Watanzania bado ni wabishi

Hi dunia ase,mtu unakuwa na akili ya kuweka akiba ya kununua gari ya zaidi ya sh.mil.200 lakini unakosa akili ndogo ya kuchukua tahadhari kama hyo?

Kuhusu bajaji na bodaboda najua ni njaa tu,kwahyo ni haki yao kufanya hayo
 
Mkuu kangesa,
Ni halali bajaji apoteze maisha kwa kuwahi shilingi elf3?

Nafikiri ni sahihi kuchukua tahadhali isijalishe aina ya Chombo.

Maisha ni mara moja tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom