Niwakumbushe kuwa mipaka yetu ya kiafrika iliwekwa na wakoloni nao walifuata interest zao katika kuweka mipaka hivyo si llazima mpaka kuwa katikati tu bali unaweza kuwa na ziwa then usiruhusuwe kutumia maji yake kama utakavyo, refers matumizi ya maji ya ziwa victoria, MISRI wana saut kubwa kuliko sisi. tunashindwa hata kilimo cha umwagiliaji wakati maji tunayo. Hivyo issue sio katikati, bali ni wapi wakoloni waliweka mpaka.