Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

HATA iWEPO SERIKALI GANI LAZIMA MAHAKAMA ZIWEPO.

LAZIMA MAHAKAMA ZIHESHIMIWE.

MABADILIKO SIO KWA KUASI SHERIA

MABADILIKO YANAWEZA KUPATIKANA NDANI YA SHERIA

WALA MAHAKAMA HUWA HAZIPINDI SHERIA KUIPENDELEA SERIKALI

MAHAKAMA ZINASIMAMIA SHERIA

NA PENYE MTAFARUKU, MAHAKAMA HUTAFUTA SULUHU MUAFAKA.

MBONA MNYIKA ALITAMKWA MSHINDI NA MAHAKAMA?????

WACHA FIKRA MGANO WEWE

Mahakama za bongo hazitaheshimika kamwe kwa mwenendo wake wa sasa, zimepoteza sifa kwa kukubali kutumiwa na watu flani ambao mahakama zimewafanya ndo wenye faida na sheria! hakuna mahakama bongo hii,zimebaki kuwa vichaka vya wenye nguvu na wenye pesa, kutenda haki hadi watishwe na nguvu ya umma!! Mahakama my masaburi!
 
Mahakama ni ya wote

wasipopenda maamuzi ya mahakama, kuna fursa ya rufaa na sio kuchukua sheria mikononi
Mkuu kwanza tujiulize nikwanini upande mmoja tu ndio unakimbilia mahakamani? je hakuna njia mbadala ni mahakama tu?
 
makame umetumwa na magamba. we unaona hizi mahakama ziko sawa?? unaongea tu na kuandika ujinga tu hapa.
 
HATA iWEPO SERIKALI GANI LAZIMA MAHAKAMA ZIWEPO.

LAZIMA MAHAKAMA ZIHESHIMIWE.

MABADILIKO SIO KWA KUASI SHERIA

MABADILIKO YANAWEZA KUPATIKANA NDANI YA SHERIA

WALA MAHAKAMA HUWA HAZIPINDI SHERIA KUIPENDELEA SERIKALI

MAHAKAMA ZINASIMAMIA SHERIA

NA PENYE MTAFARUKU, MAHAKAMA HUTAFUTA SULUHU MUAFAKA.

MBONA MNYIKA ALITAMKWA MSHINDI NA MAHAKAMA?????

WACHA FIKRA MGANO WEWE
ngoja nikupe shule ndugu kuna aina nyingi za kidemokrasia za kudai haki miongoni mwa hizo zipo zile zinazohitaji taratibu za kisheria (democracy that operates within legal framework) a lakini zipo njia za kidemokrasia ambazo hazihitajib sana hiyo legal framework na mfano mzuri ni popular democracy ambayo watu wa misri waliitumia kujikomboa.
ukae ujue kwamba hakuna serikali iliyotayari kwa mabadiliko, adui mkubwa wa utawala ni changes hivyo hutakuja kusikia serikali inasema mgomo fulani wa wafanyakazi ni halali na ndio maana wanakimbilia sana mahakamani. akili za kupewachanganya na zako.
 
ANGALIA TAARIFA YA KATIBU MKUU KIONGOZI

[h=3]TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA KUANZIA JUMATATU[/h]SERIKALI kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi leo, Ijumaa, Julai 27, 2012 majira ya saa tisa alasiri, imepokea notisi ya saa arobaini na nane (48) ya kusudio la walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kugoma kuanzia Jumatatu tarehe 30 Julai 2012 saa moja na nusu asubuhi.Kabla ya notisi hii kutolewa, Serikali imekuwa ikifanya jitihada nyingi za kujadiliana na viongozi wa CWT kuhusu jinsi ya kuboresha maslahi ya walimu kwa nia ya kumaliza suala hili kwa maelewano kwa kutumia vyombo na ngazi mbali mbali za kisheria.Kwa sasa, shauri hili liko Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi na leo hii siku ya Ijumaa tarehe 27 Julai, 2012 majira ya saa sita mchana pande zote mbili zilifika Mahakamani, na Mahakama ikaamuru kwamba pande zote zikamilishe maelezo yao ifikapo siku ya Jumanne tarehe 31 Julai, 2012 saa sita mchana, ili kuiwezesha Mahakama kuendelea kusikiliza shauri hilo na hatimaye kutoa uamuzi. Kwa hiyo, Mgomo huu siyo halali kwa sababu shauri hili bado liko Mahakamani.Kwa msingi huo hatua ya CWT kutoa notisi ya kuanza kwa mgomo kabla ya kukamilika kwa shauri hili ni kukiuka taratibu halali za Kimahakama ambazo kila mmoja anawajibika kuziheshimu.Serikali inapenda kuwafahamisha walimu wote kuwa kujihusisha na mgomo huu ni kwenda kinyume cha Sheria, Kanuni na Taratibu za kazi. Hivyo, walimu wanapaswa kupima madhara ya mgomo huu usiokuwa halali na Serikali inawataka walimu kupuuza mgomo huo na kutokujihusisha nao. Walimu wote wanatakiwa waendelee na kazi kama kawaida.

Peniel M. LyimoKAIMU KATIBU MKUU KIONGOZI

Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu.Dar es Salaam.27 Julai, 2012


Mtu mzima ovyooo!!!, ni mahakama gani iliyosimamisha mgomo wa walimu? Serikali yenu inafanya kazi kwa mashinikizo badala ya kutatua matatizo! na nyie mnaetumwa kuitetea hamtumii akili kujenga hoja! acheni kutumia makamasi, tumiaeni ubongo kufikri!
 
tofauti ya mahakama na mabwepande ni kuwa, mabwepande kuna msitu ila mahakana zina majengo na waamuzi wanaolipwa kwa kodi zetu.
 
ANGALIA TAARIFA YA KATIBU MKUU KIONGOZI

TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA KUANZIA JUMATATU

SERIKALI kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi leo, Ijumaa, Julai 27, 2012 majira ya saa tisa alasiri, imepokea notisi ya saa arobaini na nane (48) ya kusudio la walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kugoma kuanzia Jumatatu tarehe 30 Julai 2012 saa moja na nusu asubuhi.Kabla ya notisi hii kutolewa, Serikali imekuwa ikifanya jitihada nyingi za kujadiliana na viongozi wa CWT kuhusu jinsi ya kuboresha maslahi ya walimu kwa nia ya kumaliza suala hili kwa maelewano kwa kutumia vyombo na ngazi mbali mbali za kisheria.Kwa sasa, shauri hili liko Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi na leo hii siku ya Ijumaa tarehe 27 Julai, 2012 majira ya saa sita mchana pande zote mbili zilifika Mahakamani, na Mahakama ikaamuru kwamba pande zote zikamilishe maelezo yao ifikapo siku ya Jumanne tarehe 31 Julai, 2012 saa sita mchana, ili kuiwezesha Mahakama kuendelea kusikiliza shauri hilo na hatimaye kutoa uamuzi. Kwa hiyo, Mgomo huu siyo halali kwa sababu shauri hili bado liko Mahakamani.Kwa msingi huo hatua ya CWT kutoa notisi ya kuanza kwa mgomo kabla ya kukamilika kwa shauri hili ni kukiuka taratibu halali za Kimahakama ambazo kila mmoja anawajibika kuziheshimu.Serikali inapenda kuwafahamisha walimu wote kuwa kujihusisha na mgomo huu ni kwenda kinyume cha Sheria, Kanuni na Taratibu za kazi. Hivyo, walimu wanapaswa kupima madhara ya mgomo huu usiokuwa halali na Serikali inawataka walimu kupuuza mgomo huo na kutokujihusisha nao. Walimu wote wanatakiwa waendelee na kazi kama kawaida.

Peniel M. LyimoKAIMU KATIBU MKUU KIONGOZI

Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu.Dar es Salaam.27 Julai, 2012
kawaambie waliokutuma wafanye watakalo ila mgomo upo palepale, solidality forever
 
Ushindi wa mnyika ulipatikana mahakamani aupopular democracy??

Wacha ushabiki usio tija mtayamali

ngoja nikupe shule ndugu kuna aina nyingi za kidemokrasia za kudai haki miongoni mwa hizo zipo zile zinazohitaji taratibu za kisheria (democracy that operates within legal framework) a lakini zipo njia za kidemokrasia ambazo hazihitajib sana hiyo legal framework na mfano mzuri ni popular democracy ambayo watu wa misri waliitumia kujikomboa.
Ukae ujue kwamba hakuna serikali iliyotayari kwa mabadiliko, adui mkubwa wa utawala ni changes hivyo hutakuja kusikia serikali inasema mgomo fulani wa wafanyakazi ni halali na ndio maana wanakimbilia sana mahakamani. Akili za kupewachanganya na zako.
 
mahakama inasimamia haki; ikimpa ushindi mnyika ndio inakuwa imetenda haki?

sasa mbona ueleweki kwani kila hoja yako inonekana kupambana na cdm,kwani walimu wameambiwa na cdm wagome au ni cwt.tatizo kubwa hapa serikali yetu inaelekea kupoteza muelekeo baada ya kuonekana kila watu wakidai haki zao badala ya kuzitatua yenyewe inakimbilia mahakamani.hapa tatizo siyo cdm bali serilkaili yenyewe
 
Mahakama ni uchochoro wa serikali legelege.
Hizi sio enzi za mwaka 47.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mimi sio mtetezi wa serikali

natetea sheria

natetea utulivu

natetea amani

natetea haki

mahakama ni chombo chetu

mahakimu na majaji ni wasomi wanaotoa uamuzi kwa uhuru wa utaalamu wao

tuheshimu amri za mahakama

maana chadema wamekuwa mstari wa mbele kushabikia vurugu

tufikirie maendeleo jamani

sio kila siku vurugu za migomo

bila ya maendeleo hizo fedha za kuboresha maslahi zitatoka wapi??

sasa mbona ueleweki kwani kila hoja yako inonekana kupambana na cdm,kwani walimu wameambiwa na cdm wagome au ni cwt.tatizo kubwa hapa serikali yetu inaelekea kupoteza muelekeo baada ya kuonekana kila watu wakidai haki zao badala ya kuzitatua yenyewe inakimbilia mahakamani.hapa tatizo siyo cdm bali serilkaili yenyewe
 
ANGALIA TAARIFA YA KATIBU MKUU KIONGOZI TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA KUANZIA JUMATATU

SERIKALI kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi leo, Ijumaa, Julai 27, 2012 majira ya saa tisa alasiri, imepokea notisi ya saa arobaini na nane (48) ya kusudio la walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kugoma kuanzia Jumatatu tarehe 30 Julai 2012 saa moja na nusu asubuhi.Kabla ya notisi hii kutolewa, Serikali imekuwa ikifanya jitihada nyingi za kujadiliana na viongozi wa CWT kuhusu jinsi ya kuboresha maslahi ya walimu kwa nia ya kumaliza suala hili kwa maelewano kwa kutumia vyombo na ngazi mbali mbali za kisheria.Kwa sasa, shauri hili liko Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi na leo hii siku ya Ijumaa tarehe 27 Julai, 2012 majira ya saa sita mchana pande zote mbili zilifika Mahakamani, na Mahakama ikaamuru kwamba pande zote zikamilishe maelezo yao ifikapo siku ya Jumanne tarehe 31 Julai, 2012 saa sita mchana, ili kuiwezesha Mahakama kuendelea kusikiliza shauri hilo na hatimaye kutoa uamuzi. Kwa hiyo, Mgomo huu siyo halali kwa sababu shauri hili bado liko Mahakamani.Kwa msingi huo hatua ya CWT kutoa notisi ya kuanza kwa mgomo kabla ya kukamilika kwa shauri hili ni kukiuka taratibu halali za Kimahakama ambazo kila mmoja anawajibika kuziheshimu.Serikali inapenda kuwafahamisha walimu wote kuwa kujihusisha na mgomo huu ni kwenda kinyume cha Sheria, Kanuni na Taratibu za kazi. Hivyo, walimu wanapaswa kupima madhara ya mgomo huu usiokuwa halali na Serikali inawataka walimu kupuuza mgomo huo na kutokujihusisha nao. Walimu wote wanatakiwa waendelee na kazi kama kawaida. Peniel M. LyimoKAIMU KATIBU MKUU KIONGOZI Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu.Dar es Salaam.27 Julai, 2012
Mkuu, tuwekee hapa hukumu ya mahakama inayopiga marufuku mgomo wa walimu na sio hii taarifa ya serikali. Kwani kila shauri likiwa mahakamani linazuia shughuri nyingine zisiendelee? Mbona mnatumia vibaya mambo ya kimahakama! msituzuzue sisi kama spika wa bunge!
 
Kitendo cha MAHAKAMA kuamuru kwamba pande zote mbili zikamilishe maelezo by 31st July kinaashiria kuwa shauri hili liko katika mkondo huo.

Mkuu, tuwekee hapa hukumu ya mahaka inayopiga marufuku mgomo wa walimu na sio hii taarifa ya serikali. Kwani kila shauri likiwa mahakamani linazuia shughuri nyingine zisiendelee? Mbona mnatumia vibaya mambo ya kimahakama! msituzuzue sisi kama spika wa bunge!
 
Mleta mada una kichaa kichwani....kama unalipwa na ccm wanakulipa zaidi ya fedha...sema tu hamshiki mimba tungeshajua ni kipi wanachowalipa akina Nape, DHAIFU na LIWALO NA LIWE....tumia akili yako vizuri....!!!
 
WEWE ULIOKUWA UNA AKILI KUNA CHA AKILI ULICHOANDIKA HAPA????

MIE NINAWEZA KUTOA MANENO MACHAFU KULIKO MAELEZO; ila sina muda huo.

Mleta mada una kichaa kichwani....kama unalipwa na ccm wanakulipa zaidi ya fedha...sema tu hamshiki mimba tungeshajua ni kipi wanachowalipa akina Nape, DHAIFU na LIWALO NA LIWE....tumia akili yako vizuri....!!!
 
Kitendo cha MAHAKAMA kuamuru kwamba pande zote mbili zikamilishe maelezo by 31st July kinaashiria kuwa shauri hili liko katika mkondo huo.
Mahakama haijatoa hukumu kwamba mgomo usimamishwe. Wewe unakuja na hisia zako za kiserikali kana kwamba unamuamru spika wa bunge azuie mijadala bungeni! loo umeshindwa jamaa yangu.
 
Back
Top Bottom