Sifa za Mwanamume wa kweli (A real man) tena wa Kiafrika

hili la watoto wa kike wajuaji
na ukichanganya na masharobaro walio waoa ni'janga la kitaifa'
wanachanganya sana kujua vitu na kuwa mjuaji,its one thing kuwa msomi,its quite the other kutokuwa humble
its one thing kuzungusha uchumi ndani its quite the other kudharau mume
its one thing also kuzunguka duniani na kuwa na cash nono kwenye akaunti its quite the other KUWA MKE WA KIAFRIKA hawajui tu ilivyo raha unasave vitu vingi sana
 
Unajua we dont know what we have until its gone
sasa ukiona mfano wanawake wasomi wa middle east wanavyo
'tesa' ndo utajua kwa nimi sisi waafrika inatu cost kudharau ya kwetu
au tazama wanawake wasomi wa India...wana respect sana tamaduni zao

sisi tunataka kuwa 'full european' mwisho 'tunaumia'
 
mwahhhhh my dear! For sure we do! Msalimie my shemeji khaaaa!
zimefika my dear, msalimu shemeji yangu pia......
mimi mama wa kiafrika Ijumaa hii ngoja niwahi kurudi nyumbani nikampikie mume, aje ale, then aende kupanga ma-deal na wanaume wenzake wa kiafrika bar.............. maana wanatuambiaga deal zinapatikana bar, ha haaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
imagine wewe ni hb lakini legelege! huna sifa kwa kweli, na kama una mpunga unautumia wadada watakuja ili waupate tu mpunga wako, ila game la uhakika anakwenda kulisaka kwa hao niliokutajia 'real african men'! kuna wazungu pia wanakwenda gym na wapo wanawake wanaofall huko, ila mimi kama mimi navutiwa zaidi na black men, halafu liwe limejengeka kiume, then lina sifa hata 7 kati ya hizo hapo juu! acha tulale kwenye mkeka na kula dagaa, kikubwa unaniridhisha na moyo wangu umeridhia! na linapokuja suala zima la kichapo panapo 6 by 6 linaoverdose! acha kabisa, waliobaki kwangu wote nawaona elton john!!!PERIOD!

halafu we...
la kichapo 6 kwa 6 naona ndo nambari moja kwako..lol
tazama na tabia pia...lol
 
Unajua we dont know what we have until its gone
sasa ukiona mfano wanawake wasomi wa middle east wanavyo
'tesa' ndo utajua kwa nimi sisi waafrika inatu cost kudharau ya kwetu
au tazama wanawake wasomi wa India...wana respect sana tamaduni zao

sisi tunataka kuwa 'full european' mwisho 'tunaumia'
rafiki tutake radhi, sio wote............... tupo ambao ni wasomi wazuri na tuna kazi nzuri tu, lakini tunajua tukiwa nyumbani mimi nafasi yangu ni MKE, na nitabaki kuwa MKE milele
 
Unajua we dont know what we have until its gone
sasa ukiona mfano wanawake wasomi wa middle east wanavyo
'tesa' ndo utajua kwa nimi sisi waafrika inatu cost kudharau ya kwetu
au tazama wanawake wasomi wa India...wana respect sana tamaduni zao

sisi tunataka kuwa 'full european' mwisho 'tunaumia'

tatizo wengi wanaamini kuwa msomi ni kuacha tamaduni zako mi nafkiri kuwa msomi inakupa fursa ya kuzielewa zaidi,ambacho young women nowdayy hawajui ndoa na thamani yake they just think ni swala la kufanyiwa kitchen party na shoga zake kisha iwekwe kwenye mtandao sijui aua chereko basi!jamani kuwa mke its more than that!its more than kuweza kufanya mapenzi,its more than just kuwa sijui mama fulani originale its more thna that!sasa ukichangya na hao vijana wenyewe wa kupelekwa chuo kikuu na maderva wa home hawa we acha tu!hiyo ndoa ni full mauza uza!ifike wakati tuwekane sawa jamani
 
halafu we...
la kichapo 6 kwa 6 naona ndo nambari moja kwako..lol
tazama na tabia pia...lol
KWA KA-EXPERINCE KANGU! MY DEAR! TABIA ZIPO, KUNA KUJIREKEBISHA KWA 90% AU 60%! ila performance kitandani kama we ni zero, ni zero tu! na hakuna mdada anayetaka kunukishwa shombo! tunataka dose za uhakika! ebo!
 
tatizo wengi wanaamini kuwa msomi ni kuacha tamaduni zako mi nafkiri kuwa msomi inakupa fursa ya kuzielewa zaidi,ambacho young women nowdayy hawajui ndoa na thamani yake they just think ni swala la kufanyiwa kitchen party na shoga zake kisha iwekwe kwenye mtandao sijui aua chereko basi!jamani kuwa mke its more than that!its more than kuweza kufanya mapenzi,its more than just kuwa sijui mama fulani originale its more thna that!sasa ukichangya na hao vijana wenyewe wa kupelekwa chuo kikuu na maderva wa home hawa we acha tu!hiyo ndoa ni full mauza uza!ifike wakati tuwekane sawa jamani

Ni tatizo now
usomi wetu unatufanya tu 'adopt mengine'
bila ya kuelewa vya kutosha ya asili yetu..
siku hizi migogoro ya ndoa haina kichwa wala miguu
eti 'mgogoro wa kusahau anniversary na watu ni waafrika pure..
ya msingi yanawashinda
 
kichapo kina heshima yake.................. there is no way mama atawaza kwenda nje......
lakini kuna zaidi ya kichapo
mwambie huyu haelewi! unawaona wanaume woteeeeee elton john, kama mumeo anakufikisha! hata kama hana chochote lakini lifikapo suala lile anageuka SIMBA! we utashangaaa upendo unavyozidi! ni mtazamo wangu tu!
 
Ni tatizo now
usomi wetu unatufanya tu 'adopt mengine'
bila ya kuelewa vya kutosha ya asili yetu..
siku hizi migogoro ya ndoa haina kichwa wala miguu
eti 'mgogoro wa kusahau anniversary na watu ni waafrika pure..
ya msingi yanawashinda

tena huo unafanya kesi kabisa na mtu anaacha kupika,kufua,kanuna siku 3,hatoi mchakato,yani full ugomvi!
 
zimefika my dear, msalimu shemeji yangu pia......
mimi mama wa kiafrika Ijumaa hii ngoja niwahi kurudi nyumbani nikampikie mume, aje ale, then aende kupanga ma-deal na wanaume wenzake wa kiafrika bar.............. maana wanatuambiaga deal zinapatikana bar, ha haaaaaaaa
kumbe tupo wahanga wengi, na mie nimeshazoea hiyo ratiba weekend! ya kwenda kufuatilia deals bar, lolest!
 
tatizo wengi wanaamini kuwa msomi ni kuacha tamaduni zako mi nafkiri kuwa msomi inakupa fursa ya kuzielewa zaidi,ambacho young women nowdayy hawajui ndoa na thamani yake they just think ni swala la kufanyiwa kitchen party na shoga zake kisha iwekwe kwenye mtandao sijui aua chereko basi!jamani kuwa mke its more than that!its more than kuweza kufanya mapenzi,its more than just kuwa sijui mama fulani originale its more thna that!sasa ukichangya na hao vijana wenyewe wa kupelekwa chuo kikuu na maderva wa home hawa we acha tu!hiyo ndoa ni full mauza uza!ifike wakati tuwekane sawa jamani
I love u snowhite
 
Last edited by a moderator:
Nina pingana na kutokulia pamoja na kutokuwa mwaminifu na hata ukifumwa unaendelea kuwa mbishi!
 
KWA KA-EXPERINCE KANGU! MY DEAR! TABIA ZIPO, KUNA KUJIREKEBISHA KWA 90% AU 60%! ila performance kitandani kama we ni zero, ni zero tu! na hakuna mdada anayetaka kunukishwa shombo! tunataka dose za uhakika! ebo!

ha haa
lol
 
nianze kutoa mchango wangu ktk huu uzi kama ifuatavyo!nitoe mfano wa ktk siasa,CCM kwa sasa haikubaliki kama zamani,unadhani sababu kubwa ni kwamba chama kimeharibika,au wananchi wamefunguka?mimi nadhani ni kwa sababu watu wamefunguka sana,kuna mambo yanatokea leo wakati wa nyerere ingekuwa shwari tu lakini leo watu wanayakomalia!

back to the topic,mtoa mada ni mzee na ni mbabu!imagine mtoa mada alistaafu jeshi mwaka 1947 akiwa meja jenerali,ni nadhiri mtoa mada anawakilisha kanuni na fikra za wakati wake. Nikuunge mkono Babu DC na waumini wa hoja zako ya kwamba hoja zako ni nzuri,zina nguvu na kila aina ya ubora LAKINI HAZINA NGUVU TENA KWA WAKATI TULIONAO NA KWA WANAWAKE TUNAOWAOA LEO!

Wakati umekuwa ukuta kwa hoja zako Babu Dc!wanawake mliooa wakati wenu walikuwa tofauti sana na wa wakati huu!nikianza kumchambua mwanamke wa wakati wako na wa wakati huu naweza jaza kurasa mia.Utofauti huo wa wanawake wa wakati wenu na huu tulionao unafanya zilizokuwa kanuni bora za Ubaba ndani ya nyumba kuwa si bora tena.Mwanaume wa sasa anahitaji kubadilika sana kwenda sambamba na mwanamke wa leo,mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilisha nyingi ya sifa ulizozitaja hapo juu.

Waswahili wanasema raha ya ngoma ingia ucheze,Babu DC...hata kama umeicheza hii ngoma nakuhakikishia umeicheza na wanawake wako wa wakati wako sio huu!Natamani ungeoa leo mwanamke wa kileo halafu utumie kanuni zako hizo.....babu!!!!?YOU COULDNT EVEN REMEMBER THEY ARE EXISTING!
 
mwambie huyu haelewi! unawaona wanaume woteeeeee elton john, kama mumeo anakufikisha! hata kama hana chochote lakini lifikapo suala lile anageuka SIMBA! we utashangaaa upendo unavyozidi! ni mtazamo wangu tu!

nakuelewa sana mbona
ondoa shaka...sijasema napinga
nimesema pamoja na hiyo...
 
Back
Top Bottom