Sikiliza njia panda Clouz FM... wanaongelea Freemansons

yaani hakuna jitu pumbafu duniani kama hili jamaa linaloongea humo njia panda....mautumbo matupu anaongea...
 
amejaa upepo sana.....
natamani Yesu arudi kesho tumalize hizi fitna....kila siku hadithi ni hizi hizi.....aaah

Yaani hata kujieleza hawezi,..kama wajenzi huru ndio kama huyu basi ni bure.
 
kweli Wabongo mmekosa cha kuzungumuzia kila siku suala la Wajenzi huru,hebu nieelezeni kuhusu hao wajenzi Huru katika Dunia ya Leo.
 
Wazungu wanakili sana wametafuta njia ya kutufanya watanzania tusijitume na kufanikiwa kweli wameweza,. Mi nakataa hamna cha freemason ni upuzi mtupu twendelee kua wavivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom