Si lazima mpaka wa nchi uwe katikati ya ziwa. Tutumie usomi wetu Tusimame kwenye ukweli

Niwakumbushe kuwa mipaka yetu ya kiafrika iliwekwa na wakoloni nao walifuata interest zao katika kuweka mipaka hivyo si llazima mpaka kuwa katikati tu bali unaweza kuwa na ziwa then usiruhusuwe kutumia maji yake kama utakavyo, refers matumizi ya maji ya ziwa victoria, MISRI wana saut kubwa kuliko sisi. tunashindwa hata kilimo cha umwagiliaji wakati maji tunayo. Hivyo issue sio katikati, bali ni wapi wakoloni waliweka mpaka.
 
Pumba zingine hizi. Sijaona huo mchele uko wapi?

Mchele uko kwenye coordinates za mipaka ya hilo ziwa zinasemaje? Sio scientific kusema tu kuwa mpaka uko katikati ya ziwa; katikati wapi na coordinates zipi? Tatizo la nyie magamba ni wavivu wa kufikiri mnaweza kuiba kura tu wakati wa uchaguzi!!
 
Mipaka inachanganya sana hasa hii ya majini! Tukumbuke sio TZ/MLW tu bali kuna nchi nyingi zina migogoro mf CHINA/JAPAN, JAPAN/URUSI/ CHINA/UFILIPINO nk....Cha msingi hapa ni busara..Yes Malawi wanaweza kushinda kesi mahakamani lakini ikumbukwe TZ ina mito inayolifanya hilo ziwa liwepo kwa asilimiakubwa..Tukumbuke mgogoro uliokuepa kati ya MISRI na nchi zinazomiliki mto nile na ziwa victoria.. yani kulingana na mkataba uliofanya na waingereza kabla ya uhuru ni kua nchi husika haziruhusiwi kufanya shighuri kubwa za irrigation au za kutumia maji mengi yanayohusu ziwa victoria na mto nile na MISRI ilitishia kuzishambulia kijeshi nchi zote za TZ,KENYA,UG,RWANDA kwani ndo chanzo cha mto nile ata kutoa maji ya ziwa victoria kupeleka Shinyanga ilizua mgogoro lakini TZ ilisimama kidete kua HAIKUBALIANI NA MIKATABA ILIYOFUNGWA NA WAKOLONI na nchi zote husika nazo zikaungana then MISRI walielewa somo kwani maji ni yetu iweje wenyewe wayatumie kwa kilimo sisi tusitumie? kwa kesi ya ZIWA NYASA/MALAWI pia busara lazima itumike ni kugawana tu na sio kinyume chake kwani TZ tunauwezo kabisa wa kuzuia mito yote isiende kule na kutengeneza mito kama ya GADAFI
 
Lengo ni sisi tutatafakari sana suala la mppaka wa Malawikwa mapana yake. Maana tunaweza kuwa tunaburuzwa kijanja

Tuumbuke ugomvi wa miezi michache iliyopita wakati Tanzania ilipoomba kuongezewa eneo la maji. Kumbukeni Zanzibar walimlaani sana mwenzao Shamhuna na Jussa alimponda sana Tiabijuka.

Kama ni suala la kuongezewa basi kwa nini kuongezewa huku hakukutaja maji ya ziwa Malawi na badala yake kulitaja Indian Ocean pake yake. Kumbuka kwamba unapoongezewa ni kwamba ulikuwa na sehemu, lakini kama hukuwa na sehemu basi huna cha kuongezewa. Hivyo, hata Wizara ya ardhi ilijua wazi kuwa water zone tuliyo nayo ni ile ya east na west hatuna chetu.

Ukiangalia Lake Natron, mpaka wa Tanzania upo kwenye coordinate (S2.58670 E36.00408). One point of this lake iko Kenya kwenye coordinate (S2.10114 E36.03787). Ncha ya ndani kabisa iliyoko Tanzania iko kwenye (S2.58670 E36.00408).

Hii maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba kutoka mpakani kwenda ng'ambo ya Kenya ni 1.5km yaani kama kutoka Ubungo kwenye mataa hadi Kituo cha Utawala cha University of D'Salaam. Wakati kutoka mpakani kuja ncha ya mwisho ya ziwa kwa upande wa TZ ni 52.5km yaani kama kuanzia Mbezi_Louis hadi Ruvu bridge.

Kwa maana hiyo kwenye Lake Natron mpaka wa Kenye na Tanzania hauko katikati bali ratio yake yaani Tanzania:Kenye ni 35:1. Nime-calculate eneo nikakuta hii Lake Natron ina 554sq.km Kenye inachukua 1.6 sq.km na sisi tunachukua 552.4 sq. kms. Kwa maana hiyo sisi tunachukua 99.711% ya hilo ziwa lote na Kenya wanachukua 0.289% ya ziwa hilo.

Tuje kwenye Lake Turkana ambalo liko north of Kenya. The most northen point of this lake is at {N4.65145 E36.16082} yaani 23.2km ndani ya Ethiopia. WHile the most southern point is at coordinate {N2.40027 E36.55652} yaani 232km ndani ya Kenya. Hivyo utaona distance toka mpakani kwenda kwenye furthest point Kenya ina advantage kwa Ethiopia by 10:1.

Wakti huohuo kwa hili Lake Turkana, the closest point from South Sudan border ni {N4.62853 E35.94680} ambayo ni 5km toka joint boundary ya South Sudan, Kenya na Ethiopia. Hivyo riparian advantage Sudan inaweza kupata kwa Lake Turkana. Riparian ni eneo lililo karibu na ziwa au mto ambalo effect ya maji inafika.

hata ukiangalia border yetu kwenye Lake Victoria, humo mpaka wetu na Kenye na Uganda uko kwenye coordinate {S0.99426 E33.92751}. The eastmost point ya Kenya toka hapo ni {S0.27608 E34.85068} yaani 130km ndani ya Kenya.

Jinja is the most north part of Victoria in Uganda na iko kwenye coordinate {N0.49723 E33.36409} na kutokea hapo hadi pale kwenye common border ni 159km.

Sisi Tanzania the southmost part kwenye Lake Victoria iko kwenye coordinate {S3.08704 E32.77124} na hapo panaitwa Mabale. Kwa maana hiyo kutoka hapo hadi kwenye ile common border ni 265km.

Kwa maana hiyo ukipanga ratio ya Tanzania: Uganda: Kenya in terms of distance from border inakuwa hivi: {2.04:1.22:1}. Hivyo, umbali wetu toka mpakani ni mara mbili ya wenzetu Kenya na Uganda ambao wanakaribiana!

Hivyo, ile hoja kwamba mpaka huwa ni katikati ya maji yaani ziwa au bahari si hoja ya kudanganya watoto tena watoto ambao hata hawasomi atlas au ramani yoyote ya dunia hii.

Si rahisi kuleta hoja hii wakati ukijua kwamba mimi nimetaja maziwa matatu tu lakini kuna maziwa na bahari nyingi tu tu zikoshared na huwezi kusema mpaka uko katikati ya hilo ziwa.

Mipaka yote iwe iliyopita ziwani al la kulikuwa na treaty fulani iliyoiweka. Huwa tunasema sana Berlin Conference kuwa ndiyo iliyoweka mipaka huku Africa. Lakini tunaofuatilia history tunajua kwamba hata mipaka mingi ya Ulaya iliwekwa miaka 16 kabla ya hii Berlin Conference. Mipaka ya Ulaya iliwekwa kwenye Vienna Congress of 1815.

Hivyo tangu wakati huo kama hakuna updated ratification ya mipaka basi mipaka ilibaki hivyohivyo. Concept inabaki kwamba kama ukatikati ungekuwa ni hoja basi mifano niliyotoa ingekuwa yaani Natron, Trukana na Victoria ingefanya kazi.

Zaidi tukijikita na hoja hiyo, basi majirani zetu wawe na wasiwasi precedence ya Malawi, kwamba ukina mwenzi ananyolewa basi wewe tia maji.

Sikubaliani kabisa na ujanja huu wa kujifanya tunadai sana Lake Malawi hadi tusahau mambo ya msingi kumbe inaweza kuwa ni janja ya serikali tujione tuko wamoja wakijua suala hili litachukua muda mrefu na Tanzania hatuna haki hata chembe ya Lake Malawi halafu tusahau kabisa masuala ya Ulimboka, migomo ya walimu, madaktari, NSSF na maisha magumu kwa kila mtanzania.

Namalizia tena, si lazima mpaka wa ziwani uwe katikati ya maji kama tunavyoaminishwa. TUna akili na sisi tunasoma.

sijui kama hii nusu kwa nusu ndiyo official position ya GOT, lakini customary international law lazima zifuatwe kuhusu large bodies of water between 2 or more nations. Mfano Tanzania ingekua na umiliki kutokana na mikataba ya kikoloni kuhusu umiliki wa 100% wa ziwa victoria au Tanganyika, unafikiri wale waganda, wakenya, warundi, wakongo wanaoishi kando kando ya maziwa haya tungewafanya nini wasitumie hata tone moja la maji yetu?

kila sheria lazima iwe na uhalisi wake wa kutekelezwa kaka, hamna sheria au mikataba inawekwa bila uhalisia wake/ practical implications zake kwa jamii husika. ulivyoweka wewe ni mifano ya mipakani ya maziwa madogo madogo (natron na turkana ambalo pamoja na ukubwa wake ufika wakati ukauka kwa sehemu kubwa kutokana na kua kwenye eneo kavu sana) lakini Tanganyika, victoria yote wenzetu wamepata share yao, hii ilikua lazima, na hata Nyasa Msumbiji wana share yao na Tz righfully wanahitaji share yao hata kama haipo kwenye makaratasi ya karne ya 19
 
Ann aliomba tuongezewe sehemu ambayo ilikuwa international waters si mali ya nchi yoyote. Mpaka wa Malawi na Tanzania ni suala lingine. Hakuna international waters huko hadi tuombe tuongezewe. Tunagawana pasupasu si Malawi iseme mimi niliyezaliwa mpakani naogelea huko, navua huko pamoja na mengine mengi ambayo wanaotoka huko wanafanya, eti leo hawastahii kutumia ziwa lao. Lah hata kidogo!!! Labda sijakuelewa una maanisha nini na mada yako!!
Lengo ni sisi tutatafakari sana suala la mppaka wa Malawikwa mapana yake. Maana tunaweza kuwa tunaburuzwa kijanja

Tuumbuke ugomvi wa miezi michache iliyopita wakati Tanzania ilipoomba kuongezewa eneo la maji. Kumbukeni Zanzibar walimlaani sana mwenzao Shamhuna na Jussa alimponda sana Tiabijuka.

Kama ni suala la kuongezewa basi kwa nini kuongezewa huku hakukutaja maji ya ziwa Malawi na badala yake kulitaja Indian Ocean pake yake. Kumbuka kwamba unapoongezewa ni kwamba ulikuwa na sehemu, lakini kama hukuwa na sehemu basi huna cha kuongezewa. Hivyo, hata Wizara ya ardhi ilijua wazi kuwa water zone tuliyo nayo ni ile ya east na west hatuna chetu.

Ukiangalia Lake Natron, mpaka wa Tanzania upo kwenye coordinate (S2.58670 E36.00408). One point of this lake iko Kenya kwenye coordinate (S2.10114 E36.03787). Ncha ya ndani kabisa iliyoko Tanzania iko kwenye (S2.58670 E36.00408).

Hii maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba kutoka mpakani kwenda ng'ambo ya Kenya ni 1.5km yaani kama kutoka Ubungo kwenye mataa hadi Kituo cha Utawala cha University of D'Salaam. Wakati kutoka mpakani kuja ncha ya mwisho ya ziwa kwa upande wa TZ ni 52.5km yaani kama kuanzia Mbezi_Louis hadi Ruvu bridge.

Kwa maana hiyo kwenye Lake Natron mpaka wa Kenye na Tanzania hauko katikati bali ratio yake yaani Tanzania:Kenye ni 35:1. Nime-calculate eneo nikakuta hii Lake Natron ina 554sq.km Kenye inachukua 1.6 sq.km na sisi tunachukua 552.4 sq. kms. Kwa maana hiyo sisi tunachukua 99.711% ya hilo ziwa lote na Kenya wanachukua 0.289% ya ziwa hilo.

Tuje kwenye Lake Turkana ambalo liko north of Kenya. The most northen point of this lake is at {N4.65145 E36.16082} yaani 23.2km ndani ya Ethiopia. WHile the most southern point is at coordinate {N2.40027 E36.55652} yaani 232km ndani ya Kenya. Hivyo utaona distance toka mpakani kwenda kwenye furthest point Kenya ina advantage kwa Ethiopia by 10:1.

Wakti huohuo kwa hili Lake Turkana, the closest point from South Sudan border ni {N4.62853 E35.94680} ambayo ni 5km toka joint boundary ya South Sudan, Kenya na Ethiopia. Hivyo riparian advantage Sudan inaweza kupata kwa Lake Turkana. Riparian ni eneo lililo karibu na ziwa au mto ambalo effect ya maji inafika.

hata ukiangalia border yetu kwenye Lake Victoria, humo mpaka wetu na Kenye na Uganda uko kwenye coordinate {S0.99426 E33.92751}. The eastmost point ya Kenya toka hapo ni {S0.27608 E34.85068} yaani 130km ndani ya Kenya.

Jinja is the most north part of Victoria in Uganda na iko kwenye coordinate {N0.49723 E33.36409} na kutokea hapo hadi pale kwenye common border ni 159km.

Sisi Tanzania the southmost part kwenye Lake Victoria iko kwenye coordinate {S3.08704 E32.77124} na hapo panaitwa Mabale. Kwa maana hiyo kutoka hapo hadi kwenye ile common border ni 265km.

Kwa maana hiyo ukipanga ratio ya Tanzania: Uganda: Kenya in terms of distance from border inakuwa hivi: {2.04:1.22:1}. Hivyo, umbali wetu toka mpakani ni mara mbili ya wenzetu Kenya na Uganda ambao wanakaribiana!

Hivyo, ile hoja kwamba mpaka huwa ni katikati ya maji yaani ziwa au bahari si hoja ya kudanganya watoto tena watoto ambao hata hawasomi atlas au ramani yoyote ya dunia hii.

Si rahisi kuleta hoja hii wakati ukijua kwamba mimi nimetaja maziwa matatu tu lakini kuna maziwa na bahari nyingi tu tu zikoshared na huwezi kusema mpaka uko katikati ya hilo ziwa.

Mipaka yote iwe iliyopita ziwani al la kulikuwa na treaty fulani iliyoiweka. Huwa tunasema sana Berlin Conference kuwa ndiyo iliyoweka mipaka huku Africa. Lakini tunaofuatilia history tunajua kwamba hata mipaka mingi ya Ulaya iliwekwa miaka 16 kabla ya hii Berlin Conference. Mipaka ya Ulaya iliwekwa kwenye Vienna Congress of 1815.

Hivyo tangu wakati huo kama hakuna updated ratification ya mipaka basi mipaka ilibaki hivyohivyo. Concept inabaki kwamba kama ukatikati ungekuwa ni hoja basi mifano niliyotoa ingekuwa yaani Natron, Trukana na Victoria ingefanya kazi.

Zaidi tukijikita na hoja hiyo, basi majirani zetu wawe na wasiwasi precedence ya Malawi, kwamba ukina mwenzi ananyolewa basi wewe tia maji.

Sikubaliani kabisa na ujanja huu wa kujifanya tunadai sana Lake Malawi hadi tusahau mambo ya msingi kumbe inaweza kuwa ni janja ya serikali tujione tuko wamoja wakijua suala hili litachukua muda mrefu na Tanzania hatuna haki hata chembe ya Lake Malawi halafu tusahau kabisa masuala ya Ulimboka, migomo ya walimu, madaktari, NSSF na maisha magumu kwa kila mtanzania.

Namalizia tena, si lazima mpaka wa ziwani uwe katikati ya maji kama tunavyoaminishwa. TUna akili na sisi tunasoma.
 
Lengo ni sisi tutatafakari sana suala la mppaka wa Malawikwa mapana yake. Maana tunaweza kuwa tunaburuzwa kijanja

Tuumbuke ugomvi wa miezi michache iliyopita wakati Tanzania ilipoomba kuongezewa eneo la maji. Kumbukeni Zanzibar walimlaani sana mwenzao Shamhuna na Jussa alimponda sana Tiabijuka.

Kama ni suala la kuongezewa basi kwa nini kuongezewa huku hakukutaja maji ya ziwa Malawi na badala yake kulitaja Indian Ocean pake yake. Kumbuka kwamba unapoongezewa ni kwamba ulikuwa na sehemu, lakini kama hukuwa na sehemu basi huna cha kuongezewa. Hivyo, hata Wizara ya ardhi ilijua wazi kuwa water zone tuliyo nayo ni ile ya east na west hatuna chetu.

Ukiangalia Lake Natron, mpaka wa Tanzania upo kwenye coordinate (S2.58670 E36.00408). One point of this lake iko Kenya kwenye coordinate (S2.10114 E36.03787). Ncha ya ndani kabisa iliyoko Tanzania iko kwenye (S2.58670 E36.00408).

Hii maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba kutoka mpakani kwenda ng'ambo ya Kenya ni 1.5km yaani kama kutoka Ubungo kwenye mataa hadi Kituo cha Utawala cha University of D'Salaam. Wakati kutoka mpakani kuja ncha ya mwisho ya ziwa kwa upande wa TZ ni 52.5km yaani kama kuanzia Mbezi_Louis hadi Ruvu bridge.

Kwa maana hiyo kwenye Lake Natron mpaka wa Kenye na Tanzania hauko katikati bali ratio yake yaani Tanzania:Kenye ni 35:1. Nime-calculate eneo nikakuta hii Lake Natron ina 554sq.km Kenye inachukua 1.6 sq.km na sisi tunachukua 552.4 sq. kms. Kwa maana hiyo sisi tunachukua 99.711% ya hilo ziwa lote na Kenya wanachukua 0.289% ya ziwa hilo.

Tuje kwenye Lake Turkana ambalo liko north of Kenya. The most northen point of this lake is at {N4.65145 E36.16082} yaani 23.2km ndani ya Ethiopia. WHile the most southern point is at coordinate {N2.40027 E36.55652} yaani 232km ndani ya Kenya. Hivyo utaona distance toka mpakani kwenda kwenye furthest point Kenya ina advantage kwa Ethiopia by 10:1.

Wakti huohuo kwa hili Lake Turkana, the closest point from South Sudan border ni {N4.62853 E35.94680} ambayo ni 5km toka joint boundary ya South Sudan, Kenya na Ethiopia. Hivyo riparian advantage Sudan inaweza kupata kwa Lake Turkana. Riparian ni eneo lililo karibu na ziwa au mto ambalo effect ya maji inafika.

hata ukiangalia border yetu kwenye Lake Victoria, humo mpaka wetu na Kenye na Uganda uko kwenye coordinate {S0.99426 E33.92751}. The eastmost point ya Kenya toka hapo ni {S0.27608 E34.85068} yaani 130km ndani ya Kenya.

Jinja is the most north part of Victoria in Uganda na iko kwenye coordinate {N0.49723 E33.36409} na kutokea hapo hadi pale kwenye common border ni 159km.

Sisi Tanzania the southmost part kwenye Lake Victoria iko kwenye coordinate {S3.08704 E32.77124} na hapo panaitwa Mabale. Kwa maana hiyo kutoka hapo hadi kwenye ile common border ni 265km.

Kwa maana hiyo ukipanga ratio ya Tanzania: Uganda: Kenya in terms of distance from border inakuwa hivi: {2.04:1.22:1}. Hivyo, umbali wetu toka mpakani ni mara mbili ya wenzetu Kenya na Uganda ambao wanakaribiana!

Hivyo, ile hoja kwamba mpaka huwa ni katikati ya maji yaani ziwa au bahari si hoja ya kudanganya watoto tena watoto ambao hata hawasomi atlas au ramani yoyote ya dunia hii.

Si rahisi kuleta hoja hii wakati ukijua kwamba mimi nimetaja maziwa matatu tu lakini kuna maziwa na bahari nyingi tu tu zikoshared na huwezi kusema mpaka uko katikati ya hilo ziwa.

Mipaka yote iwe iliyopita ziwani al la kulikuwa na treaty fulani iliyoiweka. Huwa tunasema sana Berlin Conference kuwa ndiyo iliyoweka mipaka huku Africa. Lakini tunaofuatilia history tunajua kwamba hata mipaka mingi ya Ulaya iliwekwa miaka 16 kabla ya hii Berlin Conference. Mipaka ya Ulaya iliwekwa kwenye Vienna Congress of 1815.

Hivyo tangu wakati huo kama hakuna updated ratification ya mipaka basi mipaka ilibaki hivyohivyo. Concept inabaki kwamba kama ukatikati ungekuwa ni hoja basi mifano niliyotoa ingekuwa yaani Natron, Trukana na Victoria ingefanya kazi.

Zaidi tukijikita na hoja hiyo, basi majirani zetu wawe na wasiwasi precedence ya Malawi, kwamba ukina mwenzi ananyolewa basi wewe tia maji.

Sikubaliani kabisa na ujanja huu wa kujifanya tunadai sana Lake Malawi hadi tusahau mambo ya msingi kumbe inaweza kuwa ni janja ya serikali tujione tuko wamoja wakijua suala hili litachukua muda mrefu na Tanzania hatuna haki hata chembe ya Lake Malawi halafu tusahau kabisa masuala ya Ulimboka, migomo ya walimu, madaktari, NSSF na maisha magumu kwa kila mtanzania.

Namalizia tena, si lazima mpaka wa ziwani uwe katikati ya maji kama tunavyoaminishwa. TUna akili na sisi tunasoma.

we sio mtanzania kabisa . wewe upo hapa kwa kazi maalum.
 
Mimi nataka kumjibu huyo mmalawi aliyeweka post. Hoja ya Tanzania siyo kwamba mpaka kwa kila nchi zinazotenganishwa na maji lazima upite katikati ya ziwa. Hoja yetu ni kwamba mpaka wetu na malawi umepita katikati ya ziwa na ndiyo msimamo wetu. Kawaelimishe vizuri wamalawi wenzako. Hivi matatizo yenu ya njaa mmeshayamaliza. Nasikia huwa mnahemea sana chakula kutoka mkoa wa Mbeya. Mkiendeleza chokochoko tutawatwanga na tutawafungia kuja kuhemea chakula Mbeya, vikaragosi wakubwa nyie, ndo maana mmejihalalishia kuwa mashoga.
 
Lengo ni sisi tutatafakari sana suala la mppaka wa Malawikwa mapana yake. Maana tunaweza kuwa tunaburuzwa kijanja

Tuumbuke ugomvi wa miezi michache iliyopita wakati Tanzania ilipoomba kuongezewa eneo la maji. Kumbukeni Zanzibar walimlaani sana mwenzao Shamhuna na Jussa alimponda sana Tiabijuka.

Kama ni suala la kuongezewa basi kwa nini kuongezewa huku hakukutaja maji ya ziwa Malawi na badala yake kulitaja Indian Ocean pake yake. Kumbuka kwamba unapoongezewa ni kwamba ulikuwa na sehemu, lakini kama hukuwa na sehemu basi huna cha kuongezewa. Hivyo, hata Wizara ya ardhi ilijua wazi kuwa water zone tuliyo nayo ni ile ya east na west hatuna chetu.

Ukiangalia Lake Natron, mpaka wa Tanzania upo kwenye coordinate (S2.58670 E36.00408). One point of this lake iko Kenya kwenye coordinate (S2.10114 E36.03787). Ncha ya ndani kabisa iliyoko Tanzania iko kwenye (S2.58670 E36.00408).

Hii maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba kutoka mpakani kwenda ng'ambo ya Kenya ni 1.5km yaani kama kutoka Ubungo kwenye mataa hadi Kituo cha Utawala cha University of D'Salaam. Wakati kutoka mpakani kuja ncha ya mwisho ya ziwa kwa upande wa TZ ni 52.5km yaani kama kuanzia Mbezi_Louis hadi Ruvu bridge.

Kwa maana hiyo kwenye Lake Natron mpaka wa Kenye na Tanzania hauko katikati bali ratio yake yaani Tanzania:Kenye ni 35:1. Nime-calculate eneo nikakuta hii Lake Natron ina 554sq.km Kenye inachukua 1.6 sq.km na sisi tunachukua 552.4 sq. kms. Kwa maana hiyo sisi tunachukua 99.711% ya hilo ziwa lote na Kenya wanachukua 0.289% ya ziwa hilo.

Tuje kwenye Lake Turkana ambalo liko north of Kenya. The most northen point of this lake is at {N4.65145 E36.16082} yaani 23.2km ndani ya Ethiopia. WHile the most southern point is at coordinate {N2.40027 E36.55652} yaani 232km ndani ya Kenya. Hivyo utaona distance toka mpakani kwenda kwenye furthest point Kenya ina advantage kwa Ethiopia by 10:1.

Wakti huohuo kwa hili Lake Turkana, the closest point from South Sudan border ni {N4.62853 E35.94680} ambayo ni 5km toka joint boundary ya South Sudan, Kenya na Ethiopia. Hivyo riparian advantage Sudan inaweza kupata kwa Lake Turkana. Riparian ni eneo lililo karibu na ziwa au mto ambalo effect ya maji inafika.

hata ukiangalia border yetu kwenye Lake Victoria, humo mpaka wetu na Kenye na Uganda uko kwenye coordinate {S0.99426 E33.92751}. The eastmost point ya Kenya toka hapo ni {S0.27608 E34.85068} yaani 130km ndani ya Kenya.

Jinja is the most north part of Victoria in Uganda na iko kwenye coordinate {N0.49723 E33.36409} na kutokea hapo hadi pale kwenye common border ni 159km.

Sisi Tanzania the southmost part kwenye Lake Victoria iko kwenye coordinate {S3.08704 E32.77124} na hapo panaitwa Mabale. Kwa maana hiyo kutoka hapo hadi kwenye ile common border ni 265km.

Kwa maana hiyo ukipanga ratio ya Tanzania: Uganda: Kenya in terms of distance from border inakuwa hivi: {2.04:1.22:1}. Hivyo, umbali wetu toka mpakani ni mara mbili ya wenzetu Kenya na Uganda ambao wanakaribiana!

Hivyo, ile hoja kwamba mpaka huwa ni katikati ya maji yaani ziwa au bahari si hoja ya kudanganya watoto tena watoto ambao hata hawasomi atlas au ramani yoyote ya dunia hii.

Si rahisi kuleta hoja hii wakati ukijua kwamba mimi nimetaja maziwa matatu tu lakini kuna maziwa na bahari nyingi tu tu zikoshared na huwezi kusema mpaka uko katikati ya hilo ziwa.

Mipaka yote iwe iliyopita ziwani al la kulikuwa na treaty fulani iliyoiweka. Huwa tunasema sana Berlin Conference kuwa ndiyo iliyoweka mipaka huku Africa. Lakini tunaofuatilia history tunajua kwamba hata mipaka mingi ya Ulaya iliwekwa miaka 16 kabla ya hii Berlin Conference. Mipaka ya Ulaya iliwekwa kwenye Vienna Congress of 1815.

Hivyo tangu wakati huo kama hakuna updated ratification ya mipaka basi mipaka ilibaki hivyohivyo. Concept inabaki kwamba kama ukatikati ungekuwa ni hoja basi mifano niliyotoa ingekuwa yaani Natron, Trukana na Victoria ingefanya kazi.

Zaidi tukijikita na hoja hiyo, basi majirani zetu wawe na wasiwasi precedence ya Malawi, kwamba ukina mwenzi ananyolewa basi wewe tia maji.

Sikubaliani kabisa na ujanja huu wa kujifanya tunadai sana Lake Malawi hadi tusahau mambo ya msingi kumbe inaweza kuwa ni janja ya serikali tujione tuko wamoja wakijua suala hili litachukua muda mrefu na Tanzania hatuna haki hata chembe ya Lake Malawi halafu tusahau kabisa masuala ya Ulimboka, migomo ya walimu, madaktari, NSSF na maisha magumu kwa kila mtanzania.

Namalizia tena, si lazima mpaka wa ziwani uwe katikati ya maji kama tunavyoaminishwa. TUna akili na sisi tunasoma.

Rubish!!!! RUDI KWENU MZUZU usituleteee mambo ya Hasting Kamuzu Banda
 
Hili suala la mpaka limewavuruga watu wengi sana.
Wengine ni wamalawi sasa wamepata jukwaa la kufanyia propaganda kwa manufaa ya nchi yao ya asili.
Jambo la muhimu hapa ni ukweli kwamba Tanzania ina deserve portion yake katika ziwa nyasa, sijasikia serikali ikidai nusu kwa nusu lakini naamini katika uhalisia kwamba sisi kama nchi tuna portion yetu ziwa nyasa, ni kwa ukubwa gani sasa hilo ndio suala la kuzungumzia.
 
Hiko sio kigezo mbona mimi naishi hapa mwambao wa ziwa kabisa kijiji cha liuli na meli zetu pia huwa znapeleka bidhaa malawi
Mimi nilikaa sehemu moja inaitwa Lituhi.wakati wa tatizo la sukali nilikuwa naona kuna meli kubwa zinatoka amlawi kuleta sukali huku kwetu,na pia nafikiri wote tukubaliane kuwa sukali kwa kiwango kikubwa ilikuwa inatoka Malawi wakati ule.Sasa kama meli ilikuwa inakuja vile polisi walikuwa wapi,jeshi lilikuwa wapi,?????????.mimi naona kuwa kuna ukweli ziwa lote ni la wamalawi.Alafu wakaacha tulitumie kwa meli zetu kutoka mbambay to kyela.Nani ni jirani mwema hapo?tuangalie kwa mapana sana ndugu zangu.Na tusikimbilie vita tu.Wamalawi wanashida kweli ,na sisi pia tunashida kweli,sasa tuingie kununua silaha kuwaangamiza wanandugu hawa kweliiiiii?????????????????.Hii tatizo tunaweza kukaa na kulitatua bila tatizo lolote lile.Kwani tuendako mbele tuna mpaka hizi nchi zote kuwa nchi moja sasa tatizo la nini???????????MUNGU BARIKI WATU WENYE HEKIMA NA KUTAZAMA MBELE.EPUSHA VITA ,LAKINI UTUIMARISHE KUPINGANA KWENYE VITA HII YA KUMWONDOA FISADI HAPA TANZANIA.
 
Kuna wakati Kamuzu Banda aliwahi kudai maeneo yote ya Ludewa, Songea na kyela ni eneo la Malawi, tulimtungia nyimbo za kumzomea na kumzodoa, ilitosha kumyamazisha, na kuna miaka ya 1965 kuelekea hadi mwaka 1971, sub-marine iliwahi kuibuka Matema beach (karibu na hospitali) wagonjwa walihamanika sana na wakati mwingine ndege za kivita ziliweza kupita hadi juu ya milima Livingstone lakini alielezwa na akanyamaza, hivi viongozi wetu hamkuwahi kuandika tulimuambia nini Kamuzu Banda?, leo huyu mwanamke amewezeshwa anataka kuweza, tuoteshwe Nyerere alisema nini tuwaambie viongozi wetu waseme, siyo kutangaza vita
 
Ni hivi kaka hebu fikisr kidogo japo lowasa ana mabaya yake but kwenye suala kama hili lazima kiongoz atoe msimamo wake,suala ni kwel kwamba lipo kwenye negotiation but kama rais wa malaw akikataa kuafiki lazma iangaliwe njia nyingine ambay ndio lowas kaiguzia ambap kwa ss sote tunaomba tucfke huko hata yy amegusia hlo ktk maon yake
 
Nikupataje, umechemsha vibaya sana pamoja na kujifanya msomi. Mbona hujatuambia mpaka upo wapi kwa kutumia huo usomi wako? Na kama unaamini mpaka ni ufukweni mwa ziwa upande wa Tanzania kama wanavyoamini wa Malawi, serikali ya Tz haiwezi kukubali hilo, tukikubali baadaye watasema watanzania ni marufuku kufanya shughuli zozote ziwani. Pia naomba utumie usomi wako uniambie ni ni nchi zipi duniani ambazo zinachangia ziwa, bahari au bwawa halafu mpaka wa nchi hizo upo ufukweni mwa nchi nyingine?
 
Usidanganye watu na nyingi mnaokurupua na ndiyo mnadhani mnaisaidia Tanzania kumbe mna lengo la kuiumbua kwa mgogoro ambao tunasaid kuonyesha ni vipi itashindwa.

lake Malawi ni rift valley Lake hivyo haiko katika category unayoitaja. Kuhuus nisema mpaka uwe wapi inaonyesha mlivyo kutaka kujua mapenzi ya mtu ama mumshambulie au kumu-applaud wakti tunachotaka ni kujadili chanzo cha yote haya.

Hebu pitia blogs za wamalawi hata zile zilizoletwa humu uone kama kwa akili hii mtawatoa nje.

Nashukuru kwa sentensi yako ya kwanza kwamba nimejitahidi kuleta ushahidi. Sijaleta, nimeangalia ramani ambayo hata mtoto wa darasa la sita anaweza kufanya na akaandika haya niliyoandika humu.

Wenzako wana concept ya nusu kwa nusu. Mimi hiyo ndiyo nimeipinga kwa nguvu zote na ndiyo ninayoongopa kwam tutaaibika tutakaposhindwa maana ni dhahiri.

Nikapateje... Kwanza hongera kwa uchambuzi wa kina na uliojikita kwenye findings. Na ili mchangiaji apingane na wewe anatakiwa aje na facts lakini unavyoona wengi wa wachangiaji wamejikita kwenye abstract issues- oh uzalendo. Lakini how do you defined uzalendo without doing the home work. Someone posted a thread with an attachment that was in English and it appears many didn't read it and they did then may be didn't contextualise it. Labda iwekwe tena wasome watu and then that could be documentary review and serve as the base for their counter argument. Si busara kukushambulia kwa sababu umechokoza mjadala na kanuni ni ile tuje na facts hapa sio kutumia nguvu kwa sababu hili ni jukwaa huru.Lakini tulitendee haki. Halafu akili zetu zisiame katika mambo ya msingi kama ulivyosema.
 
Mi nakulinganisha na mwehu, siku zote huwezi kutumia udhaifu wa kitu kingine kujihalalishia udhaifu wako, hebu rudi kwenu malawi kabla hatujakutambua maana tutaanza na wewe kukutoa kinyesi
 
Nchi kwanza mambo mengine baadae. Hata kama ziwa lao lote. Wayahudi wanajua ile ni ardhi ya wapelestina na dunia nzima wajua hivyo. Hata siku moja hawatofautian kwenye msimamo. Watapingana mambo ya ndani, ila mambo ya national security wapo pamoja
 
umejitahidi kutoa ushahidi lakini umesahau kwamba mgawanyo wa sehemu ya maji unategemea pia urefu wa shore yako mfano mgawanyo wa caspian sea kati ya iran, urusi na azerbaijan kama sikosei. halafu ujasema unafikiri mpaka uwe wapi? au ndio ziwa lote liwe la wamalawi!! ebu fikiria zaidi ya 50% ya maji ya ziwa nyasa yanatoka mto ruhuhu wa ruvuma ukiongeza kiwira na songwe tanzania inachangia karibu asilimia 70% ya maji je wakichukua ziwa nasisi tukiweza kupampu maji na kujenga artificial lake itakuwaje? mifano uliyotoa ni kwamba nchi zilizopata eneo dogo pia zina shore fupi kenye hilo ziwa mfano kenya kwenye victoria au ethiopia kwenye turkana lakini kwa tanzania bila hata kuchanganyana na maholligolland treaties mpaka unatakiwa uwe katikati ya ziwa

Hoja napa wamalawi Wanataka Eneo tu la ziwa mkiweza kukatisha maji kwa ndio safi watachimba Gesi kwa furaha. Note that.
 
Back
Top Bottom