Signature kwenye cheque ya kutoa hela CHADEMA ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi?

Makamanda wa Chadema member mwenzetu kauliza swali la msingi mpeni jibu...signature kwenye chegue ya kutoa pesa mnatumia majina ya nani na nani?

Ile ni TAASISI makini kama unataka taarifa izo nenda pale kwenye ofisi zetu kinondoni utamkuta Mkurugenzi wa fedha na uchumi atakupa taarifa umu JF ni sehemu ya kujadili mambo ya msingi si administrative work tataizo lenu MAGAMBA yamewazidi hadi uwezo wenu wa kufikiri umefunikwa na MAGAMBA.
 
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
Toa kwanza sababu za kutaka kujua hizi signatures, na muda wake unavyotaka kuujua vile vile toa sababu, yhen mengine yataendelea.
 
Signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf

Swali zuri sana maana kuna watu wameanza kuwa na wasiwasi na michango yetu jinsi inavyotumika. kuna tetesi kuwa hakuna control nzuri ya utoaji wa pesa katika chama, nasikia eti anaangaliwa nani anataka bila kujali ni kipi kipaombele. Hatari sana

Basi wanaCDM naomba mtoe maelezo msikwepe swali nani ambaye anapiga singature?

Makamanda wa Chadema member mwenzetu kauliza swali la msingi mpeni jibu...signature kwenye chegue ya kutoa pesa mnatumia majina ya nani na nani?

Tatizo wote ni vibaraka kisha hamjaweka wazi sababu ya kutaka kujua hili. Na hata hilo swali lenyewe halijakaa sawa kueleweka. Unapotaka kujua Signature ni ya nani!!!!!!!!

MAJIBU: Nenda Ofisi za msajili wa vyama vya Siasa, pale utapata maelezo yote kabisa kwani wana taarifa zote za vyama. Lakini ukiuliza hapa JF kusema ukweli hatukuelewi kama wewe un nia gani kujua hizo taarifa.

MY TAKE: CCM WAMEISHIWA na SERA, WANAANZA KUTAPATAPA na MAISHA, CHAMA KIPO KABURINI PALE JANGWANI KABURI la CCM.

J. K..jpg View attachment 56178
MMEKWISHA SUBIRINI KIAMA YENU!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!!
 
Makamanda wa Chadema member mwenzetu kauliza swali la msingi mpeni jibu...signature kwenye chegue ya kutoa pesa mnatumia majina ya nani na nani?
Hilo nalo swali la msingi? kesho atauliza jina la muandika voucher na kesho kutwa atauliza nani anafanya Bank Reconciliation na hayatakwisha maswali ya aina hiyo yasiyo msingi wowote.
Kama chama kinautaratibu wake wa uwekaji na utoaji wa pesa na vikao halali vinajadili taarifa zake.
 
Signature kwenye chegue ya kutolea pesa CCM ni Kinana na Meghji...Chadema je?
Kumbe huyu bwana ndio maana kuna tetesi kuwa ana mkono kwenye biashara za uuzaji wa Loliondo na wageni wake hawakaguliwi pale KIA kwa vile anaweka sahihi cheques za CCM? Kweli CCM tambara bovu!
 
Sasa nimeamini wajinga ndio waliwao!haiwezekani CDM waweka sahihi kwenye cheque iwe siri kwani kila mwanachama anaechangia mchango wake katika chama lazima ujue ni nani mwenye mamlaka ya kuruhusu hela za chama chako zitumike au zitoke kwenye account.Lakini ninachokiona hapa wengi wetu tumejaa ushabiki wa chama ukweli tunaupinga.Sasa mnategemea kama CDM ingekuwa ni CCM chama tawala milele halafu ikachukua nchi nini kitatokea zaidi ya watu wachache kujilimbikizia mali za kutisha maana wengi naona wana uchu na njaa sana wanatamani hata kutumia nguvu iliwaingie madarakani.Bora zimwi likujualo halikuli likakwisha.
 
Kuna tetesi kuwa signature ya kuto pesa chadema ni watu 2 tu silaa si mojawapo na hata wakipitisha wawili tu hela inatoka pasipokuhusisha mtu yeyote mwingine wanaweza kupewa taarifa tu kuwa hela imetoka. Huu ndiyo msingi wa swali langu je ni nani na nani?

tatizo wote ni vibaraka kisha hamjaweka wazi sababu ya kutaka kujua hili. Na hata hilo swali lenyewe halijakaa sawa kueleweka. Unapotaka kujua signature ni ya nani!!!!!!!!

Majibu: Nenda ofisi za msajili wa vyama vya siasa, pale utapata maelezo yote kabisa kwani wana taarifa zote za vyama. Lakini ukiuliza hapa jf kusema ukweli hatukuelewi kama wewe un nia gani kujua hizo taarifa.

my take: Ccm wameishiwa na sera, wanaanza kutapatapa na maisha, chama kipo kaburini pale jangwani kaburi la ccm.

View attachment 56177 View attachment 56178
mmekwisha subirini kiama yenu!!!!

mizambwa
nabii mtarajiwa!!!!
 
Ile ni TAASISI makini kama unataka taarifa izo nenda pale kwenye ofisi zetu kinondoni utamkuta Mkurugenzi wa fedha na uchumi atakupa taarifa umu JF ni sehemu ya kujadili mambo ya msingi si administrative work tataizo lenu MAGAMBA yamewazidi hadi uwezo wenu wa kufikiri umefunikwa na MAGAMBA.
Wewe MKALI wa KENYA vp nani kakuambia CDM ni chama makini? kwann walimpokea Shibuda?
 
Sasa nimeamini wajinga ndio waliwao!haiwezekani CDM waweka sahihi kwenye cheque iwe siri kwani kila mwanachama anaechangia mchango wake katika chama lazima ujue ni nani mwenye mamlaka ya kuruhusu hela za chama chako zitumike au zitoke kwenye account.Lakini ninachokiona hapa wengi wetu tumejaa ushabiki wa chama ukweli tunaupinga.Sasa mnategemea kama CDM ingekuwa ni CCM chama tawala milele halafu ikachukua nchi nini kitatokea zaidi ya watu wachache kujilimbikizia mali za kutisha maana wengi naona wana uchu na njaa sana wanatamani hata kutumia nguvu iliwaingie madarakani.Bora zimwi likujualo halikuli likakwisha.

Waambie labda watafunguka!!
 
Vipi unataka kufoji saini nini? Inakusaidia nini kujua hilo na we si mmoja ya wajua fedha za CDM?
 
Hii ni Demokrasia ya kijinga kweli eti Dr Slaa sio Signatory eti ipo miaka mingapi Una ajenda gani na hio sign, Unawajua waweka sign wa vyama vingine? au unatafuta umbea? Watu wanataka kujua anaetoa anae weka na zimepatikaneje wajinga kwao hilo swali kichwani mwao hakuna. Hivi watu wanakesha usiku kucha kukijenga chama mjinga anahoji mambo ya kijinga
 
Back
Top Bottom