Makalla: Uchaguzi Mkuu utakuwa huru, haki, Wazi. Media, CHADEMA, ACT, CUF, TLP rukeni sarakasi zote ila kumbukeni hatuna mbadala wa Tanzania

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,557
2,188

Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa,

Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu.

Nia ya CCM Tanzania kuwa na uchaguzi ulio huru, wa haki na wenye kuaminika.

Ndg Makalla alimwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.

Amevikumbusha vyombo vya habari kuwa na vyama vya Siasa kuwa , pamoja na kuandika habari zao kwa uhuru, vinapaswa kutambua umuhimu wa kulinda amani na usalama wa nchi.​

Mhe Makalla amesisitiiza kuwa kama Taifa hatuna Mbdala wa Mama Tanzania.
 
ujinga mtupu, hatutaki maneno ya mtu tunataka vitendo, kama mna uhakika na hilo kwanini mmekomaa Wakurugenzi ambao ni makada wa CCM wawe wasimamizi wa uchaguzi? Kwanini mmekataa tume huru ya uchaguzi badala yake mkaweka jina tu? Mwambieni Makala hivi, Tanzania sio y wapumbavu tena. Nimekumbuka ebzi za kitabu cha Bi Kirembwe na Unga wa Ndere........
 
Sasa unachobisha unao ushahidi Uchaguzi huu hautakuwa wa haki na huru?
 
Naonga facts, uchaguzi hauwezi kuwa huru kwa maneno ya mropokaji mmoja hivi, unakua huru kwa vitendo, unataka ushahidi gani> Nishakwambia huwezi kuwatumia watendaji wa CCM including wakurugenzi kuwa maofisa wa uchaguzi ambao inajulikana kabisa kuwa ni makada, huwezi kuwaurhusu polisi ambao wanajulikana kabisa kuwa hawana maadili waingie kwenye vyumba vya kupigia kura, na mengine mengi, unataka nini tena zaidi ya hapo?
 
Sasa kama mnaanzisha chama na kinaongozwa na familia Moja kwa miongo mitatu,

Kweli mnazo akili?
Kuna tofauti gani kwa chama kuongozwa kwa miongo mitatu na CCM iliyojichokea kuongoza kwa miaka yote hio huku hali ikizidi kuwa duni? Kumbe huna akili kiasi hiki, huwezi kufanya simple reasoning.....
 
Hata CCM ilisajiliwa 1992 Leo Ina Wenyeviti wastaafu 5, CHADEMA mmoja tu
 
View attachment 2977972
Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa,

Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu.

Nia ya CCM Tanzania kuwa na uchaguzi ulio huru, wa haki na wenye kuaminika.

Ndg Makalla alimwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.

Amevikumbusha vyombo vya habari kuwa na vyama vya Siasa kuwa , pamoja na kuandika habari zao kwa uhuru, vinapaswa kutambua umuhimu wa kulinda amani na usalama wa nchi.​

Mhe Makalla amesisitiiza kuwa kama Taifa hatuna Mbdala wa Mama Tanzania.
Utulivu wa Makalla unanipa furaha sana kwamba sasaa upele umepata mkunaji
 
View attachment 2977972
Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa,

Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu.

Nia ya CCM Tanzania kuwa na uchaguzi ulio huru, wa haki na wenye kuaminika.

Ndg Makalla alimwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.

Amevikumbusha vyombo vya habari kuwa na vyama vya Siasa kuwa , pamoja na kuandika habari zao kwa uhuru, vinapaswa kutambua umuhimu wa kulinda amani na usalama wa nchi.​

Mhe Makalla amesisitiiza kuwa kama Taifa hatuna Mbdala wa Mama Tanzania.
Mhe Makala for Change
 
Back
Top Bottom