Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

#Kimenuka

attachment.php

Hii ni zaidi ya mafuriko, baada ya hali kua ngumu ( mtu anapiga show ya mamilion nyi mnapiga ya buku ten ), sasa hivi mmekuja na mahubiri...Tutaona mengi safari hii...Mtumishi wa Mungu kwenye huu uzi unatafuta nini? Umefikaje? Ilikuaje ukavuka majukwaa yote unataka kuja kutuokoa watu wa huku? Impostors mnajulikana, we will prevail and yet we have DIAMONDS ARE FOREVER coming..! I can't wait to see your next act
 
Mkuu wangu nimetumia pombe kama lugha ya picha tu! Ningesema "unakazana kuhubiri neno la Mungu baa" jibu kwako lingekuwa rahisi kwamba huko ndo hasa kunakotakiwa kuhubiriwa neno la Mungu ili watu wapate kumrejea Mungu wao! Nikaonelea kutumia neno "unakazana kutangaza pombe kwenye viwanja vya Iddi" kuonesha kwamba pamoja na nia yako njema, kwenye jukwaa hili hapatatokea wa kutilia maanani hikma zako! Lakini endelea kumwaga neno, na Ishallah, Mwenyezi Mungu atakulipa.

Aamin! Aamin! Aamin
Nw I gt u
Tnx
 
Back
Top Bottom