sana . Kauli mbiu yake Ni " I am too rich to get married"
He says " marriage is a thing for poor people"
Ukiwa huna Hela utachapiwa Tu lakini ukiwa na Hela unaweza kutangulizwa ili yeye abaki na Hela
Sasa kipi Bora kuchapiwa au kutangulizwa?
Babu ni mkaliHapana Yule babu alikuwa mganga muaminifu hakukubaliana na upuuzi wa mke . Mume aliopolewa akawa vizuri kabisa. Baada ya zile siku 21 mke hakuchukua hata wiki akafa yeye
Sawa ndugu.Sina uwezo mkuu
Aisee mbona tutaanza kuogopa kuishi nao2011 nimefika kwa Kaka yangu namkuta anaumwa balaa..halafu mke wake yaan full ujuaji..ooh Kaka yako atakuwa karogwa na na yule Malaya wake ..ooh Mara hivi Mara vile..nikalala pale usiku sielewi elewi Kaka analia chumban mbavu zinabana halafu mke hajali...nikawagongea nikambeba bro had chumba changu..asubuhi nikaondoka nae nikasema akacheki hospital..ile tumetoka nje ya getini nikamwambia kaka tunaenda kigoma..Moja kwa Moja From kogamboni to Kigoma..huko mtaalamu akabaini mke ndo muhusika..bro akatibiwa kwa miezi miwili...akapona...
Huku nyuma Shem akaanza kulalamika nimemuiba mgonjwa hajui alipo mume wake..akalaani Sana..
Mtaalamu akaeleza uchawi uliofanyika shemeji akishirikiana na mama Yake mzaz walitumia mjusi mwenye mimba ambae walimpasua na kutoa kitoto Cha mjusi ambacho walikisaga na kuchanganya na dawa zingine wakamtilia kwenye chakula..ile kitu ikaenda ikafunga utumbo mpana na kusababisha vichomi..broo akawa hapati haha kubwa ..anakula lakn haendi chooni ....
To cut the story short broo alipona ila yule shemeji amepooza yuko kwao hapo kaskazin mwa Tanzania..
UliAisee mbona tutaanza kuogopa kuishi nao
Ulishaelekezwa kuishi nao kwa akili, wanaume wengi wanakubwa na shida za ama kufa iwa njia hiyo au kutengwa(rejea thread ya ROBERT HERIEL ) kwa sababu ya kumuacha mke ajenge taasisi yake ndani ya familia..mke kumjua mume vionjo vyake ambapo mume hajali..Sasa wakati ukifika mke kwa kuwa alishaelewa wapi pa kupiga na namna ya kupiga bas anakuwahi mapema na anakumaliza...Aisee mbona tutaanza kuogopa kuishi nao
Mmh!! Haya mambo yanaogopesha. Poleni sana2011 nimefika kwa Kaka yangu namkuta anaumwa balaa..halafu mke wake yaan full ujuaji..ooh Kaka yako atakuwa karogwa na na yule Malaya wake ..ooh Mara hivi Mara vile..nikalala pale usiku sielewi elewi Kaka analia chumban mbavu zinabana halafu mke hajali...nikawagongea nikambeba bro had chumba changu..asubuhi nikaondoka nae nikasema akacheki hospital..ile tumetoka nje ya getini nikamwambia kaka tunaenda kigoma..Moja kwa Moja From kogamboni to Kigoma..huko mtaalamu akabaini mke ndo muhusika..bro akatibiwa kwa miezi miwili...akapona...
Huku nyuma Shem akaanza kulalamika nimemuiba mgonjwa hajui alipo mume wake..akalaani Sana..
Mtaalamu akaeleza uchawi uliofanyika shemeji akishirikiana na mama Yake mzaz walitumia mjusi mwenye mimba ambae walimpasua na kutoa kitoto Cha mjusi ambacho walikisaga na kuchanganya na dawa zingine wakamtilia kwenye chakula..ile kitu ikaenda ikafunga utumbo mpana na kusababisha vichomi..broo akawa hapati haha kubwa ..anakula lakn haendi chooni ....
To cut the story short broo alipona ila yule shemeji amepooza yuko kwao hapo kaskazin mwa Tanzania..
Hata usipoyawaza Ndugu utakutana nayo tu. Kuna usemi kutokujua Sheria hakukufanyi usifungwehaya mambo ukiwaza sana unaeza kuta huoi kabisa
Kumbuka Kwenye Story hapo wameangaika Kwa Wachungaji wengi. Ila Kumbuka Maombi bila Kutumia na Akili timamu utashangaa unakufa na Maombi yako. Watu wanatengenezwaHuyo anayesema unadanganya hajawahi miliki pesa ndefu na kukutana na real face or the dark side of his wife.
Tumeshauriwa tuishi nao kwa akili bila kusahau maombi ya bila kukoma kujiombea na kuzitakasa familia zetu.
NI bora yaje ukiwa unajua taadhali inakuwepoHata usipoyawaza Ndugu utakutana nayo tu. Kuna usemi kutokujua Sheria hakukufanyi usifungwe
Nimecheka Kwa sauti 🤣🤣🤣Amkeni kumekucha tushadanganywa tena