Siku hizi watu wabishi kwenye kuomba kazi

Yani hapa ndo kanivunja kambavu kangu kabisaa... Kweli jamaa mbishi... teh heh hih....
Attached to my letter is a copy of my CV and death certificate!!!

 
hahahha...I like it! sometimes you have to go an extra mile to get what you need
 
Kaazi kwelikweli,
Kwa juhudi hizi anastahili kujaza hiyo nafasi, ushahidi anao kwamba nafasi ni nyeupe.
 
He's got the guts.
Naamini kama msibani alikuwepo wakibisha atatoa mpaka picha.
Lakini hii ya ku-attach na death cert noma.

Aisee nimecheka kwa maumivu, maana nilikuwa darasani.
Hii kali sana.
 

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom