Signature kwenye cheque ya kutoa hela CHADEMA ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi?

nazdaz,tatizo lako ni kukaririshwa uko shule alafu unatuletea apa jamvini!eti mpaka wawepo wajumbe wengi wakubaliane in advance,upuuzi huu unafundishwa na nani?waende eti na waraka benki?ulishaona wapi?kwa iyo wakisaini cheki wanaambatanisha na barua ya wajumbe waliosaini?izo ni good practice za mwaka gani?kwa kukusaidia hakuna kugroup signatures siku izi!izo complications zilishafutwa zaman, Specimen za benki uandikwa first signature, second ,third nk mfano CRDB hawawezi zidi watia saini4 kwa fomu ilivo! Na options ni any to sign,all to sign au two to sign ,au any or two au all to sign including,chairman au whoever specified! Hapa hamna cha wajumbe kusaini kila kutoa pesa as far as mmewaamini mliowachagua na kuwaruhusu kuendesha akaunti! Pia kama mliowaamini wametoa ela hakuna jinsi ya kuwazuia labda mkae tena kuamua kuwaondoa wasisaini tena,pia mliyesema lazma asaini ndo wanauwezo wa kuamua lolote na ndo hao tu ambao benki inawatambua mpaka apo mtakapowasilisha document ya kuwaondoa na mpaka na wao wawe wamesaini waraka huo! Acheni kuwaongopea wasiojua banking -operating procedures!
 
acheni wizi nyie,eti wangeenda benki,unadhan bank details zinatolewa kwa yeyote?yan hata a/c ya ccm,ya tlp,ya cdm,hatuitaji kujua,kama amekuwa trusted na akawa authorised kusaini kuchukua ela,hata akiamua kwenda na roli akabeba zote ni vyema mana amekuwa authorised kama signatory labda tatzo ni akizitumia vibaya!na ikumbukwe kuwa hakuna akaunti ya kikundi inayoendeshwa kwa signature moja!so ubadhilifu haunzi na sahihi! Achen utapel ndugu
zetu!

Aisee kweli kuna vitu vingi sana wabongo tunatakiwa kujifunza, Shida yetu kubwa tunajifanya tunajua Kumbe hakuna kitu. Just so you know ili uwe signatory Lazima kuwe na board resolution ambayo inapelekwa bank kutoa maelekezo kuwa umechaguliwa kuwa signatory. Na hiyo resolution siyo Siri wakitaka usalama we taifa or takukuru wanapata tu
 
Mlianza na kugushi card za CDM tukawashtukia, sasa manataka kugushi na sahihi kwenye hundi CDM? Ukisikia kuishiwa hoja basi ndo huko. Wewe ni mkaguzi wa hesabu? Wewe ni fraud officer? Ni vile tu naogopa ban vinginevyo ningekunyeshea mvua ya matusi.

Alafu unaakili weweeeeee...... Embu kula LIKE zangu ten times
 
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
KUNA TETESI KUWA SIGNATORIES WA CHADEMA NI 2 TU NA SILAA SIYO MOJA WAO. NA HAO WAWILI WANAWEZA KUTOA FEDHA ZA CHAMA SAA YEYOTE BILA KUHUSISHA MJUMBE AU MWANACHAMA YEYOTE NA HATA HELA ZA MIKOANI LAZIMA WASAINI WAO NDO ZIWAFIKIE WALENGWA NILITAKA KUJUA HAWA NI NANI NA NANI? NDIYO MSINGI WA SWALI?

ukishajua signatories ni wawili na either Slaa ni mojawapo ama siyo unatoa maoni gani?
 
Kazi za magamba hutazijua tu, yan signatory wa cdm ndio anawaumiza vichwa?

Mnataka tuache kuhoji ufisad wa nyinyiemu tuongelee signature, huu ni utoto.
 
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
KUNA TETESI KUWA SIGNATORIES WA CHADEMA NI 2 TU NA SILAA SIYO MOJA WAO. NA HAO WAWILI WANAWEZA KUTOA FEDHA ZA CHAMA SAA YEYOTE BILA KUHUSISHA MJUMBE AU MWANACHAMA YEYOTE NA HATA HELA ZA MIKOANI LAZIMA WASAINI WAO NDO ZIWAFIKIE WALENGWA NILITAKA KUJUA HAWA NI NANI NA NANI? NDIYO MSINGI WA SWALI?


Nadhani hili ni swali ambalo halina mshiko hata kidogo, kwani unataka sahihi na waweka sahihi wa kazi gani, hata kama ni wawili wanakuhusu nini, wao hawajawahi kulalamika, wewe unataka nini, mimi sidhani watu makini kama viongozi wa CDM wanaweza kuacha suala la fedha likiwa loose kiasi hicho, CDM ina watu watu makini ambao hawahitaji kutiliwa mashaka hata kidogo. nawatakia kazi njeme wana JF.
 

Kwamba CHADEMA ni chama ambacho wanachama, wapenzi na mashabiki wake wengi ni vijana tena vijana wasomi ni jambo lisilo na ubishi. Kinachonichanganya ni namna gani wafuasi hawa wasivyokuwa tayari kusikia lolote baya likisemwa dhidi ya CHADEMA...hapa kuna walakini kwa 100% na ni aibu. Ni aibu kwa sababu sina shaka yoyote kwamba karibu wote walioponda kwenye thread hii unaweza kukuta hawafahamu Signatory Arrangement ya chama!!

Tukirudi kwenye mada, nazani hapa si sehemu sahihi kuweka nani na nani ni signatories wa CHADEMA lakini si vibaya hata kidogo kuelezea signing arrangement ya chama hicho ama chama chochote kile. Labda nielezee tofauti kati ya signing arrangement na signatories. Kwa chama kama CHADEMA au chochote kile natarajia kiwe na signatories wasiopungua wanne, ambao ni Mwenyekiti au Katibu Mkuu, Mweka Hazina na wajumbe 2. Hao ni signatories. Katika signing arrangement, natarajia angalau signatories 2 (At Least 2) wanaweza kuruhusiwa kutoa pesa BUT with condition.
1. Kwanza hao sigantories 4 wanapaswa kuwa grouped kwenye makundi mawili, say A and B.
2. Kwavile tunatarajia mwenyekiti/katibu na mweka hazina wanaweza kuwa ni watu wa karibu, basi hawa wanapaswa kuwa ktk kundi moja...ama wote ni A au wote ni B na wale wajumbe wawili nao wawe kwenye kundi moja.
3. Katika signing arrangement, best practice ni ile At least 2, 1 from A and another from B.
4. Sababu ya kufanya mmoja atoke kundi A na mwingine kundi B ni kutotoa nafasi kwa signatories walio karibu (e.g Mwenyekiti na Mweka Hazina) kufanya transaction peke yao.....kwamba, wasije waka-collude peke yako kwavile wapo pamoja na kuamua kutoa maamuzi ya kuchukua fedha hususani pale panapotokea migogoro!
Hapo juu, nilizungumzia suala la kutoa WITH CONDITION...! Condition kubwa kwa akaunti za aina hii ni kwamba signatories wataenda kutoa pesa benki baada ya kuwa supported na muhtasari wa kiao halali kilichoidhinisha utoaji wa fedha hiyo. Katika hali ya kawaida, tunatarajia ni muhtasari kutoka kwenye kamati ya fedha na uchumi au kitu kingine kinachofanana na hicho. Na muhtasari husika unatarajiwa uwe umesainiwa na idadi ya wajumbe ambayo itakuwa tayari walishakubaliana wakati wanapeleka maombi yao ya kufungua akaunti. Mathalani, kama kamati ya fedha ina wajumbe kumi, basi wanaweza kukubaliana in advance kwamba angalau theluthi mbili ya wajumbe inapaswa kuidhinisha utoaji wa fedha.

Huo, ndi utaratibu sahihi unaopaswa kufanyika kwenye akaunti yoyote ya jumuiya kama ile ya vyama vya siasa, clubs za michezo na nyingine kama hizo na kinyume chake ni kukaribisha ufisadi hapo mbeleni!
Asante comrade nimejifunza kitu hapo.

 
dah wabongo hatujambo. kama mtu yupo mwenye kufahamu ukweli si aseme na sidhani kama ni jambo la msingi hili mbona ccm hatujui signature zipo za nani na nani zaidi ya kuwajua wahasibu wake? halafu siasa za kuanza na neno eti nasikia sio jambo jema maana ukiwa na uhakika ndio utoe ushahidi usisikie tu mtu kasema. kuhusu michango waliochangia mnataka kujua ilitumikaje? hivi ukitoa msaada kwa mapenzi yako unataka tena kufuatilia ulitumiaje hiyo hela? ha ha ha kazi ipo.
 
makamanda wa chadema member mwenzetu kauliza swali la msingi mpeni jibu...signature kwenye chegue ya kutoa pesa mnatumia majina ya nani na nani?

swali hilo ni la kipumbavu halina faida kwa chama akimjua anataka amtoe roho au iweje? Anachopaswa aangalie chama kinadhoofika au kina songa mbele, mwisho atahoji hata siku yake ya kuzaliwa alitokaje huko alikotoka. Nidhamu haifundishwi shuleni ni akili yako tu ndiyo itakufanya ujue lipi halihojiwi na lipi lihojiwe kwa faida ya nani, mwisho tutauulizana hata nguo za ndani zina rangi gani kuweni wastaarabu.
 
signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
kuna tetesi kuwa signatories wa chadema ni 2 tu na silaa siyo moja wao. Na hao wawili wanaweza kutoa fedha za chama saa yeyote bila kuhusisha mjumbe au mwanachama yeyote na hata hela za mikoani lazima wasaini wao ndo ziwafikie walengwa nilitaka kujua hawa ni nani na nani? Ndiyo msingi wa swali?

ujinga mwingine msiwe mnaleta hapa mnatupotezea muda kusoma upumbavu utaratibu wa maisha ya nyumba ya mtu mwingine unautakia nini wewe ilihali wao hawagombani? Kama kwenu huwa mnahojiana nani kala nini na wapi sisi kwetu hakuna hilo mnataka mkipata jina lake awachotee kidogo au mumtoe roho? Suala la fedha ni nyeti sana mwenye akili ya matope kama mleta hoja hii peke yake ndiyo anaweza kusema upumbavu huo na wapumbavu wenzie wakamuunga mkono. sijui huwa anawafundisha mjinga gani kuandika ujinga kama huu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom