Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona...

hayo yote yanawezekana kwa mwanamke kuwa nayo .ila hakuna mkamilifu ,unaweza muona ana sifa zote ila maybe sio mzur wa sura wala umbo.. sasa vip ana faa au hafai sifa 5 hazijakamilika? na nyinyi men wa saiv huwa mtu akawa anatenda hayo yote ili kuwin penzi na kukutuliza bwana wake ila ana endup kuwa **** na just freak shit muna muona mshamba , na muna sababisha changes ya mwanamke kuwa vyengine sasa.
Umeonaa eeh bt mwanamke akiwa hvyo mwanaume akaenda opposite yy ndy mshamba na wajanja watamzd kete mda c mrf
 
:glasses-nerdy:kweli lakn kwa jamii ye2 ya sasa na hawa wanawake kipengele #2 nathan kinakuwa kikwazo kwa walio wengi
 
:glasses-nerdy:kweli lakn kwa jamii ye2 ya sasa na hawa wanawake kipengele #2 nathan kinakuwa kikwazo kwa walio wengi

ndio maana wanapigwa vibuti kila siku kwa viburi vyao na kuota kwao mapembe hasa wale wanaojiona ni wasomi
 
salute kwenu wote. Publisher amefanya kazi kubwa sana ya kuandaa hii hoja. Kwa mdau mmoja naomba ni mwambie kuwa mapenzi yanahusisha watu 2. Hivyo ponyeto siyo mapenzi.
 
jsparks.jpg

smartness..tunaicheki sana..na appearance(shape).
 
Awe na hofu ya Mungu/ mpenda dini. Na akubali kuwa chini ya mume wake,Awe anapenda watoto na awapende ndugu wa pande zote Awe anava nguo zenye heshima asiwe mzururaji ovyo.
 
Back
Top Bottom