Siasa za majitaka za CHADEMA Mbeya na hofu ya kushindwa uchaguzi

Ccm ina maajabu ila kwa kuwa 2015 wamegundua kuna jambo litawaweka kando ya madaraka ni muhimu kuunda VIKOSI VYA UASI ILI KUINGIA MSITUNI.

KIKWETE ALISEMA ATAKABIDHI MADARAKA KWA KADA WA CCM.
 
Mwigulu acha uchochezi wako huu kwa wanachadema, Unataka kugombanisha wanachama na viongozi kwa uongo wako kwani ni lini fedha za Sabodo zimetumika kumnunulia Dk.slaa nyumba.

Muulize mkurugenzi wa fedha na utawala chadema ndugu Antony Komu atawaambia pesa ya sabodo kuhusu ujenzi wa chuo cha mafunzo ya vijana wa chadema iko wapi!!!!!!!
 
Kwani lwakatale yuko wapi!!!!!!

Mwigulu ukumbuke kuna maisha baada ya siasa, unajijengea mazingira magumu sana majukwaani na kwenye jamii. Ona aibu, kila kona watu wanakupinga iwe kwnye mitandao ya kijamii au kokote, hujiulizi iweje kila kota vijana hawakutaki, inapofikia hatua ya wtu kushindwa kujizuia nakukurushia matusi bila hofu ujue wakati wa kurushiwa mawe umekaribia
 
hakuna siri yoyote kwa sababu hawafundishwi ugaidi wala hakuna sumu kule..kama na wewe unataka unakaribishwa...vijana wanafundishwa ukakamavu ndio mana hujawahi kusikia walishe mtu sumu au watishie mtu na bastola ili wapewe nyaraka
Mkuu bungeni nina uhakika na ninachokisema kwani kuna vijana wawili(ndugu zangu wa mbali) ni wanachama wa CCM waliojichokea na maisha walikuwepo kwenye kambi hizo kambi hapo Mbeya wamenieleza kwa kifupi 'Upumbavu' waliokuwa wakifundishwa na hao wakufunzi wa CCM, yaani ni mambo ya ajabu kabisa, kwa mfano:

1/Namna ya kutengeneza vitisho dhidi ya wafuasi wa CHADEMA ili waogope.

2/Namna ya kuvamia kimakundi makundi mikutano , ngome au mfuasi wa CHADEMA popote pale.

3/Namna ya kupiga watu usiku wanaodhaniwa ni wafuasi wa CHADEMA na kisha kutokomea mbali pasipo kukamatwa.

4/Namna ya kupanga matukio ya kihalifu katika siasa kwa kushirikiana na jeshi la polisi kwa nia ya kuisingizia Chadema.

5/Nyimbo, vibwagizo na hamasa za ajabu ajabu kwa nia ya kuongeza morali dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako Mwigulu umejaa chuki na fitina za kisiasa kuliko moyo wa upendo na demokrasia kwa vyama vya upinzani haswa CHADEMA.unapinga siasa za majitaka na kuziendeleza wakati huo huo, mfano unabisha kuwa hujawahi kutoa mafunzo ya kijeshi wala ugaidi lakini hapo hapo unadai CHADEMA ndo wanatoa mafunzo hayo...Ushahidi uko wapi? Umeenda kuripoti chombo gani cha usalama? Na kwanini wasimtuhumu January Makamba au Deo Filikunjombe ambao wote ni vijana bali wanakutuhumu wewe?
Navojua makala ni jina la wanyiramba ila wewe ni janga kwa wanyiramba kama kweli hilo ni jina lako...hakuna mtanzania mwema anayependa chadema kwa sababu ni wauwaji angalia walivotaka kumuua mama yake zito. Angalia walivomtesa kibanda baada ya kuandika makala kuhusu kinana na sekretariat makini ya ccm, angalia wanavyokatakata miguu ya ng'ombe na mashamba ya wananchi...wananchi wa iramba wamewakataa na kata 25 za udiwani zitawakataa tr 16 mwezi huu
 
Kwa kuwa nyie mnaandaliwa kulisha watu sumu na kukatakata mifugo miguu kama alivyofanya diwani wenu kule singida ndio unadhani wote???

mkuu mbona haueleweki nauliza hivi hao vijana mnawafundisha ukakamavu wanini?
mnataka wafaye nini baadaye, mbona wewe na nchemba mnajichanganya?
kwanini msime gazeti limezusha wakati nikweli mnawafundisha vijana ukakamavu ambao ndo mbinu za kivita?
 
MY TAKE:
Wakati ccm tunafundisha vijana kukua katika uzalendo..ukakamavu na nidhamu ya kisiasa.CHADEMA wemakula fedha za sabodo alizotoa kwaajili ya ujenzi wa chuo cha kulelea vijana wa chadema pale Kibaha.

CCM tunautaratibu mzuri wa kufundisha vijana kulindaamani na kuwa wazalendo.Chadema wapo busy kuandamana na kunywesha vijana pombe kali aina ya viroba ili kuvuruga amani ya nchi.

KARIBUNI ARUSHA KATA YA KALOLENI
KAMUSI MPYA YA KISWAHILI YA CCM
Toleo la Kwanza ©LUMUMBA Street Publishing House 2013

mzalendo: mwananchi anayeona watawala wakiiba mali ya umma huku akiwapigia makofi na kuwalamba miguu.

Tesha alimwagiwa tindikali hadi leo hajakamatwa mtu mhusika wa hicho kitendo.

Wenye akili wanamjua mhusika ni wewe. Unaendesha makambi mengine ili ufanye mauaji. Sasa unakana nini wakati unakiri kuwepo kwa makambi hayo?

Wewe wala si hatari kama wengine wanavyokufikiria. Ungekuwa hatari ungekuwa na ngeu katika mapambano yako. Ila unatumia maisha ya watu na kuwatoa maisha wengine kwa WOGA WAKO. Kwangu mimi una kila dalili na ishara za MUOGA wa maovu yake. Kashitaki gazeti lakini upuuzi wako upo hadharani. Huna aibu una fanya kampeni Arusha kwa kinyago chako ulichotengeneza kwa tindikali.
 
Nimesoma gazeti la tanzania daima linalomilikiwa na mwenyekiti wa chadema Mh.Mbowe la leo tar.8/6/2013 lenye habari ya kuhusu mafunzo ya vijana wa ccm kuwa ni ya kijeshi na kigaidi na yanafanywa kwa maelekezo yangu.

1. Sijawahi toa maelekezo yoyote yanayohusu mafunzo ya kijeshi au kigaidi au ya aina yeyote kwa vijana wa ccm mbeya au tanzania kwa ujumla. Kwasababu chama hakina utaratibu wakutoa mafunzo ya kijeshi au kigaidi kama wanavyofanywa na watani zetu(chadema).
2. Mafunzo yanayoendeshwa ndani ya ccm kwa vijana ni mafunzo tangu na tangu kuanzishwa kwa chama chetu,ambayo ni mafunzo yanayohusu siasa,itikadi,afya,elimu ya kujitegemea na mapokezi ya viongozi.Kabla ya mafunzo hayo vijana hufanya gwaride na mchakamchaka. Huu ni utaratibu unaofanyika miaka yote na sehemu zote za tanzania bara na visiwani.
3. Kambi ya vijana huko mbeya iliwekwa eneo la ivumwe nasio maeneo mengine kama gazeti la tanzania daima lilivyoreport.Na mafunzo hayo yamemalizika jana tar.7/6/2013.Ni mafunzo ya itikadi,siasa na afya.
4. Mwaka jana kambi hiyohiyo ilifanyika eneo la nanenane jijini mbeya.

ONYO KALI
Naonya na ninalaani vikali chombo cha habari kama tanzania daima kuandika vitu vya uongo na uzushi kwa maslahi ya chama chake.Hii ni fedheha kwa chama husika..mmiliki wa gazeti hilo na kwa uongozi mzima wa Tanzania Daima(Free mMedia) kuishiwa habari za kuandika na kuishia kuwa wazushi na wabangaizaji wa habari za kuokota.

MY TAKE:
Wakati ccm tunafundisha vijana kukua katika uzalendo..ukakamavu na nidhamu ya kisiasa.CHADEMA wemakula fedha za sabodo alizotoa kwaajili ya ujenzi wa chuo cha kulelea vijana wa chadema pale Kibaha.

CCM tunautaratibu mzuri wa kufundisha vijana kulindaamani na kuwa wazalendo.Chadema wapo busy kuandamana na kunywesha vijana pombe kali aina ya viroba ili kuvuruga amani ya nchi.

KARIBUNI ARUSHA KATA YA KALOLENI

Mwigulu acha ujinga wewe unahusika moja kwa moja,Wewe si ndo umeandaa mpango wa video ambayo mlimbambikia Lwakatare so kama uliweza kurikodi movie ile utashindwaje kuwaandaa vijana wenu kwa Kufanya vurugu na vitendo vya kigaidi vya kuteka watu na kuwaumiza,Mwigulu Watanzania wa sasa si kama wale wa zamani,pia wengi sasa wanakufahamu kwa uwendawazimu wako wa kila siku wa kuropoka ndio maana hata jana umeharibu kura kwa kuandika jina lako wewe na mgonjwa mwenzako wa akili Komba hivi wewe si ulisema una First dgree ya uchumi hivi umeichakachua wapi mkuu maake kama kweli una First Dg ya uchumi utawezaje kuandika jina lako kwenye karatasi ya kupigia kura????Acha kutoa mapovu kaka wahi ukaombewe au ulikuwa unamfikiria Juliana Shonza???
 
Mkuu bungeni nina uhakika na ninachokisema kwani kuna vijana wawili(ndugu zangu wa mbali) ni wanachama wa CCM waliojichokea na maisha walikuwepo kwenye kambi hizo kambi hapo Mbeya wamenieleza kwa kifupi 'Upumbavu' waliokuwa wakifundishwa na hao wakufunzi wa CCM, yaani ni mambo ya ajabu kabisa, kwa mfano:

1/Namna ya kutengeneza vitisho dhidi ya wafuasi wa CHADEMA ili waogope.

2/Namna ya kuvamia kimakundi makundi mikutano , ngome au mfuasi wa CHADEMA popote pale.

3/Namna ya kupiga watu usiku wanaodhaniwa ni wafuasi wa CHADEMA na kisha kutokomea mbali pasipo kukamatwa.

4/Namna ya kupanga matukio ya kihalifu katika siasa kwa kushirikiana na jeshi la polisi kwa nia ya kuisingizia Chadema.

5/Nyimbo, vibwagizo na hamasa za ajabu ajabu kwa nia ya kuongeza morali dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.
Peleka ujinga wako huko, kwa hiyo lwakatare na ben sanane wanaotembea na sumu ili wawalishe wenzao wamefundishwa na ccm??? Green guard ipo tangu ccm ilozaliwa miaka karibu 40 sasa hayo hatujawahi kuyaona wala kuyasikia, ni uzandiki wenu tu huo...chadema kimeanzishwa juzi sasa ona mauaji yalivoongezeka hapa nchini...kemea chadema kama unavyokemea shetani ukiwa kwenye sala
 
Hata babu yenu slaa kajifunzia siasa katika makambi kama hayahaya akiwa kijana wa ccm,mwulizeni babu yenu slaa kama hayajui haya!!!!!
Acha kutumia uwezo wako wa pesa kumtembeza juani Tesha uliyemtenda mwenyewe, au ni kwa ajili ya umasikini wake? kwanini basi hutembei na Kibanda au Ulimboka?
 
Muulize mkurugenzi wa fedha na utawala chadema ndugu Antony Komu atawaambia pesa ya sabodo kuhusu ujenzi wa chuo cha mafunzo ya vijana wa chadema iko wapi!!!!!!!

Hebu angalia jedwali;
TAREHE
MAHALI KIMETAJWA MARAMUHUSIKACHEO

02/01/2013
STAR TVCHADEMA
14
CCM
4
MWIGULU NCHEMBANAIBU KATIBU CCM
29/01/2013 KASULU MJINI4611
NAPE NNAUYEKATIBU ITIKADI &UENEZI CCM
17/02/2013DAR ES SALAAM ,GOBA 728NAPE NNAUYEKATIBU ITIKADI &UENEZI CCM
06/04/2013MOSHI NJORO6314NAPE NNAUYEKATIBU ITIKADI &UENEZI CCM
12/04/2013
BUNGENI1202MWIGULU NCHEMBANAIBU KATIBU CCM
21/04/2013MOROGORO MJINI 11316KINANA

Kwa mujibu wa jedwali hapo juu ni kwamba; kwa sasa hotuba za viongozi waCCM , dhima kuu inakuwa ni kuwazungumzia CHADEMA. Hii ni dalili tosha kwamba kwa sasa CCM imeelemewa mno na nguvu za CHADEMA.

Hawa ndio tunaowategemea kwa ujenzi wa Tanzania endelevu
 
Mungu wa Abraham Isaka na Yakobo na akutende sawasawa na ulivyomtenda Lwakatare.

Wewe ni nani hata umkufuru Mungu kwa jeuri kubwa hivi?
Lwakatare amejitenda mwenyewe na slaa wake kutaka kuuwa watu wanaotofautiana nao kimtizamo. Zitto mmemkosakosa mara ngapi??? Mama yake zitto ambaye ni mlemavu kikongwe mmemkosakosa mara ngapi??? Msaki mmemkosakosa mara ngapi??? Chacha wangwe yuko wapi???
 
Nilipoongozana na wewe kwny kampeni za 2010 Shelui, Mgongo, Ntwike, Ndago na hatimae Dar kufuraia ushindi niliamini Iramba tumempata Zitto wetu, tumempata Mnyika wa CCM , kumbe ni muuaji na mzandiki kiasi hiki. Mungu anisamehe kwa hii dhambi niliyoifanya
 
Hata babu yenu slaa kajifunzia siasa katika makambi kama hayahaya akiwa kijana wa ccm,mwulizeni babu yenu slaa kama hayajui haya!!!!!

Nilipoongozana na wewe kwny kampeni za 2010 Shelui, Mgongo, Ntwike, Ndago na hatimae Dar kufuraia ushindi niliamini Iramba tumempata Zitto wetu, tumempata Mnyika wa CCM , kumbe ni muuaji na mzandiki kiasi hiki. Mungu anisamehe kwa hii dhambi niliyoifanya
 
Mwigulu anawanyima raha chadema na hawalali wakimuwaza kwa hiyo lazima wamzushie mambo mengi ili kumchafua kwa vile amekuwa akiwasumbua sana kuanzia bungeni hata nje ya bunge,na tanzania daima kuandika uongo ni jadi yao.
 
Nilipoongozana na wewe kwny kampeni za 2010 Shelui, Mgongo, Ntwike, Ndago na hatimae Dar kufuraia ushindi niliamini Iramba tumempata Zitto wetu, tumempata Mnyika wa CCM , kumbe ni muuaji na mzandiki kiasi hiki. Mungu anisamehe kwa hii dhambi niliyoifanya
Mkuu hupaswi kumhusisha mungu kwenye uongo wako unatunga uongo halafu unamuhusisha mungu.
 
huyu jamaa anajiamini sana kwa kudhani nchi hii ni mali ya ccm...anafanya kila aina ya jeuri uzushi na hila chafu kwa chadema akiamini wananchi wataichukia chadema...wananchi tupo makini kwa sasa na tunazifahamu dhuluma na uonevu unaofanywa na serikali ya ccm...hvyo kuipaka matope chadema haitasaidia bwana chemba...we need changes...pia tunafahamu kwamba ili mabadiliko yoyote yatokee ni lazima baadhi ya watu walipe gharama.
 
Back
Top Bottom