Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,047
- 20,411
WAsalaam,Kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya, hebu jadilini pale old CCM. Mji wa Moshi ni mchafu na haukui sababu kubwa ni CCM kukamata, kushikilia na kuhodhi maeneo muhimu ya mji ambapo ni kwaajili ya ukuaji wa mji. Sehemu zote huwa wanweka vibanda vsivyo elewekw, kuzungushia ma-fremu ambapo ndio ulaji wa viongozi wa mkoa na wilaya hutoka hapo.
Kwa hoja zifuatazo:
1. Kwa kua eneo la old CCM liko Katikati ya mji yaani CBD, Ni aibu kubwa kuachwa Bila kupandishia thamani.
2. Kwa uthamini usio rasmi eneo like linaweza kuwa na value ya Zaidi ya bilioni Tano.
Sasa Nini lifanyike?
1. Shirika la nyumba NHC, linatafuta watu au taasisi kuingia nalo ubia.
2. Mwenyekiti WA wilaya, na mkuu wa wilaya kwenye kikao kijacho cha h/kuu ya wilaya waalikeni watendaji wa NHC waje kuwafafanulia, juu ya uwekezaji WA partnership,
3. Eneo like linaweza jengwa nyumba za familia ndogo, ambazo Ni haitaji la wakazi wengi WA mji wetu.4. Pajengwe underground parking ya magari(ambako Kwa eneo la Katikati ya mji Ni shida)maofisi, kumbi za starehe
Na sio hapo tu Kuna maeneo mengi ya Chama km ngangamfumuni, kiusa , Vijana pembeni ya kanisa TAG-Kilimanjaro REvival, NK
Pesa itakayopatikana na hakika wajumbe mtalipwa posho nzuri za vikao.
Mtajitegemea vizuri, hata wakati wa kampeni hamtakua na mzigo WA kumuachia mgombea ubunge na udiwani.
Najua wengi hawatapenda maana Wana maslahi pale lakini, muda umefika, WA kupandisha hadhi na mapato. Hakuna Njia nyingine, NHC wapi wazi Kwa ubia.
Kwa wale wenye maeneo pale, ambao wengine Ni wajumbe wa kamati ya siasa, (nawajua)mnisamehe, Ni wakati umefika.
Haya shime Wana CCM wote wa Moshi, na wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya pazeni sauti!!!!. Nitawashangaa msiponiunga mkono hoja yangu.
Napumzika kidogo narudi Kwa mbunge na mengineyo.
Stay tuned!!!!!