Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

Unachekesha Almeida

Unaandika kwa ushabiki


1: majibu yako namba 2, 3 4 na 5 Naona umeanza kutoa majibu mepesi kwa Hoja nzito

KAMA UMESHINDWA KUNITHIBITISHIA BEYOND REASONABLE DOUBT BASI HATUNA SABABU YA KUENDELEA KUJADILI.

2: Kwani serikali yako inamuadhibu nanai? kama hulijui hilo fungu kasome biblia hayo sio maneno yangu. Unaruhusiwa kunipa majina yote utakayopenda ila hayabadilishi msimamo wangu.

3: Sijatumia neno serikali yote na wala hujaninukuu, Maslahi binafsi yapo kwa sababu wanatabia ya kugawiana walionavyo ndo mana wanawasahau wenzao wa chini kama wanavyotusahau sisi

4: Kapeleke wewe kwa huyo ****** make unaonekana unanguvu nyingi za kutuandikia watu wa kawaida kumbe kwa ****** Unagwaya? tehtehtehhhhh

Sisi tushamfikishia Ujumbe... Asubiri matokeo.
 
  1. Suala la 200,000 kutotosha na kwa ujumla mazingira ya kazi ya kada ya walimu nimekubaliana na wewe na wengine tangu mwanzo kuwa malipo hayatoshi na mishahara pia. Nadhani utakubaliana na mimi kwamba kuna tatizo lililojitokeza la walimu wa Voda Fasta (UPE) na ndio mzizi wa yote haya. Nadhani pia umeshuhudia kwamba kuna mkora mmoja alikwenda akafanya ualimu kuwa ndio kada ya mwisho; ie lowest qualifications ndizo zinampeleka mtu Teachers Training; tofauti na ilivyokuwa zama za wakoloni.
  2. UFISADI ni UFISADI tu; ukiwa mdogo au Mkubwa ni ufisadi, Ukiwa MEREMETA au TRAFFIC ni ufisadi; na CWT ni mafisadi.
  3. KAWAIDA YANGU? Tunajadiliana Kiswahili unaleta OXFORD?? Wewe una uviza wa akili?
  4. Uchambuzi Mheshimiwa Mwalimu; Majaji wa Voda Fasta ni kama walimu wa Voda Fasta!
  5. Hukuutaka mfano ule; kwa kuwa wewe ni mwalimu; unaweza toa mfano hai wa kuiweka pointi inavyostahili kwa nilivyokusudia.
Nashukuru kwa kuzidi kunifahamu.

Malipo sina; ni uzalendo.

Damu sijamwaga, au una ushahidi?

1: Sasa kama umekubali unaleta longolongo za nini? Hao walimu wa vodasfasta ni akina nana? na kama wapo ni nani aliyeweka utaratibu wa kuwa recruit? NI SERIKALI YAKO.. sasa leo unakurupuka eti walimu tunahujumu Elimu.. SISI NDO TULILETA WALIMU WA UPE? HATA MKE WA RAIS MWENYEWE MWALIMU WA UPE UNATEHEMEA NINI? KUSHNEHHHH

2: Ni kweli ufisadi ni ufisadi na mimi sipendi.. sasa ili nikuelewe na nikawawajibishe hao unaowaita mafisadi wa CWT LETA HAPA USHAHIDI USIOTIA MASHAKA WA HUO UFISADI WAO... USIPOFANYA HIVO NTAKUONA MROPOKAJI NA SITOKUWA NA SABABU YA KUENDELEZA MJADALA NA WEWE TENA.

3: RUDI DARASANI ukishindwa/hutaki acha

4: Mimi ni mwalimu NA SIO MHESHIMIWA KAMA MLIVYOZOEA KUITWA NJIE WANASIASA NA MAJAJI UCHWARA (WA UPE) kama ulivowatafsiri mwenyewe.. NA MSIPOITWA MNAONA MMESHUSHWA NA MABIFU JUU MNAANZISHA.. KWA TAFSIRI YAKO KUMBE WAPO MAJAJI WA UPE NDO MANA MAAMZI YAO NI YA KIHUNI HUNI TUU.

5:Mheshimiwa mchambuzi... ahahahaaaaa Unataaluma gani mkuu? au ndo ile ukiwa mshabiki wa mpira wa mda mrefu unakuwa mchambuzi wa sokaaaaaaa? watu wengine bwana..

6: Usilazimishe mambo mkuu na uwe mtu wa kukubali fact mfano hauendani na mazingira.. yani hata kama ni pumba nikubali tuu? mbona kuna mambo humu tumekubaliana?

7: ahahahaaaaaaaa mheshimiwa mzalendoooooo.unamajibu mepesi aiseeeee..

8: Unataka ushahidi wewe unhhhhhhhhhhh, kweli mmkuki kwa nguruwe.. wewe unaowaacuse humu umeleta ushahidi usiotia mashamka? kama hujaleta basi kubali kuwa accused pia...


KAZI NJEMA MKUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.
 
Swali limejibiwa; hujataka tu kukiri!

Nimefanya mengi; moja wa mambo niliyofanya ni KUKEMEA UOVU WA WALIMU WAKORA WANAOITUMIA CWT VIBAYA ILI KUATHIRI TAIFA LETU


MAKAMEEEEEEEEEEEEEEEE EEEEEEEEEEEEEEEEEE... Hongera sana kwa kukemea ufisadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Ili tusikuone mgoonjwa wa ikili (Ili tujue HAYO ULONAYO SIO MA-DELLUSION)

LETA USHAHIDI USIOTIA MASHAKA (WA NYARAKA) WA UFISADI WA CWT kama sio hivyo NTAAMINI WEWE UNAUMWA AKILI MOST LIKELY HYPOMANIC

Kamkemee JK mkuu bado anatuangusha sana aiseee... Huyo kakako ni noma anakula balaaa hata aibu hana aisee.... Hivi wewe ni mtoto wa mke yupi vileeeee.. Uko na Ramadhani Ighondu ofisi moja au wewe upo ya Pembeni yake vile..
 
kama nchi inaongozwa na serikali isiyo na heshima unategemea nani aiheshimu
 
  1. Fanya hayo ya Misri Almeida. Wewe umeshindwa kazi! Na kama kivuli ni wewe na Wakora wengine wanaojidai kuingia Darasani kuwadanganya watoto; MUNGU ATAWALIPA UDHALIMU WENU
  2. Muwajibike nyinyi kwanza kabla hamjamuwajibisha mtu. Rais ana mandate mpaka 2015! Nimekwambia Serikali imetangaza kutanua Wigo na mimi sio serikali. Maswali yako yanamfaa zaidi mgimwa. Na kama kuna aliyetumwa ni wewe kupotosha kwa propaganda za uzandiki za CWT.
  3. Wewe ni mchangiaji Mkubwa wa kushuka kwa elimu na usemi wako LIWE LIWALO
  4. CWT Watoto wa kunyonya hata meno hawajaota
  5. Propaganda kwamwambie basha wa CWT Mukoba

Ahahahahaaaaaaaa... Umeanza kuishiwa sasa na ndivo serikali yako ilivyo Yani inamajibu mepesi kwa hija nzito na wewe unaendeleza majibu hayo hayo. Haya ngoja nikuvumilie kwa kujibu hayo uloamini ndiyo majibu yanayoendana na hoja zangu.. UJUMBE KUHUSU BOSI WAKO UMEUPATA HATA KAMA HUTAKI KUUJIBU..

1: Suaa kama la MISRI yes litafanyika tu nis ISSUE ya MDA TU.. ndo mana misri hawakumtoa rais wao mwaka 2008 lakini mda ulipofka walimtoa... Najua unampenda sana JK na udhalimu wa serikali yake na hupendi atoke ila mkumbushe sisi ndo tuliomuweka hapo alipo pia tunanguvu ya kumuondo kwa njia yoyote iwe halali au haramu Ila tukishamtoa hata ikiwa Haramu hua inakuwa halali (kanuni ya Mapinduzi anayeshinda ndo yuko sahihi anaandika nakatiba yake anaanza na kuongoza nchi) TIME WILL TELL

JK ndo anayetuzingua na MUNGU ALISHAANZA KUMLIPA.

2:
(a) Kamwambie kama hataki kuwajibika Tutamuwajibisha sisi kwanza.
(b) WE KICHWA CHA PANZI KWELI SASA ULIAMINI PUMBA HIZO BILA KUFIKIRI HALAFU UANTAKA MIMI NDO NIKAKUULIZIE MASWALI ULOPASWA KUULIZA KABLA HUJATAPIKA HUO UPUUZI HAPA JAMVINI? mwenzako anafanya siasa ndo mana hakuweza kuainisha huo wigo ni upi.. U AR JUST A FIELD AGENT MKUU..

HIVI HUYU JAMAA SIKUHIZI HUWA ANAWATOA WAPI? MBONA VIJANA WA ZOKA WA SIKU HIZI MNAUWEZO MDOGO SANA WA KUFIKIRI? YANI HUWA MNAKUJA NA PUMBA AMBAZO MNASHINDWA KUZIDEFEND.. AU NA NYIE MPO WA VODAFASTA? TOOO SHAMFULL

3(c) endelea kuamini unavyoamini ila Huatranadilisha msimamo wangu...ANAYEUA TAIFAHILI SIO TU KATIKA ELIMU NI MR DHAIFU.. Mfikishie Ujumbe

4: Aisee unamajibu mepesi unhhhhhhhh, Kweli siku hizi UWT wana Vilaza aiseeee.

5: Propaganda ni science sasa nyie mnakurupauka tu kuimplement kabla ya kwenda shule ndo mana zinafail unakuta kama movie ya kova na mkenya? Jambo liko mahakamani nad so on... NENDENI SHULE NA MUHESHIMU PROFESSIONALISM.. MNAPROPAGANDA ZA KITOTO HATA MTOTO WA CHEKECHEA ANAWASHITUKIA AISEEEEEE
 
Mheshimiwa MAKAMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE..

FIELD AGENT MTIIFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

GOOD JOB AND WELL DONEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE


MSALIMIE MKULUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Back
Top Bottom