Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona...

namba 5 imekaa kimtazamo zaid,,,,,kila mtu ana mtazamo wake juu ya hilo,,,,,,,,namba 1 napo pana utata sana,,,,,,ila namba 3 wanaume wengi ndo HUTUKIMBIZA,,,,maana wao hutufanya atm,,,lakin namba moja imekaa kimakundi sana,,,mambo ya kuigana na pia mambo ya utandawaz,,,,haya mambo wanayo wanawake wasomi,na wasiosoma

asante kwa kujadili, mkuu wanawake wengi sana wanaiga maisha na hawapo katika maisha yao ya kawaida. anataka kuvaa kama fulani, kwenda viwanja anavyokwenda fulani, kuishi maisha kama anayoishi fulani na mpenzi wake na vingine vingi vya kuiga. hawataki kuwa wenyewe
 
asante kwa kujadili, mkuu wanawake wengi sana wanaiga maisha na hawapo katika maisha yao ya kawaida. anataka kuvaa kama fulani, kwenda viwanja anavyokwenda fulani, kuishi maisha kama anayoishi fulani na mpenzi wake na vingine vingi vya kuiga. hawataki kuwa wenyewe

case study kwenye taasisi za elimu ya JUUU,,,,,,,,,
UKIJA HUKU USWAZ MWANANYAMALA NAKO,,,,,,MIKANDA YA BONGO MOVIES NAYO IMEWAATHIRI SANA
 
kwa dunia ya leo kuwapata wenye hzo sifa mkuu kaazi ipo..na anaebahatshwa kuwa nazo atagandwa huyo usiombee....
 
hebu tupe hizo primary mbili ama tatu hivi kwa uchache

Tabia ambazo ni za msingi sana kwa mwanamke yeyote anayefaa kuwa mke ni kama vile:-

ajiheshimu:- hii ni sifa namba moja kwa mwanamke yeyote yule, heshima hii ni pana sana, kwamba aheshimu nafasi yake kama mwanamke kiasi kwamba awe tayari kumfurahisha mumewe zaid kuliko mwanaume mwingine yyte yule. pia aweze kuheshimu mwili wake, kwa mavazi ya heshima, mwonekano wa heshima na hata mwenendo tu wa heshima.
Siku hizi utakuta mdada anapita tu unaskia huyu ni wa hit and run tu hana future at first site mtu aliona nini manake pengine hamjui huyu dada ila aliangalia mwonekano tu japo pia waweza kudanganya but mara nyingi husema kweli.

awe msafi:- hapa tunaongelea usafi wa mazingira yote, siyo wa mwili tu. Jamani tena hapa huwa usafi hauangalii wakati au aweo. Kuna mwanamke mwingine unamwona mchafu tu hata gari analoendesha tu chafu toka ndani hadi nje, sasa hapo jiulize huko nyumbani vipi? pia mwili siyo minywele wigi wk 4 hadi linanuka, miguu makegeta na vumbi hadi kwenye ugoko lol. hii ni mbaya sana. Mwingine hata kula tu ni kwa uchafu anamwaga meza yote akishika glasi ya juis lol lazima ajimwagie kwenye nguo na wala hajali mwingine hata kiti tu cha kukalia hakagui anajikalisha tu kama pasi kujali. hii siyo tabia ya kike kabisa.

ajue thamani yake kama mke au mchumba wa mtu:- hili ni gumu sana kwa baadhi ya wakina dada. utakuta she does't know how wealth she is as a woman. ukishajua thamani yako kama mama utajua unamzigo kiasi gani wa kulea so utaitafuta hekima zaid na busara kuliko mzaha. Tena utajua nini wajibu wako kwa familia yako.

awe mkarimu:- ukarimu hauna mipaka ni kwa wale wa ndani na hata wale wa nje ya nyumba yako. Mwanamke mkarimu huwa habagui, wala haumii nafsi anapotoa kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake hulisha, kuvesha kunywesha na kufariji wote pasi kunung'unika. silaha hii ikitumiwa vizuri huondoa umaskini, kutokufanikiwa, mikosi, na balaa. Huongeza ustawi wa familia, kipato,neema na mafanikio. hata siku moja huwez kosa ridhiki kwa kulisha watu wa nyumbani mwako, au kumkarimu mgeni.

Awe na upendo wa kweli si tu kwa mumewe bali kwa wote aliopewa na Mungu wawe wake:- iwe ni ngugu wa mume, au ndugu zake iwe ni watumisha wake majirani na hata wageni. Hii ni silaha ambayo huwa ikitumiwa vizuri pasi unafiki hubomoa misingi yote ya chuki, mafarakano, mikosi,balaa na yote yakufanana na hayo. huongeza umoja wa kifamilia,mshikamano, furaha na amani.

usafi wa mwili na mazingira-Yaani hili ni jambo la msingi sana, kwa mama yyte yule ambaye anaipenda familia yake. silaha hii hukinga familia dhidi ya magonjwa na pia hudumisha afya ya familia. ikitumiwa vizuri hupunguza matumizi ya fedha kwa kiasi kikubwa sana.

awe na nidhamu katika matumizi ya hela:- mwanamke mzuri hayuko extra vagant na matumizi ya hela anajua kupanga resonable budget, na anajua resource utilization. hawez akatumia vitu hovyo pasi kujali kama vinaisha au vinaharibika. huwa ana mipango madhubuti juu ya vyombo vyake vya ndani, vyakula fedha na hata nishati kama gesi na umeme na hata maji.

awe ni mcha mungu: this is prime quality kwa mwanamke yyte mwenye familia. kwani lazima anajue kuwa maadili na misingi ya familia yake inajengwa ndani ya mungu anayemwabudu. atawashawish watu wa nyumbani mwake kusali, na tawalea wanae katika njia nzuri.

ishu ya kujua kufanya mapenzi ni secondary xstics kwani huwa tunategemea aanze kufanya tendo la ndoa baada ya ndoa so kujua ama kutokujua watajifunza wao wenyewe wawili kwa jinsi na namna wapendavyo wao wenyewe. huwez kuiga haya ingawa kuna common aspects but variation ni kubwa sana wapo ambao hawapendi vibrations but wapo wanaozipenda kama ndugu yangu Kongosho so watabuni aina yao wenyewe ya love making.

all in all mwanamke aanawajibu wa kutambua kuwa yeye ndiye muumbaji ndani ya nyumba kwakua ndiye mwenye mikono inayofinyanga, anapaswa ajue hata mende aliyeko ndani mwake ni kwasababu yake na yy ndiye anayemlisha so she has to be very smart in whatever she is doing. tena asiwe mvivu, wala msengenyaji wala asiyejua wajibu wake wa familia.

nimeyaandika haya kwa uchache tu but kama unataka zaid just sema
 
Last edited by a moderator:
sio papara mkuu..mitego mikali...we unadhani kitu kama alichokitupia The Boss hapo kikikubana vyema wangap watachomoka? Istoshe women ni ma actress wazur mno mkuu wanapohtaj kitu
 
Last edited by a moderator:
Mnapotuchanganya ni hapo namab tatu, independent woman mnamwona ananata at the same time mnamtamani! Phweee!
MwanajamiiOne hatuwachanganyi, sema ni nadra kumkuta mwanamke independent na asiyenata kama jinsi ilivyo nadra kumkuta mrembo sana asiyenata.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom