Siasa za majitaka za CHADEMA Mbeya na hofu ya kushindwa uchaguzi

Nina mashaka sana na Mwigulu kwa ulichokiandika na kile kinachofanyika katika hali halisi.

*Kuna haja kweli kwa CCM kuweka kambi ili tu kuwafundisha vijana Itikadi, Elimu ya kujitegemea, Afya na mapokezi ya viongozi?

*Hivi Mwigulu unajua maana na madhumuni ya watu kuweka kambi ya kitu chochote? Mahali popote kambi inapowekwa lengo kubwa ni ''kuzuia mtu mwingine yoyote asiyehusika kutaka kujua kwa kina nini kinachofanyika hapo'' kifupi kambi ni ''Usiri''
Sasa CCM ina mambo gani ya siri na vijana wa kitanzania wa sasa?

*Mara zote tumeona toka Mwigulu umekuwa kada mwandamizi wa CCM, hawa vijana wa CCM wanaotoka kwenye makambi wakiletwa kwenye kampeni au kwenye uchaguzi kuja na kufanya fujo na wakati huo huo wakipewa kinga na jeshi la polisi wasikamatwe. Tuliona Ndago, Igunga, Arumeru mashariki nk.

Please Mwigulu acha kabisa huo ujinga, siku nchi hii ikilipuka hautapona wewe, mkeo wala wanao, wote mtateketezwa.

hakuna siri yoyote kwa sababu hawafundishwi ugaidi wala hakuna sumu kule..kama na wewe unataka unakaribishwa...vijana wanafundishwa ukakamavu ndio mana hujawahi kusikia walishe mtu sumu au watishie mtu na bastola ili wapewe nyaraka
 
Sabodo aliwapa pesa ya kujenga chuo kwa ajiriya mafunzo ya vijana wenu kuhusu siasa lakini mkatumia pesa hio kumnunulia nyumba slaa!!!!! Acheni ujasiliamali wa kisiasa
Unazidi kujidhalilisha kwa uongo wa dhati.

Nyumba yenyewe iko wapi, na ilinunuliwa lini, kwa shilingi ngapi?

Na wewe unapotumia mlemavu aliyemwagiwa tindikali na vijana wako ni nini kama si ulaghai wa wazi?
 
Tatizo lako Mwigulu umejaa chuki na fitina za kisiasa kuliko moyo wa upendo na demokrasia kwa vyama vya upinzani haswa CHADEMA.unapinga siasa za majitaka na kuziendeleza wakati huo huo, mfano unabisha kuwa hujawahi kutoa mafunzo ya kijeshi wala ugaidi lakini hapo hapo unadai CHADEMA ndo wanatoa mafunzo hayo...Ushahidi uko wapi? Umeenda kuripoti chombo gani cha usalama? Na kwanini wasimtuhumu January Makamba au Deo Filikunjombe ambao wote ni vijana bali wanakutuhumu wewe?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nyumba iko boko wilaya ya kinondoni na imenunuliwa kwa sh milioni 140
 
Nimesoma gazeti la tanzania daima linalomilikiwa na mwenyekiti wa chadema Mh.Mbowe la leo tar.8/6/2013 lenye habari ya kuhusu mafunzo ya vijana wa ccm kuwa ni ya kijeshi na kigaidi na yanafanywa kwa maelekezo yangu.
Hata kama hauhusiki mbona kila tukio la shari lazima wewe utajwe?
 
Mkuu nyumba iko boko wilaya ya kinondoni na imenunuliwa kwa sh milioni 140
Propaganda ya kukopa ruzuku imeyeyuka, sasa imekuwa fedha za Sabodo? Kesho tena mtabadili.

Msajili wa vyama vya siasa na CAG wanakagua mahesabu ya chama kadiri ya sheria ya vyama vya siasa, hesabu za fedha za chama ziko clean.
 
tolea maelezo kambi ya kijeshi ya ulemo kabla ya uchaguzi mdogo wa igunga. Ulikuwa unafundisha afya, elimu na mapokezi ya kiongozi yupi? Mwisho wa siku yatawekwa wazi. Ugaidi ufanye wewe kisha useme cdm. Nani alianzisha kambi hiyo ya ulemo?
Nani aliyetembea na sumu hadi bar ili awalishe wenzake?? Nani aliyekuwa anapanga ugaidi ili amtese mwandishi wa mwananchi??? Nani aliyemtishia mama zitto kwa bastola huko tabata???
 
Hata babu yenu slaa kajifunzia siasa katika makambi kama hayahaya akiwa kijana wa ccm,mwulizeni babu yenu slaa kama hayajui haya!!!!!
Ila kwa sasa amebadilika na kuanza kufadhili vijana kuua wenzao....amemharibu ben sanane, akamharibu lwakatare na ludovick na sasa anapandikiza chuki kwa taifa..slaa ni janga kwa tunu ya amani ya watanzania
 
Tatizo lako Mwigulu umejaa chuki na fitina za kisiasa kuliko moyo wa upendo na demokrasia kwa vyama vya upinzani haswa CHADEMA.unapinga siasa za majitaka na kuziendeleza wakati huo huo, mfano unabisha kuwa hujawahi kutoa mafunzo ya kijeshi wala ugaidi lakini hapo hapo unadai CHADEMA ndo wanatoa mafunzo hayo...Ushahidi uko wapi? Umeenda kuripoti chombo gani cha usalama? Na kwanini wasimtuhumu January Makamba au Deo Filikunjombe ambao wote ni vijana bali wanakutuhumu wewe?

Kwani lwakatale yuko wapi!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Propaganda ya kukopa ruzuku imeyeyuka, sasa imekuwa fedha za Sabodo? Kesho tena mtabadili.

Msajili wa vyama vya siasa na CAG wanakagua mahesabu ya chama kadiri ya sheria ya vyama vya siasa, hesabu za fedha za chama ziko clean.
Ndio hizo hizo..ofisi za chama zinafungwa huko mikoani yy anajikopesha na kuzitumbua na josephine
 
Wameona mkuu wao wa chama kawakataza kutumia polisi sasa wanaanzisha vikundi vya Uasi.
 
Mkuu Mtu wa simba bora hata siasa za Nape kuliko Mwigulu, Mara tusikie anafadhili magaidi. Ona sasa tunasikia kuwa ameamua kuanzisha jeshi lake sasa kibali kapata wapi? Kova anatakiwa ammulike Mwigulu kwani huu ndo mwanzo wa kuzalisha vikundi vya waasi kama M 23, Pia hata upo uwezekano Mwigulu akaleta vita nchi hii.

JKT kaenda wiki 3 tu alafu kashaanzisha Jeshi lake, Sasa je angekaa JKT miaka 2 si ndio wakina bhokoharam wangezaliwa kabisa.

Inawezekana ndo maana ya zile kombati, berreti na madevu kama Savimbi kumbe ni kamanda wa guerilla fighters
 
Last edited by a moderator:
Fisadi mbalimbali zinazofanywa na viongozi wa CCM ndio uzalendo mnaofundisha?naona unamtumia kijana aliyemwagiwa tindikali huko Igunga kwenye kampeni Arusha,mbona huwatumii mjane wa Mwangosi,mjane wa Msafiri na wale wazee waliodhulumiwa fedha za jumuiya ya EAC kama kweli una dhamira ya kupinga dhuluma na ukatili? Mwigulu mambo unayofanya huitaji kutumia akili sana ili ujue kuwa ni ya kijinga kuliko kawaida!!! watu wa Arusha wanapaswa kupima kwa makini dhamira yako!
 
Kwanini wasikuzushie na kukuchafua wakati hawalali kwa amani kwa ajili yako. Piga kazi mwigulu hizo ni kelele za chura tu zisikutishe.
Eti watu wa mungu wanafunga na kusali hivi mnadhani mungu ni mjomba wenu kuwa atawatetea kwa kuwa ni ndugu? Maovu yote dhidi ya binadamu mnayofanya mnadhani haoni huyo mungu?
 
Back
Top Bottom