MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,014
- 16,750
Kwa mziki huu unaachaje kuipenda Yanga SC kwa mfano.....?
1. Djigui Diara
2. Djuma Shaaban
3. Lomalisa Mutambala
4. Dickson Job
5. Yannick Bangala
6. Khalid Aucho
7. Abubakary Salum
8. Feisal Salum Fei Toto
9. Fiston Mayele
10. Stephane Aziz K
11. Bernard Morison
Na hawa ndiyo Mabingwa tena wa NBC Premier League kwa Msimu huu wa 2022 / 2023 na watafika mbali pia huko CAFCL na siyo wale Wengine waliosajili Mbilikimo ( Emolo ) Watupu na Mzibua Vyoo Mmoja wa nchini Serbia.
Mtoeni nisiyempenda nirejee kuwa nanyi, kuwasifu na Kuwapenda ila akiendelea kubakia hapo nitawachukia kila Siku na hata kuanza kutoa Siri zenu za Ndani ambazo mpaka sasa ninazo kama Tatu ( 3 ) hivi na najua Nikiamua Kuzianika mtavurugana na kutatokea Mtafaruku mkubwa mno na huenda hata Tapeli wenu wa B20 akaamua Kuisusa kabisa na Timu yenu.
Kwa sasa bado ninawavutia Pumzi!!!