Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona...

Na mwanamme aweje?

Mwanamke awe na sifa zote hizo afu aangukie kwa marioo bora kuwa kilaza tu.

mwanaume hakutakiwa kuwa na sifa..!! hahaa!!

mwanamke aliumbwa kwa lengo kuu la kuwa 'msaidizi' wa mwanaume!

actually, hizi sifa ni sababu michepuko tu kwenda kwingine...
 
Mpapai ilikatika, yakabaki matete. Ujue sababu ni nini? Uligoma kujipinda kuupisha upepo.

Not always wenye nguvu hu survive bali walio tayari kubadilika kutokana na mazingira.


Utasemaje mwanamke msaidizi wa mwanamme na hali mama mkurugenzi, baba wa nyumbani? Nani analeta mkate wa kila siku?

mwanaume hakutakiwa kuwa na sifa..!! hahaa!!

mwanamke aliumbwa kwa lengo kuu la kuwa 'msaidizi' wa mwanaume!

actually, hizi sifa ni sababu michepuko tu kwenda kwingine...
 
Asiwe mcharuko:Kila kidume kinachotaka kutoa wazungu wake,yeye ni free kutanua mapaja
Asiwe Kilaza kupindukia: Hapa kunachance ya kupata watoto ambao nao ni vilaza
 
Ubahili:hii imesahaulika sana yan girls weng wa hapa town wapo kibahli sana yan ku2mia pesa zake kwa ajil ya mwenzke anahsi kama anahonga mwanaume but love should both man and women share the cost of relationship
 
Jamani kuna sifa nyingine muhimu sana na si lingine, ni hili la kitandani wanaJF, hapo asiwe kama gogo.
 
Back
Top Bottom