Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
kama kuna vitu najivunia na kupenda ni kuwa MKE na MAMA.yes na tunajivunia kuwa wake,yani mke hasa wa kiafrika mwaya
watoto wangu ni full african. huyo mdada mpaka kuna siku aliniambia yaani nikiwa nyumbani ndo hakuna kupumzika.
she is 13 lakini anapika, anafua, anaogesha watoto, anafanya usafi nyumba...... tena chumbani kwangu kama yeye akiwepo ndo huwa napata partner wa kufanya naye usafi. Utasikia "yaani akina dada hawafanyi kazi nyingi kama mimi", namwambia hao wanafanya kazi nyingi sana sisi tusipokuwa nyumbani.
Wadogo ambao ni wavulana nawashirikisha sana kwa kazi ambazo naona watazimudu, nawasubiri kidogo nao kidogo wa-take over bustani na usafi wa nje