Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

Kuna jamaa Moja ana Hela nyingi Sana . Kauli mbiu yake Ni " I am too rich to get married"

He says " marriage is a thing for poor people"

Ukiwa huna Hela utachapiwa Tu lakini ukiwa na Hela unaweza kutangulizwa ili yeye abaki na Hela

Sasa kipi Bora kuchapiwa au kutangulizwa?
Jamaa katisha!
 
2011 nimefika kwa Kaka yangu namkuta anaumwa balaa..halafu mke wake yaan full ujuaji..ooh Kaka yako atakuwa karogwa na na yule Malaya wake ..ooh Mara hivi Mara vile..nikalala pale usiku sielewi elewi Kaka analia chumban mbavu zinabana halafu mke hajali...nikawagongea nikambeba bro had chumba changu..asubuhi nikaondoka nae nikasema akacheki hospital..ile tumetoka nje ya getini nikamwambia kaka tunaenda kigoma..Moja kwa Moja From kogamboni to Kigoma..huko mtaalamu akabaini mke ndo muhusika..bro akatibiwa kwa miezi miwili...akapona...

Huku nyuma Shem akaanza kulalamika nimemuiba mgonjwa hajui alipo mume wake..akalaani Sana..
Mtaalamu akaeleza uchawi uliofanyika shemeji akishirikiana na mama Yake mzaz walitumia mjusi mwenye mimba ambae walimpasua na kutoa kitoto Cha mjusi ambacho walikisaga na kuchanganya na dawa zingine wakamtilia kwenye chakula..ile kitu ikaenda ikafunga utumbo mpana na kusababisha vichomi..broo akawa hapati haha kubwa ..anakula lakn haendi chooni ....

To cut the story short broo alipona ila yule shemeji amepooza yuko kwao hapo kaskazin mwa Tanzania..
 
Aisee mbona tutaanza kuogopa kuishi nao
 
Aisee mbona tutaanza kuogopa kuishi nao
Uli
Aisee mbona tutaanza kuogopa kuishi nao
Ulishaelekezwa kuishi nao kwa akili, wanaume wengi wanakubwa na shida za ama kufa iwa njia hiyo au kutengwa(rejea thread ya ROBERT HERIEL ) kwa sababu ya kumuacha mke ajenge taasisi yake ndani ya familia..mke kumjua mume vionjo vyake ambapo mume hajali..Sasa wakati ukifika mke kwa kuwa alishaelewa wapi pa kupiga na namna ya kupiga bas anakuwahi mapema na anakumaliza...
Kuwa predictable kwa mke Ni Hatari Sana...
 
2011 nimefika kwa Kaka yangu namkuta anaumwa balaa..halafu mke wake yaan full ujuaji..ooh Kaka yako atakuwa karogwa na na yule Malaya wake ..ooh Mara hivi Mara vile..nikalala pale usiku sielewi elewi Kaka analia chumban mbavu zinabana halafu mke hajali...nikawagongea nikambeba bro had chumba changu..asubuhi nikaondoka nae nikasema akacheki hospital..ile tumetoka nje ya getini nikamwambia kaka tunaenda kigoma..Moja kwa Moja From kogamboni to Kigoma..huko mtaalamu akabaini mke ndo muhusika..bro akatibiwa kwa miezi miwili...akapona...
Huku nyuma Shem akaanza kulalamika nimemuiba mgonjwa hajui alipo mume wake..akalaani Sana..
Mtaalamu akaeleza uchawi uliofanyika shemeji akishirikiana na mama Yake mzaz walitumia mjusi mwenye mimba ambae walimpasua na kutoa kitoto Cha mjusi ambacho walikisaga na kuchanganya na dawa zingine wakamtilia kwenye chakula..ile kitu ikaenda ikafunga utumbo mpana na kusababisha vichomi..broo akawa hapati haha kubwa ..anakula lakn haendi chooni ....
To cut the story short broo alipona ila yule shemeji amepooza yuko kwao hapo kaskazin mwa Tanzania..
Mmh!! Haya mambo yanaogopesha. Poleni sana
 
Siku hizi Post Nyingi za Masimulizi Lazima Nizichukulie serious sana. Na kuchukua Jambo la Kujifunza katika Maisha hata kama Halijanitokea

Ingawa Mke wangu kuna Siku aliniambia Wanawake ni Viumbe wenye Roho mbaya sana. Akaniambia hivyo usituone hivi hivi ila Tuna Roho mbaya sana Sisi

Sasa Hapa Ndugu yangu tunajiepushaje na Hawa Viumbe ukizingatia ndio wanatupikia na Kutulisha
 
Huyo anayesema unadanganya hajawahi miliki pesa ndefu na kukutana na real face or the dark side of his wife.
Tumeshauriwa tuishi nao kwa akili bila kusahau maombi ya bila kukoma kujiombea na kuzitakasa familia zetu.
Kumbuka Kwenye Story hapo wameangaika Kwa Wachungaji wengi. Ila Kumbuka Maombi bila Kutumia na Akili timamu utashangaa unakufa na Maombi yako. Watu wanatengenezwa
 
Back
Top Bottom