Sikiliza njia panda Clouz FM... wanaongelea Freemansons

I call it "it is a promotion on Freemason" hakuongea cha maana. Wanawafanya vijana wengi kutojua ukweli halisi na kutamani kuingia huko wakidhani kuna utajiri, stupid kabisa.
 
Watanzania tutadanganywa sana, freemasons ipo miaka mingi nenda rudi, kwa nini hivi sasa ndiyo inaonekana inapamba moto sana??

Kumbuka adui huyo huyo ndio anaipromoti, akijifanya kuipinga au kuelewesha jamii. Sasa hivi kila kitu ni free masons, mtu akifanikiwa ni free mason, nyanja yeyote ukiwa umeonyesha njia watu wanasema ni free mason. Wamekwenda mbali zaidi na hata kuwaingiza watumishi wa Mungu wanaoheshimika kuwa ni free mason, nani atabaki salama?? Je free mason imeanza leo, kwani asifanikishe watu miaka yote? "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Ni andiko ambalo haliwezi kutanguka.

Kumbuka jambo moja muhimu, kazi ya shetani KUUA, KUHARIBU NA KUIBA na mwenye masikio na asikie.

Mungu ni mwema na rehema zake zinadumu milele, msidanganyike.
 
yaani Preata hiyo ndo nilicheka mpka basi..eti komputa nazo ni freemasons na kabla ya kuanza kutumia tuwe tunaziombea ..hahaaaa

Mie situmii computer natumia kasimu kangu ka tochi hivyo sina haja ya kuombea kitu,.....
 
Hahahha huyu mheshimiwa anasema kutumia computer ni ufreemason....kweli tunawavunjia heshima sana hawa wadau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom