Sikiliza njia panda Clouz FM... wanaongelea Freemansons

Wazungu wanakili sana wametafuta njia ya kutufanya watanzania tusijitume na kufanikiwa kweli wameweza,. Mi nakataa hamna cha freemason ni upuzi mtupu twendelee kua wavivu

uvivu ni wenu , hakuna cha mzungu wala mchina. ni uvivu wa wa watanzania wenyewe, ndo maana wanapata hata muda wa kujadili upuuzi huu kwenye redio
 
Heeey...ally kombo tena na kukurukakara zake.
Hapo lilikukera jina la nani ? Maana Mwingira anatuhuma zangono tena kwa wake za watu, na Simbachawote halikadhalika ! Sasa hawa wako mbali na uhuni?
 
Hapo lilikukera jina la nani ? Maana Mwingira anatuhuma zangono tena kwa wake za watu, na Simbachawote halikadhalika ! Sasa hawa wako mbali na uhuni?

Hoja hapa ni freemason,..huyu mwingira na simbachawene umewahusishaje.
 
anamwambia hivi itakuja vita ya tatu ya dunia na italeta athari ya kukauka kwa maji dunia nzima ila sehemu itakayo salimika ni KIGAMBONI pekee ndio maana marekani wamekuja kuwekeza hapo. ..... Mwisho wa nukuu....
 
Hujajibu swali langu Preta! Uko tayari? Maana kabla hujapaa kuna hatua ya kwanza. Uko tayari?

yah...niko tayari....kabla ya kupaa si lazima uchukue kasi.....upite kwanza kwenye running way......then una take off......
 
kweli siku za mwisho zimekaribia..saivi watu wanaongea hadharani kuhusu kumuabudu shetani..si mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom