Siasa kandamizi!

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,773
2,545
zinaumiza sana. ukitaka kujua kuwa sehem ina maendeleo, wakazi wa pale hudumu eneo hilo kwa muda mrefu. mtoto anaweza kuzaliwa hapo na kuolea hapo. mahitaji yake anayapata hapo! hii ni tofauti kwa mkoa kama wa kilimanjaro. pale wamebaki wagumu tu! kisa--siasa kandamizi. kwa vile nyie mnafagilia upinzani basi mle upinzani. mnawaambia nini wakazi wa moshi kuhusu itikadi hizi za siasa. hamna tena kitu pale (maendeleo)
 
Wala sina kwikwi ndugu yangu ila umenichekesha tu jinsi mada yako ilivyokuja ka-risasi. Wamekukosea nini watu wa K'njaro?
 
hawajnikosea bali wamekosewa sana na siasa kandamizi kwani mi ni mmoja wanaotoka huko. niendapo na kuona hali ya kule hainipi matumaini
 
hapo pana utata. labda warudi au wasirudi ila upinzani uwe na asilimia kubwa bungeni. ila kwa sasa na washauri warudi chamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom