Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,482
- 9,517
HATA iWEPO SERIKALI GANI LAZIMA MAHAKAMA ZIWEPO.
LAZIMA MAHAKAMA ZIHESHIMIWE.
MABADILIKO SIO KWA KUASI SHERIA
MABADILIKO YANAWEZA KUPATIKANA NDANI YA SHERIA
WALA MAHAKAMA HUWA HAZIPINDI SHERIA KUIPENDELEA SERIKALI
MAHAKAMA ZINASIMAMIA SHERIA
NA PENYE MTAFARUKU, MAHAKAMA HUTAFUTA SULUHU MUAFAKA.
MBONA MNYIKA ALITAMKWA MSHINDI NA MAHAKAMA?????
WACHA FIKRA MGANO WEWE
Mahakama za bongo hazitaheshimika kamwe kwa mwenendo wake wa sasa, zimepoteza sifa kwa kukubali kutumiwa na watu flani ambao mahakama zimewafanya ndo wenye faida na sheria! hakuna mahakama bongo hii,zimebaki kuwa vichaka vya wenye nguvu na wenye pesa, kutenda haki hadi watishwe na nguvu ya umma!! Mahakama my masaburi!