utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Chadema ni janga kwa taifa letu...tuikemee kama tumkemeavyo shetani kwenye maombi yetu
Mkuu una sumu hapo mfukoni??? Kwanini tusimlishe tu sumu kama tulivotaka kulisha zito na msaki?? Anatunyima raha sana huyu mwiguluNilipoongozana na wewe kwny kampeni za 2010 Shelui, Mgongo, Ntwike, Ndago na hatimae Dar kufuraia ushindi niliamini Iramba tumempata Zitto wetu, tumempata Mnyika wa CCM , kumbe ni muuaji na mzandiki kiasi hiki. Mungu anisamehe kwa hii dhambi niliyoifanya
Kwahiyo unafurahi mwenzako kuwekwa ndani, Mwigulu kumbuka any thing goes around comes around, you never know the next day Lwakatare is going to be your boss, labda omba CCM itawale hadi utakapokuwa kwenye 80's.Kwani lwakatale yuko wapi!!!!!!
Mkuu usiwasemee watu mimi binafsi huwezi kuniambia kitu kuhusu chadema kwa sababu nikijua ni chama ambacho wala hakina nia ya dhati ya kuwakomboa watu bali ni kuwatumia watu ili chama kiendelee kunufaika kwa ruzuku za watanzani ni kundi la hovyo kabisa.huyu jamaa anajiamini sana kwa kudhani nchi hii ni mali ya ccm...anafanya kila aina ya jeuri uzushi na hila chafu kwa chadema akiamini wananchi wataichukia chadema...wananchi tupo makini kwa sasa na tunazifahamu dhuluma na uonevu unaofanywa na serikali ya ccm...hvyo kuipaka matope chadema haitasaidia bwana chemba...we need changes...pia tunafahamu kwamba ili mabadiliko yoyote yatokee ni lazima baadhi ya watu walipe gharama.
Na wao wakashusha video ya lwakatare akipanga ugaidi na kulisha waandishi sumuWenzako walikuja na madai kwamba Tz Daim ni Gazet la Mipasho wakashushiwa Video Clip ikimuonyesha Haruna Lipumba akifichua Siri za 2010 Msikitini
Kwahiyo unafurahi mwenzako kuwekwa ndani, Mwigulu kumbuka any thing goes around comes around, you never know the next day Lwakatare is going to be your boss, labda omba CCM itawale hadi utakapokuwa kwenye 80's.
Hii thread haimzungumzii tundu lisu wa dr kifafa. Isije ikawa na wewe ni kichaa?Kichaa ni t..u..du l.i..su mgonjwa wa dr kigwangalla.
Chadema ni janga kwa taifa letu...tuikemee kama tumkemeavyo shetani kwenye maombi yetu
Walikuwepo kina Makamba wakaiacha Chadema akaja Mukama ameiacha Mwigulu mtoto wa juzi ameikuta ataiacha soon.Mwigulu anawanyima raha chadema na hawalali wakimuwaza kwa hiyo lazima wamzushie mambo mengi ili kumchafua kwa vile amekuwa akiwasumbua sana kuanzia bungeni hata nje ya bunge,na tanzania daima kuandika uongo ni jadi yao.
Ndio majitaka yenyewe haya! unakemea siasa za majitaka ilhali wewe ndio kinara wa huo upuuzi. unakatisha watu tamaa ya kujiunga na siasa.Chadema wapo busy kuandamana na kunywesha vijana pombe kali aina ya viroba ili kuvuruga amani ya nchi.
Siku zenu zinahesabika CCM sasa hivi wananchi wa rika zote wanawakataa.Wazee wengi ninaoishi nao hapa mtaani ambao walikuwa wanaCCM waaminifu na wapiga kura wenu tegemeo wote wamekikimbia Chama chenu kwasababu ya Wendawazimu waliokivamia Chama chenu kama akina Mwiguru.2015 CCM mtakuwa na hali mbaya sana kuliko mnavyo danganyana.
Lwakatare ni haki yake kukaa ndani make ni mharifu,nyanya ikioza lazima uitenge na zingine ndivyo ilivyofanyika kwa lwakatare.Kwahiyo unafurahi mwenzako kuwekwa ndani, Mwigulu kumbuka any thing goes around comes around, you never know the next day Lwakatare is going to be your boss, labda omba CCM itawale hadi utakapokuwa kwenye 80's.
Mkuu tutakuja kuwapa kampani shonza naye yupo ambaye ni kisiki cha mzee slaa na heche.Karibu kwenye mkutano wetu wa hadhara wa kumnadi mgombea wetu katika kata ya kaloleni Arusha uone tunavyokubalika ccm oyeeeeeee
Walikuwepo kina Makamba wakaiacha Chadema akaja Mukama ameiacha Mwigulu mtoto wa juzi ameikuta ataiacha soon.
Mkuu tutakuja kuwapa kampani shonza na yupo ambaye ni kisiki cha mzee slaa na heche.
Alikuwepo Marehemu Chacha wangwe pia chadema sembuse wewe!!