Siku hizi watu wabishi kwenye kuomba kazi

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
kudadaddadadaki-lusindo
582691_385446808162811_100000924845033_1170231_249866664_n.jpg
 
Imenikumbusha kipindi naomba kazi mara ya kwanza baada ya kutoka chuoni,nilisikia mdada aliyekuwa na nafasi hiyo kamfuata mumewe Canada na hana mpango wa kurudi basi taarifa nilizifikisha mimi pamoja na application letter,kilichofuata ni interview na kazi niliichukua.
 
bado jibu ni NO VACANCY.....sababu Technical derpartment ya kampuni imefungwa baada ya jamaa kufariki....!!
 
Double Biiiiiiiiii umenivunja mbavu. yaani umenifanya nisahau machungu yote niliyopata kwa hiki kicheko
 
Kazi kweli kweli, inaonekana jamaa huwa anatafuta kazi kwenye kampuni hiyo hiyo tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom