Siku hizi kuchanganya siasa na dini Rukhsa?

Mungu ameagiza watu wa dini kukemea maovu , sasa kwa bahati mbaya shetani amejikita kwenye siasa , hawezi kuachwa atambe . Utafiti unaonyesha kwamba uhalifu umejaa kwenye siasa kuliko hata kwenye ghetto la wasela !
 
Hawa maaskofu ndio mafisadi wakubwa wanaokula pesa za waumini wao hata QUR-AN imesema, na kamwe QUR-AN haiwezi kusema uongo.
Na ndio maana kwenye sakata la ESCRO wao ndio walikuwa WASHIKA MAPEMBE sasa leo wanamkemea nani?.
Sasa tukirudi kwenye suala la UDINI utaona wao wanahitaji mtu wao ambae watamkemea wanavyotaka wakilenga MASLAHI YA UPANDE WA KANISA, sasa kwa mtu kama KIKWETE yeye huwa haingii KANISANI KUUNGAMA yeye hafanyiwi SAKARAMENT wala hafanyiwi MTAGUSO sasa UTAMBURUZA VIPI?

Wao wanaendesha kampeni makanisani kupitia vikundi vya vijana kwamfano Kkkt vijana wa Ukwata wanapata tabu sana (lakini sio wote) kuhusu siasa tangia Kikwete aingie madarakani.upande wao wanadhani upande wa pili wamelala KUMBE wapo nao guu kwa guu.wanaopandikiza udini katika nyumba za ibada ni watu hatari sijui vyombo vya usalama mitambo yao haina uwezo wa kunasa.ila misikitini kilasiku mashekh wanakatwa kwa uchochezi .huwezi kusikia KIONGOZI WA KANISA KAKAMATWA KWA UCHOCHEZI.
 
Acha kumlisha ASKOFU PENGO maneno. Ni kweli alisema hakutegemea polisi kuua ARUSHA, but hakusema eti alitegemea polisi kuua 27 kule Pemba.

Huo ni unafiki wa kuongeza chumvi (exageration) ili utimize matakwa yako ya udini yaliyoujaza ubongo wako.

Ni aibu kijana kama wewe kuwa na fikra za kibaguzi kiasi hata kufikia kumlisha askofu maneno ilihali ukijua si kweli.

Ni aibu kijana kama wewe kuwa na mawazo ya kizee, mawazo makuukuu, yaliyochakaa, mawazo ya kibaguzi. Shame upon you!!

HAUJAELEWA.

Maaskofu wameona ya Kikwete kwenye watu 3.hawakuona ya Mkapa ya watu 27 kule Pemba
 
Acha kumlisha ASKOFU PENGO maneno. Ni kweli alisema hakutegemea polisi kuua ARUSHA, but hakusema eti alitegemea polisi kuua 27 kule Pemba.

Huo ni unafiki wa kuongeza chumvi (exageration) ili utimize matakwa yako ya udini yaliyoujaza ubongo wako.

Ni aibu kijana kama wewe kuwa na fikra za kibaguzi kiasi hata kufikia kumlisha askofu maneno ilihali ukijua si kweli.

Ni aibu kijana kama wewe kuwa na mawazo ya kizee, mawazo makuukuu, yaliyochakaa, mawazo ya kibaguzi. Shame upon you!!

HAUJAELEWA.

Maaskofu wameona ya Kikwete kwenye watu 3.hawakuona ya Mkapa ya watu 27 kule Pemba?

Acheni kujitoa ufahamu.
 
ni wanafiki wakubwa,wakati wa nyerere sikupata kusikia matamko ya hawa jamaa.alipokamata mwinyi kila wiki matamko na ndo kipindi pengo alipata umaarufu sana kwa matamko,akaja mkapa kukawa kimyaa,akaja jk yaani kesho yake tu matamko,matamko,matamko....
 
Elungata
Huu uzi wameukimbia kwasababu mpira upo golini kwao. Ukitazama orodha ya mafisadi 11aliowataja Dr.Slaa mwembe yanga na orodha ya watuhumiwa wa ESCRO wenye nyadhifa kubwa serekalini wengi wanatokea kule. Sasa walivyo wanafiki mpaka sasa hawazungumzii wanamkomalia KIKWETE wakati wahujumu ni waumini wao wenyewe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom