Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini ni elfu 50.

Msanii huyo billionea anayetoa bima ya afya kwa wakazi mia mbili wa Tandale kutibiwa bure ametaja leo viingilio hivyo.

Matumbo tayari anayo mkononi meza moja kwa ajili ya wanaJf kadhaa fans wa Diamond. Muda ukifika watatafutwa na kujulishwa kimya kimya na kila kitu kitaenda kimya kimya.

#Kimenuka

attachment.php

Billionea????:eek::eek:
 
Amosi 5:23 mwenyezi mungu anasema,"NIONDOLEENI KELELE ZA NYIMBO ZENU MAANA SITAKI KUSIKIA SAUTI ZA VINANDA VYENU"
Kilichokataliwa na mungu hakina baraka.
Muziki unafanya watu wasishike mafundisho ya mungu Bali washike mashairi ya watu,
Tumeambiwa na mungu tukeshe tukiomba,muziki unafanya watu wanakesha disko.
Muziki unapromoti uvaaji nusu uchi na zinaa n.k

MUZIKI NI HARAMU ukibisha bisha ila ukweli ndio Huo.
Vinanda ni sauti za shetani,ukubali ukatae ukweli ndio Huo.

Na kupitia mawakala na kampuni zake shetani,kwa jeuli na kiburi chake shetani,amekuwa akiwainua duniani wale wote wanaofanya kazi yake vizuri,lakini kesho kwa mungu wanahasara watu hao.

Wabishi.
Watu wanaompenda shetani..
Watu wanapenda kwenda motoni..
WATAJITOKEZA NA MAKUCHA YAO MAREFU,
NA MIMENO YAO MIREFU ILIYOCHONGOKA.
Na kuutetea muziki na wanamuziki..
Na hao ndio watu wa shetani.

Ungenukuu mistari ya biblia kusapoti ulichoandika...na miziki ya dini je?
 
amosi 5:23 mwenyezi mungu anasema,"niondoleeni kelele za nyimbo zenu maana sitaki kusikia sauti za vinanda vyenu"
kilichokataliwa na mungu hakina baraka.
Muziki unafanya watu wasishike mafundisho ya mungu bali washike mashairi ya watu,
tumeambiwa na mungu tukeshe tukiomba,muziki unafanya watu wanakesha disko.
Muziki unapromoti uvaaji nusu uchi na zinaa n.k

muziki ni haramu ukibisha bisha ila ukweli ndio huo.
Vinanda ni sauti za shetani,ukubali ukatae ukweli ndio huo.

Na kupitia mawakala na kampuni zake shetani,kwa jeuli na kiburi chake shetani,amekuwa akiwainua duniani wale wote wanaofanya kazi yake vizuri,lakini kesho kwa mungu wanahasara watu hao.

Wabishi.
Watu wanaompenda shetani..
Watu wanapenda kwenda motoni..
Watajitokeza na makucha yao marefu,
na mimeno yao mirefu iliyochongoka.
Na kuutetea muziki na wanamuziki..
Na hao ndio watu wa shetani.

hizo pesa ni bora mara elfu mkatoe sadaka..
Mkawasaidie yatima na wagonjwa..
Mkawasaidie wazee na wajane.
Mtapata thawabu mbele ya mungu na mtakuwa bora mbele ya mungu nauzima wamilele( pepo) mtaurithi.
 
Show mil.3? kwa mtu1?,ina maana watu 100 Tzs mil.300,kwa usiku mmoja?

Umekurupuka wewe!! umeipata wapi hiyo ya mil3 kwa mtu mmoja??? Na inawezekana ushawatangazia na watu huko mtaani
 
Amosi 5:23 mwenyezi mungu anasema,"NIONDOLEENI KELELE ZA NYIMBO ZENU MAANA SITAKI KUSIKIA SAUTI ZA VINANDA VYENU"
Kilichokataliwa na mungu hakina baraka.
Muziki unafanya watu wasishike mafundisho ya mungu Bali washike mashairi ya watu,
Tumeambiwa na mungu tukeshe tukiomba,muziki unafanya watu wanakesha disko.
Muziki unapromoti uvaaji nusu uchi na zinaa n.k

MUZIKI NI HARAMU ukibisha bisha ila ukweli ndio Huo.
Vinanda ni sauti za shetani,ukubali ukatae ukweli ndio Huo.

Na kupitia mawakala na kampuni zake shetani,kwa jeuli na kiburi chake shetani,amekuwa akiwainua duniani wale wote wanaofanya kazi yake vizuri,lakini kesho kwa mungu wanahasara watu hao.

Wabishi.
Watu wanaompenda shetani..
Watu wanapenda kwenda motoni..
WATAJITOKEZA NA MAKUCHA YAO MAREFU,
NA MIMENO YAO MIREFU ILIYOCHONGOKA.
Na kuutetea muziki na wanamuziki..
Na hao ndio watu wa shetani.
Ameeeeeeen!!!!!
 
Sijakurupuka,ndo maana nikaweka alama ya kuuliza kwamba hyo mil.3 ni kwa kichwa?
Otherwise it was like a joke,so lets forces of the market plays its role!
 
Umekurupuka wewe!! umeipata wapi hiyo ya mil3 kwa mtu mmoja??? Na inawezekana ushawatangazia na watu huko mtaani
Ukitaka kumficha jambo Mtanzania, mfiche kwenye maandishi... ka-tangazo kafuuuupi lakini bado watu wanaona uvivu kusoma!
 
Back
Top Bottom