Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,887
- 2,770
zinaumiza sana. ukitaka kujua kuwa sehem ina maendeleo, wakazi wa pale hudumu eneo hilo kwa muda mrefu. mtoto anaweza kuzaliwa hapo na kuolea hapo. mahitaji yake anayapata hapo! hii ni tofauti kwa mkoa kama wa kilimanjaro. pale wamebaki wagumu tu! kisa--siasa kandamizi. kwa vile nyie mnafagilia upinzani basi mle upinzani. mnawaambia nini wakazi wa moshi kuhusu itikadi hizi za siasa. hamna tena kitu pale (maendeleo)