Siasa hakuna mpaka 2020 lakini haya ni mapokezi ya Kikwete Chalinze leo

Siasa ni kwa chama tawala hadi 2020 kwa sasa kusanyeni ruzuku muongeze nguvu maana mnunuzi hatokuwa na fedha. Mtajitegemea!
 
Tofauti ya kikwete na magafuli ni moja kikwete alikuwa anatumia jeshi la polisi kisiri siri lakini magufuli kaamua kulitumia bila kificho
 
Kama polisi nao wanahusika kwenye upigaji na ukibaka kama yule aliyetumbuliwa sasa ni nani atakuwa na jukumu la kutulinda raia na mali zake
 
Basi haya bila kutafunamaneno, police inapokea maelekezo toka kwa Rais, ambae ss ni mwenyekiti wa CCM, na hii ni hatari kwenye mustakabali wa maisha na mfumo wa vyamavingi.
 
Mmmhhhh!!!!!! Aibu kubwa kwa Taifa letu!!!!! Ila haki haiwez kutolewa na mwanadam lazma The Almighty of God ihusike apo!!!!!! CDM we survive under wings of God always
 
Ujinga wa CCM wa kusomba watu na kupiga picha tumezowea,,,najua hapo kuna wasaniii mia
 
Ahsante kwa picha. Watu wamehamasika. Ndo faida za kuwa chama dola
Kukosekana haki ndio kunazalisha magaidi. Nyakati hizo hutakuwa na comments za namna hii, utakuwa unalalama 'mimi mjane blah blah blah'

Kizazi changu yawezekana ndio cha mwisho kwenye vizazi vya uvumilivu. Tupendane, tugawane haki sawa
 
Ahsante kwa picha. Watu wamehamasika. Ndo faida za kuwa chama dola
Ndio maana viongozi wako wanakutumia katika kuchafua wanachama wenzako tu pole sana mkuu vipi ugomvi wenu Na hapi umeshamaliza maana luhwavi bado jupo ofisini
 
Wa Tanzania wenye akili Timamu pekee ndo wataona mleta Hoja Ana Mashiko,ila Kama ni ushhabiki tu basis tutaicha hoja na kumshambulia mleta hoja
 
Back
Top Bottom