Siasa za majitaka za CHADEMA Mbeya na hofu ya kushindwa uchaguzi

Mwigulu Nchemba,

Bomoa kabisa vijiwe vya makamanda hapo Arusha.
Sio hao tu hata Lowassa atakuwepo kuokoa jahazi la CCM lisizame Arusha.

Kama kuvunja ngome ya CHADEMA ilipaswa kuwa mwaka jana tena katika jimbo la Arumeru Mashariki na Kata ya Daraja mbili ambapo Kwa mara ya Kwanza jimbo la Arumeru Mashariki na kata ya Daraja mbili vikaenda CHADEMA tena kwa kishindo.
Majeshi ya CCM yaliongozwa na Mkapa, Sitta, Nape, Wassira, Mary Nagu na Fisadi Lowassa nk. chini ya mameneja wawili wa kampeni Mwigulu Nchemba na Mkama.
Lakini wapi, CCM bado wakaangukia pua!!!
 
Last edited by a moderator:
Muuaji ni yule mbeba sumu wenu lakini pale hawezi kusogea shetani hawezi kukaa mahala ambapo mungu yupo.
Mungu unamjua au unaimba kama kasuku? Mbona hamjamfikisha mahakamani huyo mbeba sumu? Halafu huyo Mwigulu wenu kwenye kesi ya Ndago ametajwa kukodisha walioua kwa ushahidi wa polisi. Sasa muuaji ni nani? Kumbe wapuuzi wafuasi wa muuaji Mwigulu Nchemba mko wengi?

Waleteni kwa malori hao mambulula wenu.
 
Mkuu Mwigulu Nchema mnachojivunia ninyi ni

1. Wakuu wa Wilaya ambao ni Makada wenu na kikatiba wana uwezo wa Kumuamuru OCD akukamate bila hata Maelezo yeyote

2. Wakuu wa Mkoa ambao ni Makada wenu na kikatiba wana uwezo wa Kumuamuru OCD akukamate bila hata Maelezo yeyote.

3. Wakuu wa Polisi ambao kwa Umaskini wao wako tayari Kulipua Bunduki (Refer Kamuhanda) kwa ajili tu ya kuwalinda Wanasiasa

Bila ya Hapo hakuna Kitu Mkuu. Tunajua kwamba mkiendaga kwenye Kampeni zenu Mnalipiwa Malazi, Chakula na hata Usafiri kutoka kwenye Bajeti za Halmashauri. Tunayajua haya kwa sababu tunafanya kazi huko Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu acha ujinga wewe unahusika moja kwa moja,Wewe si ndo umeandaa mpango wa video ambayo mlimbambikia Lwakatare so kama uliweza kurikodi movie ile utashindwaje kuwaandaa vijana wenu kwa Kufanya vurugu na vitendo vya kigaidi vya kuteka watu na kuwaumiza,Mwigulu Watanzania wa sasa si kama wale wa zamani,pia wengi sasa wanakufahamu kwa uwendawazimu wako wa kila siku wa kuropoka ndio maana hata jana umeharibu kura kwa kuandika jina lako wewe na mgonjwa mwenzako wa akili Komba hivi wewe si ulisema una First dgree ya uchumi hivi umeichakachua wapi mkuu maake kama kweli una First Dg ya uchumi utawezaje kuandika jina lako kwenye karatasi ya kupigia kura????Acha kutoa mapovu kaka wahi ukaombewe au ulikuwa unamfikiria Juliana Shonza???

Ili uweze kukabiliana na hoja za Mwigulu ni kwenda na uhalisia,vinginevyo ni kumjenga.Ndicho ninachokiona.
 
Muulize mkurugenzi wa fedha na utawala chadema ndugu Antony Komu atawaambia pesa ya sabodo kuhusu ujenzi wa chuo cha mafunzo ya vijana wa chadema iko wapi!!!!!!!
Mkuu hilo swali gumu sana kwa makamanda viroba,
Wao huamini kuwa viongozi wao ni watakatifu na kamwe hawawezi kuwadanganya. wanachotaka ni viroba na bange tu bass
 
Huyu mtu (Mwigulu Nchemba) ni mtu wa ajabu kweli kweli, wasting of energy, money and time in Arusha kukampenia chama ambacho hakiwezi kushinda Arusha mjini. Busara yako iko wapi kama hata hesabu ndogo kiasi hiki unashindwa kukokotoa (Mchumi daraja la kwanza). Unawaaibisha hata maprofesa wako walokufunza kule university.

Endelea kuhamisha watu kutoka kata moja kwenda nyingine ili kuboresha mikutano yako maana kwenye picha za Elerai na Kimandolu, watu ni walewale.

Ili Tomaso aamini kwamba ndiye, lazima aingize kidole kwenye mashimo ya misumari. huyo ndiyo Mwigulu, the terrorist.
 
Hahahahahaaaaaaaa umelurupuka kama vile umekutwa mahali Fulani...
 
Karibu sana hata mwampamba yupo pia.
Huyu naye atakuwepo?

Hivi huna kabisa uwezo wa kujenga hoja hadi utembee na wagonjwa?


DSC06896.JPG
 
Mchemba nina swal hv huyo kijana {tesha} mliye mmwagia tindikali, mnayezunguka naye kututisha wana wa A-town vp ameingia kwenye ILANI ya ccm au vp? Kwasababu naona mnamtumia kama moja ya sera zenu..!
 
Safi Mwigulu, Ebu twambie na Tamko la Maaskofu kuhusu kuvunja uhusiano na Serikali ya Chama chako.

Unamlipa nini Lukosi?
Kashfa ya ugegedaji mke wa kada mwenzio kwenye kampeni za Igunga ilikuwa kweli?

 
Mnasumbuliwa na tatizo moja tu Mr Nchemba na wenzio wote katika CCM. Political strategies zenu haziko makini, si nzuri na hasa katika kipindi hiki ambacho ufahamu na uelewa wa watu wengi juu ya mambo mbalimbali uko juu sana si mijini tu bali hata vijijini.Ni kutokana na kukua kwa uelewa huu ndiyo maana hata uelewa wa mambo ya kisiasa kama vile haki ya kupiga kura,kuchagua kiongozi bora nk.. wa watu wengi uko juu!!.

Ndo kusema kwamba wale wote wanaojihusisha na siasa shindani za moja kwa moja kama wewe na wenzio wote iwe ni CCM au CHADEMA au CUF au NCCR mnatakiwa kuusoma upepo huu. Wa kwetu ni kujidanganya sana kutafuta kukubalika kisiasa katika namna ambayo inaleta madhara ya mwili,roho na hisia kwa watu wengine kwa style mnayofanya na kwenda nayo sasa. Hii ni mbaya kwa sbb watu hawatakubaliana na ninyi kwa namna yeyote na mtabaki kulaumu CHADEMA au wapinzani wenu wa uapande wa pili.

Nionavyo mimi wenzenu CHADEMA washindani wenu wakuu kwa sasa wa kisiasa wameusoma vyema upepo huu na wanautumia ipasavyo tofauti na ninyi CCM ambao bado mnafanya siasa za miaka 20 ilyopita....siasa za kuwadharau watu wa daraja la chini mkidhani bado wana fikra za miaka ile mliyokuwa mnapita bila kupingwa!!...Hii ndiyo itakayowaua kisiasa CCM siku si nyingi na hasa kama chama kitaendelea kuwa na viongozi wa mstari wa mbele wa sampuli yako!!.....

Nasema hivyo kwa sbb kwanza kabisa mimi nimelisoma hilo Gazeti na specific hiyo habari. Yes, wewe umetajwa kuwa hizo kambi zinaendeshwa kwa mujibu wa maelekezo yako na viongozi wenzio wa CCM huko Mbeya wamesema hivyo baada ya kuulizwa na mwandishi wa gazeti (binafsi sijui una una nafasi gani ktk chama chako)
lakini lililowazi ni kuwa umejitokeza hima kujibu kwa kukanusha lakini katika namna ambayo sisi wenye akili zilzoenda shule kikwelikweli hatujakuelewa zaidi ya kuthibitisha kile kilichoripotiwa na gazeti hilo!!....

Kusema gazeti ni la Mbowe au CDM au la nani sijui it doesn't matter at all.... kwa sababu gazeti liko kwa mujibu wa sheria na linafanya kazi kwa kufuata sheria za nchi sawa na magazeti yenu CCM ambayo kila mtu anayajua ya UHURU na MZALENDO ......na nadhani ungejijitetea kwa kile tu kilichoripotiwa ungekuwa na busara sana. Na hili Brother Mwigulu ndilo linalowasumbua CCM kwa sbb mna-deal naWATU badala ya ISSUES kwa maana ya matatizo ya watu examples; kuporomoka kwa elimu yetu,huduma duni za afya,miundo mbinu ya barabara mbovu mijini na vijijini, ujangili wa tembo wetu,watu kutonufaika vyema na moja kwa moja na rasrimali zao,rushwa na ufisadi uliokithiri katika ofisi na taasisi za umma.Kushindwa kushughulikia haya kwa namna ya watu kuridhika na kuwaelewa maana yake ni moja tu KUFELI KWA SERA ZA CHAMA CHAKO CCM....na ukienda mbele zaidi maana yake pia ni kuwa; kukataliwa katika chaguzi mbalimbali na ule ujao mkuu wa 2015!!.....Na hii ndugu yangu haiwezi kuwafanya kukubalika kwa kupiga, kung'oa kucha na meno pamoja na kuua wale wanaowakosoa na kupinga sera zenu!!....NGUVU YA UMMA ikiamua huwa hakuna awezaye kuzuia........

Chama chako rafiki yetu ndicho kinachoongoza serikali,serikali inayokusanya kodi na kupanga namna ya kuzitumia na ndo serikali yenu tunayoitarajia itoe huduma bora za kijamii kwa watu.Na huu ndo wajibu muhimu mlionao CCM na serikali yenu na si propaganda na uhuni huu mnaoendelea kuufanya na hakika mkishindwa hapo hampaswi kutafuta mchawi nje ya ninyi wenyewe CCM!!.....

BADILIKENI, AMKENI VINGINEVYO NINYI NDO MTALALA KESHO......WEWE ENDELEA KUFUNDISHA VIJANA WAKO HUO UZALENDO BANDIA!!
 
Hakima ya mtu haipimwi kwa umbo au nafasi aliyo nayo katika jamii bali ni katika maneno yake tu. Na kiongozi bora hajibu kila kitu. Ukijibu kila kitu utakuwa dodoki kwani lazoa kila kitu. Najiuliza duka la kununua burara na hekima liko wapi? Laiti vitu hivyo vingelikuwa madukani ningeuza korosho niwanunulie rafiki zangu wasiochagua maneno ya kusema.
 
Lilambo; Muulize Mwigulu kwamba ni kitu gani kinachowezekana kulindwa na green guards na siyo jeshi la polisi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom