We jamaa mbona kama unaniota Hadi usiku?
Mimi sio jamaa,mimi ni Mtanganyika mzalendo wajinga wajinga wote wanashobokea udini siwapendi wewe ukiwemo.We jamaa mbona kama unaniota Hadi usiku?
Una tatizo gani? Huwezi andika kitu bila kunitaja?
Watu wote humu wanao sapoti Dpworld huwaoni?Una obsession na mimi?
ChoiceVariable humuoni?
Lord denning humuoni?
Steven Joel Ntamusano humuoni?
Hao ni waislam?..
Punguza shobo na Mimi ...
Wanaumwa ugonjwa wa chuki na sonono dhidi ya Samia. WasameheWe jamaa mbona kama unaniota Hadi usiku?
Una tatizo gani? Huwezi andika kitu bila kunitaja?
Watu wote humu wanao sapoti Dpworld huwaoni?Una obsession na mimi?
ChoiceVariable humuoni?
Lord denning humuoni?
Steven Joel Ntamusano humuoni?
Hao ni waislam?..
Punguza shobo na Mimi ...
Hiyo kwamba cdm kina sera za udini ni siasa chafu za CCM, ikidhani itaimaliza cdm. Kizazi chenyewe na kusujidia dini kiko wapi, hadi watu waone Udini ni mtaji wa maana sana?Mangi, sera na hoja ya udini walioanzisha ni wapinzani, hususani ChAdeMa. Tena wanapanda na maaskofu na wachungaji majukwaani kwenye siasa.
Makamasi unatumia wewe unayedandia treni kwa mbele.Sema nchi hii watu ushabiki unawaua sana,
Kuna jamaa angu anasemaga CCM NA CHADEMA wote ni mbwa tu, sasa badala mchambue mada nzuri aliyoleta mtoa mada, niny mshaanza habari za udini, hiv niny mnatumia kamasi kufikiri au
Ccm walishafeli kwenye hiyo hoja ya udini maana kizazi cha digital hakina tena mawazo ya zidumu fikra za udini.Hiyo kwamba cdm kina sera za udini ni siasa chafu za CCM, ikidhani itaimaliza cdm. Kizazi chenyewe na kusujidia dini kiko wapi, hadi watu waone Udini ni mtaji wa maana sana?
Kuna vitu vinaonekana dhahiri havihitaji CCM kusema au kuonyesha. CdM imeshindwa kujitenganisha na siasa za udini, ukanda na ukabila.Hiyo kwamba cdm kina sera za udini ni siasa chafu za CCM, ikidhani itaimaliza cdm. Kizazi chenyewe na kusujidia dini kiko wapi, hadi watu waone Udini ni mtaji wa maana sana?
Atawacha legacy ya kweli na iliyotukuka kwa jinsi alivyo watumikia wananchi wa Tanzanian.Hiki ndicho haswaa uchotaka kukisema
Na Mbowe,unataka kuwa mwenyekiti hapo chadema hadi umauti ukukute??unaacha legacy ya aina Gani hapo,why wenzako kina Mtei na Bob Makani walithubutu kuachia ngazi Nini unachoshindwa kumtengeneza Mrithi wako??unakuwa kama Mugabe??
Ccm wanakiwa kulaaniwa na kila mtanzaniaKuna vitu vinaonekana dhahiri havihitaji CCM kusema au kuonyesha. CdM imeshindwa kujitenganisha na siasa za udini, ukanda na ukabila.
Nakuuliza kizazi hiki hakiendekezi dini kwahivyo zaidi ya ngono na pesa, huo mtaji wa dini utoke wapi?Kuna vitu vinaonekana dhahiri havihitaji CCM kusema au kuonyesha. CdM imeshindwa kujitenganisha na siasa za udini, ukanda na ukabila.
.....hakiendekezi dini lakini bado ni wafuasi wa dini zao. Kilichokosa na mafundisho sahihi ya dini ingawa baadhi wanaendan misikitini au makanisani. Matendo yao hayaakisi mafundisho ya vitabu vya Mwenyezi Mungu.Nakuuliza kizazi hiki hakiendekezi dini kwahivyo zaidi ya ngono na pesa, huo mtaji wa dini utoke wapi?
Sasa hizo propaganda za Udini Udini huo mnazitoa wapi? Hakuna mtu anaendekeza huo upuuzi wenu wa dini. Watu tunajali pesa na sio hizo dini zilizokuja kwa majahazi......hakiendekezi dini lakini bado ni wafuasi wa dini zao. Kilichokosa na mafundisho sahihi ya dini ingawa baadhi wanaendan misikitini au makanisani. Matendo yao hayaakisi mafundisho ya vitabu vya Mwenyezi Mungu.
Jamaa aliambulia kipigo cha mbwa koko pale mtwaranikionaga hili jina nakumbuka 2014 kipindi cha gesi inatoka haitoki