Signature kwenye cheque ya kutoa hela CHADEMA ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi?

Swali zuri sana maana kuna watu wameanza kuwa na wasiwasi na michango yetu jinsi inavyotumika. kuna tetesi kuwa hakuna control nzuri ya utoaji wa pesa katika chama, nasikia eti anaangaliwa nani anataka bila kujali ni kipi kipaombele. Hatari sana

Penye wengi pana mengi!!! Kwani Chama hakina mwongozo wa Fedha? Sitaki kuamini hivyo! kwa chama makini kama kilivyo sasa. Kuwa wawili tu tu sidhani kama ni shida iwapo kuna utaratibu unaopitisha na kuandaa maombi ya fedha. Kuwa na idadi kubwa ya wanachama haimaanishi kuwa ni lazima pia idadi ya watia sahihi iongezeke!
 
signature kwenye cheque ya kutoa hela account za chadema ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi? Ni swali tu wana jf
kuna tetesi kuwa signatories wa chadema ni 2 tu na silaa siyo moja wao. Na hao wawili wanaweza kutoa fedha za chama saa yeyote bila kuhusisha mjumbe au mwanachama yeyote na hata hela za mikoani lazima wasaini wao ndo ziwafikie walengwa nilitaka kujua hawa ni nani na nani? Ndiyo msingi wa swali?
kama ni ku-rate basi magamba mna akili na hapa lazima sio mpate A TU YA UMBEA lakini BALI 100% KWA 100% kwa stahili ya hoja za magamba bungeni
 
Back
Top Bottom